Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, Waziri wake anasema “Wanaopinga rushwa hawajakaa jikoni”

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja.

Watanzania wanalalamika, kwa nini fedha zinapotea nyingi mikononi mwa watu watumishi wa umma? Waziri Mkuu akienda kwenye ziara anasema: wabadhirifu wakamatwe, washughulikiwe, huyo Mheshimiwa... tunashukuru.

Lakini Waziri wake anasema: wale ambao wanapinga rushwa, ni kwa sababu hawajalamba asali na kwa sababu pia hawapo jikoni. Waziri Mkuu alikuwa Waziri wa Fedha, ni jiko lipi linalozungumzwa Mheshimiwa Mwenyekiti?"
 
Waziri Mkuu akienda kwenye ziara anasema: wabadhirifu wakamatwe, washughulikiwe, huyo Mheshimiwa... tunashukuru.

Lakini Waziri wake anasema: wale ambao wanapinga rushwa, ni kwa sababu hawajalamba asali na kwa sababu pia hawapo jikoni. Waziri Mkuu alikuwa Waziri wa Fedha, ni jiko lipi linalozungumzwa Mheshimiwa Mwenyekiti?"
​
Aliesema hivi sio Makonda? Sasa unafikiri Raisi Samia hata kama alisikia waziri wake anasema hivi anajali basi? Huenda yeye aliona ni kibonzo cha kuchekesha. Mawaziri wameshamjulia Samia kuwa hawezi kukemea rushwa hata siku moja, na sababu wanazijua. Na mawaziri wanajua anajua wanajua. Na kama aliesema ni Makonda ndio kabisa! Mnaosubiri Raisi Samia amwajibishe kiongozi kwa rushwa mtasubiri sana!

Sasa enzi za Nyerere waziri aongee utumbo kama huu kama hajawekwa karantine kijijini kwake!

Kuna Mwingereza alitamka tu kwamba mie mawaziri wa Nyerere wako mfukoni. Nyerere alimweka ndani hadi Malkia wa Uingereza ndie alimuombea msamaha kwa Nyerere ili aachiwe. Nyerere alimuuliza una mfuko mkubwa kiasi gani wewe wa kuwaweka mawaziri wangu?
 
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja.

Watanzania wanalalamika, kwa nini fedha zinapotea nyingi mikononi mwa watu watumishi wa umma? Waziri Mkuu akienda kwenye ziara anasema: wabadhirifu wakamatwe, washughulikiwe, huyo Mheshimiwa... tunashukuru.

Lakini Waziri wake anasema: wale ambao wanapinga rushwa, ni kwa sababu hawajalamba asali na kwa sababu pia hawapo jikoni. Waziri Mkuu alikuwa Waziri wa Fedha, ni jiko lipi linalozungumzwa Mheshimiwa Mwenyekiti?"
Waitara anatuambia kumbe Makonda alikuwa anampiga kijembe Mwigulu, huu urais wa 2030 utawafarakanisha sana maccm na sisi wajibu wetu ni kuchochea kuni ili waunguzane hadi wabaki majivu tu kudadadadeq.
 
Back
Top Bottom