Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sijasema hivyo..kama unamkubali kwa nini uitoe?Unataka niitoe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema hivyo..kama unamkubali kwa nini uitoe?Unataka niitoe?
haya mambo uliyoandika hapa yanafikirisha sana!Mkuu Eyce, Merry Christmas to you Brother,
Mzee Nyerere is a controversial, enigmatic, mysterious and polarizing figures. Wengi wanamkubali na wengine hawamkubali, hasahasa kizazi ambacho kiliyaishi makosa ambayo aliyafanya Mzee Nyerere. Huu ndiyo ukweli mchungu. Kukosea kila mtu anakosea hapa duniani, jambo ambalo linanitatiza ni kwamba hata baada ya kuiingiza Tanzania vitani dhidi ya Uganda na kuifilisi Tanzania, Raisi Nyerere hakukubali makosa na akaendelea kutumia mkono wa chuma kudhibiti watanzania ambao walionekana kutoridhika na ile hali. Kwanini hakutaka kubadilika hata baada ya kuona watanzania wako kwenye lindi kubwa la umasikini ambao ulisababishwa na sera zake?
Miaka mitano ya mwisho ya Mzee Nyerere ilijaa taharuki mambo ya kuogopesha kuwahi kutokea Tanzania. Wengi hawafundishwi lakini Tanzania ilipitia changamoto nyingi za kiusalama, na ziliondoka punde tu baada Mzee Nyerere kung'atuka madarakani. Hebu tupitishane kwa harakaharaka.
1. Utekaji wa ndege uliofanya na vijana waliotaka Raisi Nyerere ajiuzulu.
2. Mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa na maafisa wa jeshi waliotaka Raisi Nyerere auawawe.
3. Uasi kanda ya ziwa, maafisa wa kijeshi huko mkoa wa Mara walianzisha nchi yao iitwayo Jamhuri ya Chui.
4.Mzee Nyerere anamrudisha Waziri Mkuu Sokoine madarakani huku akilalamika kwa Samora kwamba wanapishana.
5. Kuna minong'ono kwamba kuna chama cha kisiasa kinataka kuanzishwa na kina mahusiano na taifa la Ujerumani Mashariki.
6. Harakati za kusaka wahujumu uchumi zinaanza ambapo chama kiligawanyika na Sokoine katishia hadi maaskofu.
7. Waziri Mkuu anauwawa kwa ajali, jambo ambalo siyo kawaida kwenye msafara wake. Postmertem haikufanywa.
8. Nyerere anazungukwa na wajanja kina Thabiti Kombo ambao wanamwambia Mwinyi akubali kuwa Raisi.
9. Aboud Jumbe ameshinikizwa kwamba Zanzibar ijitoe kwenye muungano na anawekwa kizuizini.
Watanzania ni watu wenye utulivu mno, ukiona hadi wamefikia hatua ya kutumia jeshi, vurugu na kukuzunguka kisiasa, suala zima la kukubalika kwa Mzee Nyerere linatutia wengi ukakasi. Mwishoni Mzee alishindwa kuidhibiti dola na chama, watu wakawa wanamfanyia hujuma waziwazi. Nini kilipelekea hili kutokea ?
Elimu ilikuwa Bure lakini ilikuwa irrelevant chini ya mfumo ule wa chama kushika hatamu wasomi hawakufurukuta, unamjua Rashid kawawa weWe alafu umletee usomi?Umesahau kuwa elimu ilikuwa bure mpaka chuo kikuu, huduma za afya zilipatikana bure nchi nzima, viwanda vingi vilijengwa na ajira kwa wasomi zilikuwa za kutosha nk.
Umesahau kuwa elimu ilikuwa bure mpaka chuo kikuu, huduma za afya zilipatikana bure nchi nzima, viwanda vingi vilijengwa na ajira kwa wasomi zilikuwa za kutosha nk.
Mkuu The Boy Wonder , asante kwa bandiko hili, hata hivyo majibu ya bandiko hili, hayatasaidia lolote kwenye ule mchakato, mchakato unaendelea!.
P
Mkuu, kila nyakati zina mambo yake ambayo kwa wakati huo inaonekana ni sahihi. Wakati ule jamaa ulionekana una maana, hasa katika kulinda rasilimali za nchi.Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie.
Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi wa mtanzania kuweza kujikwamua kiuchumi. Ujamaa wa Tanzania hakuleta matokeo yoyote makubwa na ya kuchangaza ukilinganisha na kule Asia na Ulaya ambako walau walifanya mapinduzi ya sayansi na teknolojia.
Uchina walifanikiwa sana baada ya Raisi Deng Xiaping kuanza kuwaonea huruma raia wake akifahamu kabisa kwamba njia waliyokuwa wanaenda ilikuwa siyo sahihi. Aliruhusu watu waanze kumiliki mali zao binafsi na kufanya biashara. Najiuliza sana, miaka yote 18 ya Ujamaa, yalifanyika na kutokea mambo mengi mno kwa watanzania, kiasi kwamba kiongozi yoyote mwenye huruma na wananchi ni lazima angekaa chini na kujifanyia tathmini, lakini Raisi Nyerere hakufanya hivyo, aliendelea kuwa na moyo mgumu kama Farao. Hebu tuzingatie haya:
1. Sera ya utaifishaji wa mali, ilileta umasikini mkubwa sana kwa watu.
2. Kufuta vikundi ya ushirika (Cooperatives) na kuweka vile vya TANU kulididimiza mno sekta ya kilimo.
3. Kupiga marufuku watu binafsi kuagiza bidhaa nje ya Tanzania kulipelekea uhaba wa bidhaa na huduma muhimu.
4. Kuweka ugumu katika kusafiri (Travelling Restrictions) kulisababisha ukosefu wa ujuzi kwa watanzania.
5. Kuminya uhuru wa mawazo na kutumia nguvu ya dola kunyamazisha watu kulidumaza ukomavi wa demokrasia.
Mpaka kufika miaka ya 80's Ujamaa ulikuwa umefeli vibaya mno. Tanzania tulikuwa hatuna hata unga wa kupikia, mafuta, wala sukari. Mtaa mzima mlikuwa mnaenda kwa mwenyekiti kuomba sukari au sabuni kutoka maduka ya ushirika. Ukikamatwa na mafuta, sabuni au dawa za binadamu zilizolanguliwa kutoka Kenya lazima ushughulikiwe na dola. Kama ulisoma miaka ya 80's unaweza kukumbuka kwamba hata sare za shule zilikosa rangi, watu tukawa tunavaa vitu vya ajabu vilivyochakaa kama vile vichaa. Ukibahatika kukutana na wamishionari au taasisi za kidini ndiyo ulikuwa unaweza kupewa hata nguo, mahitaji na wazungu.
Yote haya yanafanyika, Mzee Nyerere na Sokoine wakaingia mtaani kuanza kushughulikia maelfu ya watanzania ambao wanahujumu uchumi. Ila ukifuatilia zile kesi nyingi, utafahamu kwamba hao wahujumu uchumi ni wale watanzania wenye akili za haraka ambao walijiongeza na kuweza kupata mahitaji muhimu ili kuhudumia familia zao. Wahujumu uchumi kwelikweli, ambao wengi walikuwa ni vigogo wa serikalini hawakuguswa. Kiukweli, kama nchi ina kiongozi mwenye huruma haya yote yasingetokea bila yeye kujirudi.
Hivi kwanini MTAKATIFU na MWENYEHERI, Raisi Nyerere hakuwa na chembe ya huruma moyoni ?
Kuna mambo nikikumbuka huwa naumia sana na nakosa majawabu. Hivi alikuwa anapenda kutuona sisi vile ?
Mkuu The Boy Wonder , asante kwa bandiko hili, hata hivyo majibu ya bandiko hili, hayatasaidia lolote kwenye ule mchakato, mchakato unaendelea!.
P
Mkuu, kila nyakati zina mambo yake ambayo kwa wakati huo inaonekana ni sahihi. Wakati ule ujamaa ulionekana una maana, hasa katika kulinda rasilimali za nchi.Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie.
Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi wa mtanzania kuweza kujikwamua kiuchumi. Ujamaa wa Tanzania hakuleta matokeo yoyote makubwa na ya kuchangaza ukilinganisha na kule Asia na Ulaya ambako walau walifanya mapinduzi ya sayansi na teknolojia.
