Uchaguzi 2020 Waitara: M/kiti CCM Mkoa Mara ana tumbo kama pipa, simuogopi

Mbona hakuna alipomuongelea ccm regional chairman mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kondom haitumiwi mara mbili. Subiri utaona.
 
Hapa hesabu zinaonyesha tayari ameshafeli.

Haijui ccm huyo.hiki chama huwa hakiongei Sana ila muda ukifika utashangaa mtu anageuka mlenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa, mkutano anaufanya kama NW au MB wa Ukonga?

Manake kama NW kwanini ahutubie wanaCCM pekee?

Kama MB wa Ukonga....dah!

Intelijensia imekaaje kaaje hapa!
 
Huyu ni mgeni CCM, anaanza mapema kampeni!, bado haijui CCM, asipojifunza, asubiri atafunzwa!.
P

Utakuwa wewe tu ambae hujui Waitara alikwenda CHADEMA akitokea CCM baada ya kushindwa kura za maoni 2010 Tarime.

Hata juzi ziara ya PM Tanga Waitara alisema alikuwa Mwenyekiti UVCCM Tanga miaka ya nyuma.

So, his CCM bonafides, service and legacy are beyond reproach.

Party establishment in Mara, as elsewhere, is understandably rankled by the new divisive trend whereby impatient malcontents bolt the party only to return for fast track anointments, while those who stayed put get bypassed.
 
Ramli.
 
Hao mataahira wa CCM ndicho wanachotaka kusikia na ndicho wanachoambiwa na mataahira wenzao!
 
Kuna uwezekano mkubwa kwa uchaguzi mkuu ujao kuhujumiwa kama ule wa mitaa uliyopita kwa mujibu wa kauli za Bashiru Ally, Polepole nk ni "The Ultimate Gamble" ambayo ccm watakuwa wameamua kuchukua.

Kama Magufuli and Co. wanafikiri wanaweza wakahujumu uchaguzi na ikawa imetoka tu hivyo kama walivyofanya Zanzibar kipindi kile nafikiri watakuwa wamebeti hovyo mno na hujuma hiyo itakuwa ni "A Blessing in Disguise" kwa siasa za Tanzania kwa siku zijazo.

Uchaguzi huo ndio utakuwa ni yardstick itakayotumiwa na wale tunaowatembezea bakuli kila siku kuamua hatima yetu hivyo hujuma itakuwa ni Nothing but The Self Defeating Exercise to this Country.
 
vipi Ukonga hawamtaki tena?
 
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa,
Na kweli...ana tumbo kama pipa! Shuhudieni wenyewe...



Haya manyang'au, wewe acha tu...yanakula kama nzige! Hayalali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…