Waitara ni Jembe, aamua kuifuta CHADEMA Mkoa wa Mara

Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CHADEMA na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CHADEMA wamehama na kwenda NCCR Mageuzi

Chanzo TBC ARIDHIO
Endeleeni kujidanganya tu!!! Tarime ni ya Heche na Matiko.
 
Wameona chama mama kimefurika..... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Bila maisha bora kwa wananchi, haya yooote ni bure tu kama ngozi ya punda.
 
'Hata CCM pamoja na kwamba wameshika dola na pesa za nchi hii lakini hawamfukuzi Mbunge kirahisi'.

Hivi Nyalandu alitumuliwaje CCM?
Nyalandu alijitoa mwenyewe CCM hakufukuzwa.
Anasema roho ilimsuta kubaki kwenye chama kilichopoteza zile imani za chama hasa baada ya Tundu Lisu kupigwa risasi halafu CCM wakawa hawana ujasiri wa kwenda kumsalimia mbunge mwenzao.
Hakufukuzwa.
Na Nyarandu sio mtu mkorofi ila ni mcha Mungu anayeamini katika Utu na Upendo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema imeshakufa, haipo tena.
 
Politics is a dity game... Ounce you choose to be in opposition side get you self ready to face the consequences.
 
Kijana, ndani ya CCM tokea kale vijana wetu walijawa na weledi na staha. Pia mijadala mingi kijana aliyeisemea CCM (tokea TANU) alisisimua kwa mtiririko wa hoja.
Well said, naikumbuka ile UVCCM ya miaka ya 1980 ilivyokuwa na wanasiasa wenye uwezo sio hii ya akina sabaya, jerry na wenzake ambayo hata katibu mkuu wao anasema imepoteza uelekeo
 
Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CHADEMA na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CHADEMA wamehama na kwenda NCCR Mageuzi

Chanzo TBC ARIDHIO
Kumbe waitara ni nccr mageuzi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…