Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
SAsa wanaedit picha za AI kunesha anakabidhi ofisiwaja wanasubiri trh 4 akienda kukabidhi ofisi au huyu mpya tayali kashapewa funguo?
SAsa wanaedit picha za AI kunesha anakabidhi ofisiwaja wanasubiri trh 4 akienda kukabidhi ofisi au huyu mpya tayali kashapewa funguo?
Swali la kuchokoza tu....Amesema hivyo au ulikuwa unategemea atatoa taarifa hiyo
Kaweka supaglueKwanini huyo rais asitolewe awekwe mwingine?
hana mke? Hana watoto? Hana kanisa? Huko ndiko waseme hawamuoni mtu waoNa hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!
Mama Polepole na nduguze walijitokeza mbele; huyu EN hawa ndugu zake wametiwa hofu kiasi gani hawa.
Lakini kwa hayo meeengi mengine ya Ulaghai wa Samia na maneno ya mipasho yake, sasa sina muda tena wa kuyapotezea muda wa kuyaandikia chochote.
Huyu mtu ni mgonjwa.
weka nukuu,Msingi wa cheo chake ni kuchaguliwa, kama Mbunge na Raisi, ambapo taarifa zao zinaenda Kwa Spika, je Makamu wa Raisi hayupo katika kundi Hilo.
Labda tujiulize kabla ya kumaliza muda wake, Makamu wa Rais anaondolewaje madarakani kama amefanya makosa na amegoma kujiuzulu?weka nukuu,
kwa wazi wazi makamu haonekani yupo wapi,
kwenye 149 (1) a - d , sehemu ya karibu anapoweza kua ni (a)
Ila kweliNa mambo yamefanyika haraka haraka kweli kana kwamba kuna kitu wanajaribu kukificha. Hata wanaokunyaga vichakani hawanyi kwa haraka namna hii .
Katiba imetoa mamlaka makubwa kwa watawla . ÀHUU NDIYO OBOVU WAKEUkiukaji wa Katiba haina maana Katiba yenyewe ndio Mbovu. Nauliza:-
Kwa nini pale Viongozi wanapokiuka Katiba ya nchi, sisi husema sababu ni hii Katiba Mbovu? Tunahofia nini..
Usitukane Katiba ya Warioba na Mwl.Nyerere ebu kua na heshimaKatiba imetoa mamlaka makubwa kwa watawla . ÀHUU NDIYO OBOVU WAKE
Huenda alitoa hayo maelezo akiwa chini ya shinikizo, hiyo nayo ni possibilityNafikiri mazungumzo ya Mzee Warioba na VP Nchimbi ndio yanafanya tuamini ni yeye mwenyewe alijiuzuru. Tatizo kwasasa ni kusemekana hapatikani na wengi walitegemea angetokea kwenye uapisho wa mwenzake hajakwenda! Leo wengi wakajua atatokea Kanisani kama kawaida yake na hajaonekana! Sasa hii itazua wasiwasi mkubwa
tukiweka kando mambo ya kushtakiwa bungeni,Labda tujiulize kabla ya kumaliza muda wake, Makamu wa Rais anaondolewaje madarakani kama amefanya makosa na amegoma kujiuzulu?
Unawezaje kumvua uanachama Rais aliyepigiwa kura (assuming free and fair) ili umuondoe madarakani bilateral kuweka wazi sababu za kufanya hivyo au kumpa nafasi ya kujitetea au kukata rufaa)?tukiweka kando mambo ya kushtakiwa bungeni,
chama chake cha siasa kinaweza mvua uanachama hivyo anapoteza sifa za kugombea ,anapoteza kiti na si makamu tu hata rais mwenyewe uanachama wakimuondoa anapoteza kiti
kuhusu ni sawa au si sawa ni mjadala
kama sote tutakubaliana kwa pamoja kwamba katiba yetu ina changamoto, basi si rahisi sana kuona shida tuliyo nayo kwa ufasaha zaidi. Na kwakua wengi wanahitaji katiba mpya inakua jambo jema sana kuona kwa waziwazi balaa lililopo kwenye katiba iliyopo.Unawezaje kumvua uanachama Rais aliyepigiwa kura (assuming free and fair) ili umuondoe madarakani bilateral kuweka wazi sababu za kufanya hivyo au kumpa nafasi ya kujitetea au kukata rufaa)?
Inasikitisha sana na hizi house arrest zao...
Nikukaa kimasta tu ! Siasa ni Hatari sanaInasikitisha sana na hizi house arrest zao...
Wanasema aliitwa akagoma! Lakini nafikiri makosa makubwa ni kubadili baadhi ya wajumbe kuelekea kumshughulikia na yeye anaweza kusema haamini kama wangetenda haki. Naona ndugu zetu kama wanajifunga na mambo mengi magumu! Unaposhughulika na tatizo inabidi uwe Makini sana usizae tatizo kubwa zaidi. Hekima zitumikeUnawezaje kumvua uanachama Rais aliyepigiwa kura (assuming free and fair) ili umuondoe madarakani bilateral kuweka wazi sababu za kufanya hivyo au kumpa nafasi ya kujitetea au kukata rufaa)?
Wale wote wa 2010 kurudi nyumaKaribu mama la mama
Shikamoo dadaWale wote wa 2010 kurudi nyuma
Ahh
Shkamooni sana Wakubwa 🙌🙌🙌
Ona hata wanavyojenga hoja zao