Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Wameshampa kila kitu without nchimbiwaja wanasubiri trh 4 akienda kukabidhi ofisi au huyu mpya tayali kashapewa funguo?
Wameshampa kila kitu without nchimbiwaja wanasubiri trh 4 akienda kukabidhi ofisi au huyu mpya tayali kashapewa funguo?
Ni mabwege badhiWale wote wa 2010 kurudi nyuma
Ahh
Shkamooni sana Wakubwa 🙌🙌🙌
Ona hata wanavyojenga hoja zao
Mkuu heshima yako....Wewe ni mtu ninaekuheshimu mno na nitaendelea hivyohivyo kukupa heshima humu ndani... hata kama hatujuani ila nikiri ukweli wewe ni mmoja wa watu ambao mulinifanya niipende jamii forum hasa kwa michango yako tangu ule utawala wa kikwete..... ila Mwenyezi ni shahidi kwenye utawala wa magufuli ulibadilika mno Kuna muda niliamini wewe ndie daktari Slaa kwasababu ya kigugumizi chenu kwenye ule utawala japo kulikuwa na uvunjifu mkubwa wa katiba na haki za binadamu kiujumla wake,Hasa kauli za magufuli kuhusu kuwashangaa wakurugenzi kuwatangaza wabunge wa upinzani ambao wameshinda kihalali wewe na slaa mulikaa kimya mzee japo muliisikia hiyo kauli....Acha ufyatu..una uhakika nilifumba macho au unasema tu Ili ujipe uhalali wa kufumbia macho? Si kuna sehemu ya kusearch hapo juu...jaribu kupatumia.
Hata kama kafukuzwa kazi, kazi yoyote iwe umeacha au kuachishwa lazima ukabidhi ofisi. Au mimi ndiye sielewi!
Kwani ili awe Rais si lazma awe mwanachama wa chama cha Siasa?Unawezaje kumvua uanachama Rais aliyepigiwa kura (assuming free and fair) ili umuondoe madarakani bilateral kuweka wazi sababu za kufanya hivyo au kumpa nafasi ya kujitetea au kukata rufaa)?
Umenena vizuri... lakini pia umekosea kusema kua unamuamini Lissu wakati ata huyu Mwanakijiji ulimwamini ila leo umuamini tenaMkuu heshima yako....Wewe ni mtu ninaekuheshimu mno na nitaendelea hivyohivyo kukupa heshima humu ndani... hata kama hatujuani ila nikiri ukweli wewe ni mmoja wa watu ambao mulinifanya niipende jamii forum hasa kwa michango yako tangu ule utawala wa kikwete..... ila Mwenyezi ni shahidi kwenye utawala wa magufuli ulibadilika mno Kuna muda niliamini wewe ndie daktari Slaa kwasababu ya kigugumizi chenu kwenye ule utawala japo kulikuwa na uvunjifu mkubwa wa katiba na haki za binadamu kiujumla wake,Hasa kauli za magufuli kuhusu kuwashangaa wakurugenzi kuwatangaza wabunge wa upinzani ambao wameshinda kihalali wewe na slaa mulikaa kimya mzee japo muliisikia hiyo kauli....Magufuli akaja na ishu ya vyeti feki japo alikuwa sahihi ila lilibaki fumbo kwa makonda ambae watu walidai nae atumbuliwe ila magufuli akaja kutetea kuwa mambo ya vyeti feki ni kwa ajili ya wafanyakazi wa serikali tu.....ikaja zuio la mikutano ya vyama vya siasa (hasa walengwa walikuwa chadema )ambalo ni jambo ambalo lipo kikatiba ila magufuli akaja kuzuia na kuwaambia watu wachape kazi siasa ni mpaka wakati wa kampeni tu vipi mzee wewe na slaa mbona mulikaa kimya?....kutekwa kwa wanasiasa za upinzani kama Ben saanane na wengine wengi na hadi kushambuliwa kwa lissu wewe na slaa mulikaa kimya kabisa....ukaja uchaguzi (uchafuzi)wa serikali za mitaa 2019 mulikaa kimya napo....kulikuwa na jambo fulani maarufu la makinikia ni Lissu pekeyake alitokea hadharani na kudai lile swala limetumika mihemko mno kuliko uhalisia chakushangaza kama kawaida ya vcccccm hawajui kujibu hoja hadi magufuli akamuita lissu ni msaliti na kukawa na wimbo maarufu wa lissu anatumika na mabeberu ila wewe na slaa mulikausha kimya mno...Tena nakumbuka wakati fulani mzee Slaa yupo kwenye mrija wa asali ni wakati huo kulikuwa na kesi ya mbowe na Mzee slaa akasikika anawakemea watanzania waliokisema "Mbowe aachiwe sio gaidi" kuwa waiachie mahakama hiyo ndio inajua..... ila maisha ya ajabu mno Leo mzee slaa anataka lissu aachiwe.....mzee wewe ulimkosoa kwa hoja sana kikwete ila kwa magufuli ukakausha leo unakosoa kwa samia ila awamu ijayo akija mkatoliki mwenzetu nadhani utazimika....Hakika naamini ni Lissu pekeyake ambae anakosoa bila mapenzi wala chuki ila kwa fact