Uchina walifanikiwa sana baada ya Raisi Deng Xiaping kuanza kuwaonea huruma raia wake akifahamu kabisa kwamba njia waliyokuwa wanaenda ilikuwa siyo sahihi. Aliruhusu watu waanze kumiliki mali zao binafsi na kufanya biashara. Najiuliza sana, miaka yote 18 ya Ujamaa, yalifanyika na kutokea mambo mengi mno kwa watanzania, kiasi kwamba kiongozi yoyote mwenye huruma na wananchi ni lazima angekaa chini na kujifanyia tathmini, lakini Raisi Nyerere hakufanya hivyo, aliendelea kuwa na moyo mgumu kama Farao. Hebu tuzingatie haya:
1. Sera ya utaifishaji wa mali, ilileta umasikini mkubwa sana kwa watu.
2. Kufuta vikundi ya ushirika (Cooperatives) na kuweka vile vya TANU kulididimiza mno sekta ya kilimo.
3. Kupiga marufuku watu binafsi kuagiza bidhaa nje ya Tanzania kulipelekea uhaba wa bidhaa na huduma muhimu.
4. Kuweka ugumu katika kusafiri (Travelling Restrictions) kulisababisha ukosefu wa ujuzi kwa watanzania.
5. Kuminya uhuru wa mawazo na kutumia nguvu ya dola kunyamazisha watu kulidumaza ukomavi wa demokrasia.
Mpaka kufika miaka ya 80's Ujamaa ulikuwa umefeli vibaya mno. Tanzania tulikuwa hatuna hata unga wa kupikia, mafuta, wala sukari. Mtaa mzima mlikuwa mnaenda kwa mwenyekiti kuomba sukari au sabuni kutoka maduka ya ushirika. Ukikamatwa na mafuta, sabuni au dawa za binadamu zilizolanguliwa kutoka Kenya lazima ushughulikiwe na dola. Kama ulisoma miaka ya 80's unaweza kukumbuka kwamba hata sare za shule zilikosa rangi, watu tukawa tunavaa vitu vya ajabu vilivyochakaa kama vile vichaa. Ukibahatika kukutana na wamishionari au taasisi za kidini ndiyo ulikuwa unaweza kupewa hata nguo, mahitaji na wazungu.
Yote haya yanafanyika, Mzee Nyerere na Sokoine wakaingia mtaani kuanza kushughulikia maelfu ya watanzania ambao wanahujumu uchumi. Ila ukifuatilia zile kesi nyingi, utafahamu kwamba hao wahujumu uchumi ni wale watanzania wenye akili za haraka ambao walijiongeza na kuweza kupata mahitaji muhimu ili kuhudumia familia zao. Wahujumu uchumi kwelikweli, ambao wengi walikuwa ni vigogo wa serikalini hawakuguswa. Kiukweli, kama nchi ina kiongozi mwenye huruma haya yote yasingetokea bila yeye kujirudi.
Hivi kwanini MTAKATIFU na MWENYEHERI, Raisi Nyerere hakuwa na chembe ya huruma moyoni ?
Kuna mambo nikikumbuka huwa naumia sana na nakosa majawabu. Hivi alikuwa anapenda kutuona sisi vile ?
Mkuu, wewe ni prominent member humu na huwa unaandika vitu vyenye msaada mkubwa kimawazo na kielimu kwetu. Ila ukweli usemwe, ktk bandiko hili haujawa objective sana. Elimu yako umeipata kipindi cha Nyerere Kam ulivyosema. Sasa kwa mfano mmoja tu huo, fananisha mtu mwenye elimu sawa na wewe kwa wakati huu utapata picha fulani ambayo utaigeneralize ktk vitu vingi vinavyoendelea baada ya uongozi wa awamu ya kwanza.Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie.
Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi wa mtanzania kuweza kujikwamua kiuchumi. Ujamaa wa Tanzania hakuleta matokeo yoyote makubwa na ya kuchangaza ukilinganisha na kule Asia na Ulaya ambako walau walifanya mapinduzi ya sayansi na teknolojia.
