Waitara ni Jembe, aamua kuifuta CHADEMA Mkoa wa Mara

well said !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa alikuwa anavizabua viroba kwa kuviweka kichwani, si baadae alianza kuimba zile nyimbo zake?
 
Badala ya kufuta umaskini , ujinga na maradhi anawaza kuifuta Chadema..?

Basi ukiona Kiongozi wa aina hiyo hafai ,

Waulize watu wa Dar es salaam jimbo la Ukonga Barabara kila sehemu ni Mashimo ,hajawahi hata kuwaongelea matatizo yao huko Bungeni.

Wapiga kura wa Tarime kuweni makini na huyo tapeli hafai kabisa kuwa Mbunge wenu.
 
Kama akiwa na akili atafuata ushauri wako
In God we Trust
 
Mwambieni Bara bara ya Moshi Bar Mombasa haifai kabisa.
Aache kuendekeza Bia. Atakuja kudondokea pua
Jimbo lake la ukonga ndiyo jimbo linaloongoza kwa miundombinu mibovu zaidi barabara kwa asilimia kubwa yaani nitashangaa kama atachaguliwa tena,sijaona cha maana anachofanya halafu watu wanampa sifa kijinga.
 
Mzee wa njaa kali kazini...naona lile fungu alilopewa tunaona analitumia vizuri.
 
Chadema basi tena na leo wamehama kwenda NCCR Mageuzi Tarime mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…