Waitara: Wote waliothibitika kuiba fedha za serikali wanyongwe!

Haya majangili ya CCM yanafahamiana vizuri sn.
Na yanajua mikwala na usanii wa kupiga kelele unafanya wananchi waridhike na kuona ni viongozi wazuri. Ukiona Makonda alivyo na maneno mengi utadhani mwaka ujao nchi itakuwa kama Ulaya kumbe ni usanii tu. Mimi hawanidanganyi hawa wajinga.
 
Wameshindwa kuwafunga ndio wawanyonge, sio nchi hii.
Kila siku huwa nawaambia watu kuwa ukishindwa kufanya mahesabu madogo kama kujumlisha ndiyo utaweza mahesabu ya intergration? Siyo hata kufungwa, sema kutengua nafasi zao. Umeshawahi kuona mbunge amefukuzwa ubunge kwa sababu ya ufisadi wakati wanafisadi kila siku? Kufungwa ndiyo kabisaa halafu wanajifanya eti kunyonga.
 
Wanatuona sisi wajiinga.
 
Hii ni kweli maana hata vijana ambao ni taifa LA kesho wanaona kuingia serikalini au kupata tenda ya serikali ni chance ya kula hela tu maana hamna adhabu Kali zinazotolewa kwa wezi hao namuunga mkono ni kunyoongwa hadi kufa maana kama ni kuachishwa kazi au kuhamishwa tu mtu anajua anahela yake tayari au kama ni jela Kuna msamaha wa rais unaweza kumpitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…