Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Aliesema hivi sio Makonda? Sasa unafikiri Raisi Samia hata kama alisikia waziri wake anasema hivi anajali basi? Huenda yeye aliona ni kibonzo cha kuchekesha. Mawaziri wameshamjulia Samia kuwa hawezi kukemea rushwa hata siku moja, na sababu wanazijua. Na mawaziri wanajua anajua wanajua. Na kama aliesema ni Makonda ndio kabisa! Mnaosubiri Raisi Samia amwajibishe kiongozi kwa rushwa mtasubiri sana!Waziri Mkuu akienda kwenye ziara anasema: wabadhirifu wakamatwe, washughulikiwe, huyo Mheshimiwa... tunashukuru.
Lakini Waziri wake anasema: wale ambao wanapinga rushwa, ni kwa sababu hawajalamba asali na kwa sababu pia hawapo jikoni. Waziri Mkuu alikuwa Waziri wa Fedha, ni jiko lipi linalozungumzwa Mheshimiwa Mwenyekiti?"
Waitara anatuambia kumbe Makonda alikuwa anampiga kijembe Mwigulu, huu urais wa 2030 utawafarakanisha sana maccm na sisi wajibu wetu ni kuchochea kuni ili waunguzane hadi wabaki majivu tu kudadadadeq.Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja.
Watanzania wanalalamika, kwa nini fedha zinapotea nyingi mikononi mwa watu watumishi wa umma? Waziri Mkuu akienda kwenye ziara anasema: wabadhirifu wakamatwe, washughulikiwe, huyo Mheshimiwa... tunashukuru.
Lakini Waziri wake anasema: wale ambao wanapinga rushwa, ni kwa sababu hawajalamba asali na kwa sababu pia hawapo jikoni. Waziri Mkuu alikuwa Waziri wa Fedha, ni jiko lipi linalozungumzwa Mheshimiwa Mwenyekiti?"