Uchina walifanikiwa sana baada ya Raisi Deng Xiaping kuanza kuwaonea huruma raia wake akifahamu kabisa kwamba njia waliyokuwa wanaenda ilikuwa siyo sahihi. Aliruhusu watu waanze kumiliki mali zao binafsi na kufanya biashara. Najiuliza sana, miaka yote 18 ya Ujamaa, yalifanyika na kutokea mambo mengi mno kwa watanzania, kiasi kwamba kiongozi yoyote mwenye huruma na wananchi ni lazima angekaa chini na kujifanyia tathmini, lakini Raisi Nyerere hakufanya hivyo, aliendelea kuwa na moyo mgumu kama Farao. Hebu tuzingatie haya:
1. Sera ya utaifishaji wa mali, ilileta umasikini mkubwa sana kwa watu.
2. Kufuta vikundi ya ushirika (Cooperatives) na kuweka vile vya TANU kulididimiza mno sekta ya kilimo.
3. Kupiga marufuku watu binafsi kuagiza bidhaa nje ya Tanzania kulipelekea uhaba wa bidhaa na huduma muhimu.
4. Kuweka ugumu katika kusafiri (Travelling Restrictions) kulisababisha ukosefu wa ujuzi kwa watanzania.
5. Kuminya uhuru wa mawazo na kutumia nguvu ya dola kunyamazisha watu kulidumaza ukomavi wa demokrasia.
Mpaka kufika miaka ya 80's Ujamaa ulikuwa umefeli vibaya mno. Tanzania tulikuwa hatuna hata unga wa kupikia, mafuta, wala sukari. Mtaa mzima mlikuwa mnaenda kwa mwenyekiti kuomba sukari au sabuni kutoka maduka ya ushirika. Ukikamatwa na mafuta, sabuni au dawa za binadamu zilizolanguliwa kutoka Kenya lazima ushughulikiwe na dola. Kama ulisoma miaka ya 80's unaweza kukumbuka kwamba hata sare za shule zilikosa rangi, watu tukawa tunavaa vitu vya ajabu vilivyochakaa kama vile vichaa. Ukibahatika kukutana na wamishionari au taasisi za kidini ndiyo ulikuwa unaweza kupewa hata nguo, mahitaji na wazungu.
Yote haya yanafanyika, Mzee Nyerere na Sokoine wakaingia mtaani kuanza kushughulikia maelfu ya watanzania ambao wanahujumu uchumi. Ila ukifuatilia zile kesi nyingi, utafahamu kwamba hao wahujumu uchumi ni wale watanzania wenye akili za haraka ambao walijiongeza na kuweza kupata mahitaji muhimu ili kuhudumia familia zao. Wahujumu uchumi kwelikweli, ambao wengi walikuwa ni vigogo wa serikalini hawakuguswa. Kiukweli, kama nchi ina kiongozi mwenye huruma haya yote yasingetokea bila yeye kujirudi.
Hivi kwanini MTAKATIFU na MWENYEHERI, Raisi Nyerere hakuwa na chembe ya huruma moyoni ?
Kuna mambo nikikumbuka huwa naumia sana na nakosa majawabu. Hivi alikuwa anapenda kutuona sisi vile ?
Kweli mwandishi lazima atakuwa na umri mdogo lakini hili si kosa. Ukitaka kumhukumu Nyerere lazima umhukumu kwa vigezo vya wakati husika na siyo vigezo vya sasa. Wenzio tuliomfahamu Nyerere alikuwa ni mtu msomi, msikivu na mtafiti wa ukweli. Kama wewe unadhani hakukuwa na demokrasia wakati wa chama kimoja basi wewe hujasoma historia ya bunge la wakati huo ukalinganisha na Bunge la leo. Kuhusu maendeleo ya Tanzania pia unatakiwa ujue tulipopata uhuru maendeleo ya Tanganyika yalikuwa wapi na wasomi wangapi. Nyerere alimteua Prof Justian Rweyemamu, Mchumi nguli wa wakati huo lakini waliompiga vita hakuwa Nyerere ila establshment. Wengi walikuwa hawamwelewi. Akaletwa Prof Mbilinyi ambaye impact yake ilikuwa ndogo. Sasa kama una Tanzania iko nyuma unailinganisha na nchi ipi? Kenya? Uganda, DRC au Malawi? Wengi mnapenda kuona Kenya kama imeendelea lakini umewahi kaa Kenya ukaona maisha halisi yalivyo? Kwa wakati ule niliwahi kusikia comment moja ambayo pengine ina ukweli kwamba nchi ye yote ambayo ingefuata sera za Tanzania ikatumia uongozi wa Kenya wa wakati ule kutekeleza sera hiyo, ingeendelea vizuri hapa Afrika! Fikiri!
