Daaaaa misiba kila jimbo na wilaya lhaaa.....wapigaji wengi sanaaaVita ni vita Mura, uyu mbunge wa Tarime aliyepata nafasi yakuchemka bungeni na kutoa pendekezo la hawa viongozi wanaokula pesa za umma wanyongwe kwa kutoa mifano hai kama kule korea kwa bwana Kim
Hii naona kama imekaa kisiasa za kuzuga hii ni kama strategy flani yakuwazuga watanzania waone chama kipo hai, kwa historia ya nchi yetu adhabu za kunyongwa tunajua hazijapewa nafasi yoyote
Na huenda Waitara yupo serious na kaguswa na hilo jambo tatizo wanasiasa hawaaminiki
huyo jamaa hajawahi kuwa serious. watu wa tarime tunamjua ,huo ubunge anao kwa nguvu ya marehemuVita ni vita Mura, uyu mbunge wa Tarime aliyepata nafasi yakuchemka bungeni na kutoa pendekezo la hawa viongozi wanaokula pesa za umma wanyongwe kwa kutoa mifano hai kama kule korea kwa bwana Kim
Hii naona kama imekaa kisiasa za kuzuga hii ni kama strategy flani yakuwazuga watanzania waone chama kipo hai, kwa historia ya nchi yetu adhabu za kunyongwa tunajua hazijapewa nafasi yoyote
Na huenda Waitara yupo serious na kaguswa na hilo jambo tatizo wanasiasa hawaaminiki
Ccm hawawezi kunyongana hakuna ccm hata mmja anaeweza mnyooshea mwenzie kidole.Msikile Waitara akitema cheche hapa
Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba wanafanya makusudi na kuiba kwa utaalamu.
Akisema uzembe upo kwa wabunge, kama mtu ameiba ripoti ipo, taarifa zipo, vyombo vipo, lakini mwizi hawajibishwi, je wanafundisha nini vijana wa Tanzania? Kwamba mtu ataiba na kuhamishwa tu wizara bila ya kuwajibika? Ataka wote waliothibitishwa kuhusika na wizi huo wanyongwe.
Asema wasisubiri kuambiwa kuwa wanantakiwa kuchukua hatua, bali wawajibishe sababu wao wabunge ndio wenye dhamana ya kufanya hivyo. Asema kama fedha zinatolewa kwaajili ya ripoti ya CAG kufanya uchunguzi halafu hakuna kinachofanyika zaidi ra ripoti hizo kuwekwa kwenye makabati na mwaka unaofata mambo kuwa yale yale, yeye Waitara ataachana na kuchangia maoni juu ya ripoti hiyo.
Majizi wengine ni chadema. Aliyekwambia ACT wazalendo hawaibi nani?CCM inatia aibu sn kwa huu wizi
Sawa dada anguMajizi wengine ni chadema. Aliyekwambia ACT wazalendo hawaibi nani?
Akaendelea kuwa waziri wa fedha aliandika barua kupitia kwa katibu wake mkuu kutaka mkataba usainiwe ambayo hiyo pia ni muendelezo wa kuvunja sheria za nchi.
Hii ni hoja mkuu, mtu haanzi kunyongwa kama hujamkamata!Sasa kama kuwakamata tuu wameshindwa ndio wataweza kuwanyonga π€π€ alafu tangu lini mtu akajikamata mwenyewe na kwenda kujifunga π€π€ ripoti ya CAG ilivyo pigwa kalenda alikua wapi π€π€ wakiaanza kunyongwa yale majengo ya chama cha mboga mboga tutafugia popo, hakuna atakae pona wote ni wale wale
Mkuu hawa watu ni usanii kwa kwenda mbele. Hakuna ukweli wowowte na zaidi wameona uchaguzi unazidi kukaribia hivyo wanatoa mkwala ili wasikike. Na anajua kabisa Tanzania hakuna sheria ya kunyonga mafisadi lakini anabwabwaja...Namuunga mkono Waitara kwenye hili.
Wanavyoongea hadi mishipa inawasimama inaweza kudhani wanamaanisha na wana uchungu kweli ila baadaye utasikia ndiooo na wanasifu serikali ma chama kwa utendaji uliotukukaMsikile Waitara akitema cheche hapa