Tafuta mada zangu za wakatibwa Magufuli uone kama nilikausha. Labda hukumbuki ilikuwaje baadhi yetu tuliona bora JPM kuliko yule mwingine.Mkuu heshima yako....Wewe ni mtu ninaekuheshimu mno na nitaendelea hivyohivyo kukupa heshima humu ndani... hata kama hatujuani ila nikiri ukweli wewe ni mmoja wa watu ambao mulinifanya niipende jamii forum hasa kwa michango yako tangu ule utawala wa kikwete..... ila Mwenyezi ni shahidi kwenye utawala wa magufuli ulibadilika mno Kuna muda niliamini wewe ndie daktari Slaa kwasababu ya kigugumizi chenu kwenye ule utawala japo kulikuwa na uvunjifu mkubwa wa katiba na haki za binadamu kiujumla wake,Hasa kauli za magufuli kuhusu kuwashangaa wakurugenzi kuwatangaza wabunge wa upinzani ambao wameshinda kihalali wewe na slaa mulikaa kimya mzee japo muliisikia hiyo kauli....Magufuli akaja na ishu ya vyeti feki japo alikuwa sahihi ila lilibaki fumbo kwa makonda ambae watu walidai nae atumbuliwe ila magufuli akaja kutetea kuwa mambo ya vyeti feki ni kwa ajili ya wafanyakazi wa serikali tu.....ikaja zuio la mikutano ya vyama vya siasa (hasa walengwa walikuwa chadema )ambalo ni jambo ambalo lipo kikatiba ila magufuli akaja kuzuia na kuwaambia watu wachape kazi siasa ni mpaka wakati wa kampeni tu vipi mzee wewe na slaa mbona mulikaa kimya?....kutekwa kwa wanasiasa za upinzani kama Ben saanane na wengine wengi na hadi kushambuliwa kwa lissu wewe na slaa mulikaa kimya kabisa....ukaja uchaguzi (uchafuzi)wa serikali za mitaa 2019 mulikaa kimya napo....kulikuwa na jambo fulani maarufu la makinikia ni Lissu pekeyake alitokea hadharani na kudai lile swala limetumika mihemko mno kuliko uhalisia chakushangaza kama kawaida ya vcccccm hawajui kujibu hoja hadi magufuli akamuita lissu ni msaliti na kukawa na wimbo maarufu wa lissu anatumika na mabeberu ila wewe na slaa mulikausha kimya mno...Tena nakumbuka wakati fulani mzee Slaa yupo kwenye mrija wa asali ni wakati huo kulikuwa na kesi ya mbowe na Mzee slaa akasikika anawakemea watanzania waliokisema "Mbowe aachiwe sio gaidi" kuwa waiachie mahakama hiyo ndio inajua..... ila maisha ya ajabu mno Leo mzee slaa anataka lissu aachiwe.....mzee wewe ulimkosoa kwa hoja sana kikwete ila kwa magufuli ukakausha leo unakosoa kwa samia ila awamu ijayo akija mkatoliki mwenzetu nadhani utazimika....Hakika naamini ni Lissu pekeyake ambae anakosoa bila mapenzi wala chuki ila kwa fact
Ni kweli.Kwani ili awe Rais si lazma awe mwanachama wa chama cha Siasa?
Hata huyo Mzee Mwanakijiji bado nina imani nae sana sema Kuna namna anajisahau....hata yaliyokitokea wakati wa magufuli asingeweza kupaza sauti kukemea ila moyoni hakuwa anafurahia...kuna jambo linaitwa (asili) kwa msomaji wa biblia nadhani anajua kisa cha Musa alipotoka kwenye familia ya farao ambayo ni yakishua aliyokiishi ila akaenda kuwatembelea ndugu zake(asili yake) waliokitesekaUmenena vizuri... lakini pia umekosea kusema kua unamuamini Lissu wakati ata huyu Mwanakijiji ulimwamini ila leo umuamini tena
Hapo mulikosea sana kwasababu sio lazima usapoti yeyote....mfano mimi binafsi sikufurahishwa na ujio wa lowasa kwenye chadema ila siku ya kupiga Kura sikumchagua magufuli wala lowasa....Na niliendelea kumkosoa magufuli kwa makosa yote aliyokiyafanya na baadae nilianza kumkosoa mbowe na magufuli kwa pamojaTafuta mada zangu za wakatibwa Magufuli uone kama nilikausha. Labda hukumbuki ilikuwaje baadhi yetu tuliona bora JPM kuliko yule mwingine.