Hii ni baadhi ya sifa za kweli alizokuwa nazo Nyerere, ili hili likatiba alitukosea sana.Kwa nguvu za madaraka alizokuwa nazo kipindi cha utawala wake kama angekuwa ana tamaa ya mali angekuwa na utajiri kuliko alioupata Mobutu SeseSeko !
Lakini Mzee wa watu aliondoka bila kukwapua mali za Nchi !!
RIP Mwalimu JKN 🙏🙏🇹🇿
Malawi walifuata siasa gani ? Au nao walikuwa wajamaa....tutsjie nchi za africa ambazo azikufuata ujamaa tuona zilivyo na uchumi wa kitajiri kama nchi za asia ...ili tuone kama wewe unayo akili kichwani
Mkuu, wewe ni prominent member humu na huwa unaandika vitu vyenye msaada mkubwa kimawazo na kielimu kwetu. Ila ukweli usemwe, ktk bandiko hili haujawa objective sana. Elimu yako umeipata kipindi cha Nyerere Kam ulivyosema. Sasa kwa mfano mmoja tu huo, fananisha mtu mwenye elimu sawa na wewe kwa wakati huu utapata picha fulani ambayo utaigeneralize ktk vitu vingi vinavyoendelea baada ya uongozi wa awamu ya kwanza.
Na anakaribia kuwa mtakatifu, hakika kama mkatoliki nimekwqzika sana.....dah.
China ujamaa aliendelea nao mpaka sasa anaendelea nao.Nne, mbona Uchina alikioga mfumo wa Ujamaa walifanya mabadiliko mapema miaka ya 70's na hawakupata matatizo yoyote, zaidi zaidi walifanikiwa mno. Tanzania tulikuwa na uziada upi wa kuchelewesha mabadiliko kwa muda mrefu ilhali wananchi wakiwa wanapitia mateso?
Lengo lake haswa lilikuwa ni nini ?
Kabisa kabisa na yeye mwenyewe alitahadharisha kuhusu hii Katiba akiwa nje ya madaraka !!Hii ni baadhi ya sifa za kweli alizokuwa nazo Nyerere, ili hili likatiba alitukosea sana.
haya mambo uliyoandika hapa yanafikirisha sana!
Umemezeshwa sumu mbaya sana madrasa.Pole sana.Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie.
Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi wa mtanzania kuweza kujikwamua kiuchumi. Ujamaa wa Tanzania hakuleta matokeo yoyote makubwa na ya kuchangaza ukilinganisha na kule Asia na Ulaya ambako walau walifanya mapinduzi ya sayansi na teknolojia.
Uchina walifanikiwa sana baada ya Raisi Deng Xiaping kuanza kuwaonea huruma raia wake akifahamu kabisa kwamba njia waliyokuwa wanaenda ilikuwa siyo sahihi. Aliruhusu watu waanze kumiliki mali zao binafsi na kufanya biashara. Najiuliza sana, miaka yote 18 ya Ujamaa, yalifanyika na kutokea mambo mengi mno kwa watanzania, kiasi kwamba kiongozi yoyote mwenye huruma na wananchi ni lazima angekaa chini na kujifanyia tathmini, lakini Raisi Nyerere hakufanya hivyo, aliendelea kuwa na moyo mgumu kama Farao. Hebu tuzingatie haya:
