Waitara: Wote waliothibitika kuiba fedha za serikali wanyongwe!

Waitara: Wote waliothibitika kuiba fedha za serikali wanyongwe!

Sasa kama kuwakamata tuu wameshindwa ndio wataweza kuwanyonga 🤔🤔 alafu tangu lini mtu akajikamata mwenyewe na kwenda kujifunga 🤔🤔 ripoti ya CAG ilivyo pigwa kalenda alikua wapi 🤔🤔 wakiaanza kunyongwa yale majengo ya chama cha mboga mboga tutafugia popo, hakuna atakae pona wote ni wale wale
 
Nyakati zetu za kujivua gamba. Waitara ongoza njia....DJ,walete wengine!
 
Ana hoja ila angetumia akili kidogo tu
Hili la kunyonga hata wanaouwa hawanyongwi na analijua hilo
Wao ni kupigania sheria kali ya kuwafunga wabadhirifu wa mali za umma kama wanavyofungwa waizi wengine wa mitaani

Bora tuanzishe Saini mitaani ya hawa majizi kufungwa na liende bungeni kwa majizi likajadiliwe aaaaaaahh nimefuta kauli
 
Ana hoja ila angetumia akili kidogo tu
Hili la kunyonga hata wanaouwa hawanyongwi na analijua hilo
Wao ni kupigania sheria kali ya kuwafunga wabadhirifu wa mali za umma kama wanavyofungwa waizi wengine wa mitaani

Bora tuanzishe Saini mitaani ya hawa majizi kufungwa na liende bungeni kwa majizi likajadiliwe aaaaaaahh nimefuta kauli
Hellow bunge lipo sehemu gani?
 
Msikile Waitara akitema cheche hapa


Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba wanafanya makusudi na kuiba kwa utaalamu.

Akisema uzembe upo kwa wabunge, kama mtu ameiba ripoti ipo, taarifa zipo, vyombo vipo, lakini mwizi hawajibishwi, je wanafundisha nini vijana wa Tanzania? Kwamba mtu ataiba na kuhamishwa tu wizara bila ya kuwajibika? Ataka wote waliothibitishwa kuhusika na wizi huo wanyongwe.

Asema wasisubiri kuambiwa kuwa wanantakiwa kuchukua hatua, bali wawajibishe sababu wao wabunge ndio wenye dhamana ya kufanya hivyo. Asema kama fedha zinatolewa kwaajili ya ripoti ya CAG kufanya uchunguzi halafu hakuna kinachofanyika zaidi ra ripoti hizo kuwekwa kwenye makabati na mwaka unaofata mambo kuwa yale yale, yeye Waitara ataachana na kuchangia maoni juu ya ripoti hiyo.
Kwa sheria ipi?
 
Hili ndio pendekezo langu lengo ni kufuta kizazi cha aina hii katika Taifa.

Hatuwezi kupiga hatua tukiwa na watu wa aina hii ambao hata Mwalimu alliwasema hadharani kuwa wana tabia za "kimalaya malaya".

Nawasilisha
Nani sasa wa kuitunga hiyo sheria ya ukikutwa umeiba mali&fedha za umma unyongwe

Ova
 
Back
Top Bottom