Ndio maana ya kuwa na haki ya maoni.Hapo mulikosea sana kwasababu sio lazima usapoti yeyote....mfano mimi binafsi sikufurahishwa na ujio wa lowasa kwenye chadema ila siku ya kupiga Kura sikumchagua magufuli wala lowasa....Na niliendelea kumkosoa magufuli kwa makosa yote aliyokiyafanya na baadae nilianza kumkosoa mbowe na magufuli kwa pamoja
Na ndiyo sababu ya watawala kukimbilia kuingiza kwenye katiba kifungu kinacholazimisha kuwa kwenye chama kama sharti la kuwa na sifa ya kuwa mgombea. Hii ni baada ya Mtikila kushinda mahakamani na ikatoka hukumu ya kwamba ni kinyume cha katiba kuzuia mgombea binafsi.kimsingi sana wapiga kura sisi tunahitajika kuhalalisha uchaguzi tu. kuna nguvu kubwa imeachwa kwenye vyama kihuni sana.
naam jana nimepitia sana hukumu iliyotoka na mahakama ya rufaaNa ndiyo sababu ya watawala kukimbilia kuingiza kwenye katiba kifungu kinacholazimisha kuwa kwenye chama kama sharti la kuwa na sifa ya kuwa mgombea. Hii ni baada ya Mtikila kushinda mahakamani na ikatoka hukumu ya kwamba ni kinyume cha katiba kuzuia mgombea binafsi.
Wadau wa sheria nimejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kuitafuta hii hukumu na kuileata mbele yenu ili tuijadili. Nimefanikiwa kuipata na naomba tuisome kwa kina halfu tuijadili. Ni ndefu ni kama kurasa 51 lakini nafikiri its worth reading the whole document.
Nimeiatach.
Kwanza barua ina utata kama kaandika yeye.Kwenye barua ya kujiuzulue ule mstari wa kuachana na siasa na utumishi wa umma uliwekwa kimkakati ili asitokee kwenye umma tena kuzungumzia lolote kuhusu siasa, vinginevyo atawekwa detention kwa decree ya Rais au kupewa kesi ya uhaini itakayofanywa kwa siri bila camera kwa kigezo cha kulinda siri za usalama wa Taifa.
Mkuu,Warioba alimthibitishia kuwa barua ya kujiuzuru ni yake
Hawezi kuwekwa detention mpaka mwisho wa maisha yake kama Aboud Jumbe ?Kwanza barua ina utata kama kaandika yeye.
Pili, hata kama kaandika yeye, chochote alichoandika kwenye ile barua hakipo legally binding kwamba ni lazima afanye.
Tatu detention kashawekwa sasa atawekwa detention gani zaidi?
Nne, kesi ya uhaini ya siri itakuwa kinyume cha katiba na ita i isolate zaidi Tanzania kwenye jumuiya ya kimataifa na kuwazidishia Watanzania machungu, CCM is crazy but not that crazy.
Tano, Nchimbi akiamua kumwaga siri anazozijua hahitaji kesi anaweza hata kuandika kitabu akakichapisha nje.
Unakumbusha mbali sana...daah Lowassa CHADEMAHapo mulikosea sana kwasababu sio lazima usapoti yeyote....mfano mimi binafsi sikufurahishwa na ujio wa lowasa kwenye chadema ila siku ya kupiga Kura sikumchagua magufuli wala lowasa....Na niliendelea kumkosoa magufuli kwa makosa yote aliyokiyafanya na baadae nilianza kumkosoa mbowe na magufuli kwa pamoja
Mzee alikuwa na mvuto mno ukiachana na ishu zake zile....nina shemeji yangu ni mke wa kaka yeye mambo ya siasa Hana kabisa ila siku waliyodai lowasa anafika alijiandaa tangu asubuhi kwenda uwanjani akamuone na hata siku ya uchaguzi alienda kumchagua lowasa tu hakumchagua diwani wala mbungeUnakumbusha mbali sana...daah Lowassa CHADEMA