1. Sera ya utaifishaji wa mali, ilileta umasikini mkubwa sana kwa watu.
2. Kufuta vikundi ya ushirika (Cooperatives) na kuweka vile vya TANU kulididimiza mno sekta ya kilimo.
3. Kupiga marufuku watu binafsi kuagiza bidhaa nje ya Tanzania kulipelekea uhaba wa bidhaa na huduma muhimu.
4. Kuweka ugumu katika kusafiri (Travelling Restrictions) kulisababisha ukosefu wa ujuzi kwa watanzania.
5. Kuminya uhuru wa mawazo na kutumia nguvu ya dola kunyamazisha watu kulidumaza ukomavi wa demokrasia.
Mpaka kufika miaka ya 80's Ujamaa ulikuwa umefeli vibaya mno. Tanzania tulikuwa hatuna hata unga wa kupikia, mafuta, wala sukari. Mtaa mzima mlikuwa mnaenda kwa mwenyekiti kuomba sukari au sabuni kutoka maduka ya ushirika. Ukikamatwa na mafuta, sabuni au dawa za binadamu zilizolanguliwa kutoka Kenya lazima ushughulikiwe na dola. Kama ulisoma miaka ya 80's unaweza kukumbuka kwamba hata sare za shule zilikosa rangi, watu tukawa tunavaa vitu vya ajabu vilivyochakaa kama vile vichaa. Ukibahatika kukutana na wamishionari au taasisi za kidini ndiyo ulikuwa unaweza kupewa hata nguo, mahitaji na wazungu.
Yote haya yanafanyika, Mzee Nyerere na Sokoine wakaingia mtaani kuanza kushughulikia maelfu ya watanzania ambao wanahujumu uchumi. Ila ukifuatilia zile kesi nyingi, utafahamu kwamba hao wahujumu uchumi ni wale watanzania wenye akili za haraka ambao walijiongeza na kuweza kupata mahitaji muhimu ili kuhudumia familia zao. Wahujumu uchumi kwelikweli, ambao wengi walikuwa ni vigogo wa serikalini hawakuguswa. Kiukweli, kama nchi ina kiongozi mwenye huruma haya yote yasingetokea bila yeye kujirudi.
Hivi kwanini MTAKATIFU na MWENYEHERI, Raisi Nyerere hakuwa na chembe ya huruma moyoni ?
Kuna mambo nikikumbuka huwa naumia sana na nakosa majawabu. Hivi alikuwa anapenda kutuona sisi vile ?
Jiulize na population ilikuwaje wakati huo relativelyNakusoma mkuu, lakini naomba niulize tu:
Kipindi cha MTAKATIFU RAISI NYERERE vyuo vikuu vilikuwa vingapi na wanafunzi waliosoma walikuwa ni wangapi ?
Sasa mbona vyuo vyetu vinazalisha machawa badala ya wasomi wanaojielewaElimu ilikuwa Bure lakini ilikuwa irrelevant chini ya mfumo ule wa chama kushika hatamu wasomi hawakufurukuta, unamjua Rashid kawawa weWe alafu umletee usomi?
Miaka hiyo wasomi wengi walikiambia nchi ilikuwa ni ngumu sana nyerere kufanya kazi na wasomi wanaojitambua
China ujamaa aliendelea nao mpaka sasa anaendelea nao.
Mabadiliko pekee uchina waliyo amua kuchukua ni kufanya yale yanayowezekana kufanywa ndani ya ujamaa na kupuuzia yale yasiyowezekana they decide to be more realistic.
China iliamua kwa muda waliopo na hali waliyokuwa nayo kulikuwa hakuna ulazima wa wao kukeep kuwa na mawazo ya kuujenga ukomunisti kwenye fikra tu na kutembea nao vichwani ili walazimu wao kutoka kuwa viongozi wa kifikra zaidi na kuamua kuwa viongozi watendaji zaidi kwa yale yatakayo onesha muelekeo wa wao kujenga nchi ya kikomunisti basi wao watayafuata na yale yatakayo onesha muelekeo hasi haraka wataachana nayo.
China imejifunza economic models mbalimbali kuanzia miaka yake ya mwanzo ya uhuru ili tumia Soviet economic model baada ya kufeli miaka ya 50 wakaachana nayo, China imejifunza Japan, Singapore,Taiwan, Hongkong e.t.c China imejaribu kukopa idea mbalimbali za kiuchumi katika nchi mbalimbali na kuzifanyia utekelezaji utakao endana na matakwa ya jamii ya kikomunisti ya Uchina.
Serikali ya China kuweza kuchukua hatua za haraka za mabadiliko ya kiuchumi ni miongoni mwa vitu vilivyo wanusuru na mpaka sasa vinawanusuru. toka kipindi cha mwenyekiti Mao pale sera zinapofeli haraka sana wanachukua mabadiliko Deng ameplay important role ya mabadiliko ya sera za kiuchumi wa China toka mwanzo baada ya uhuru kipindi akiwa Waziri wa fedha.
Kuhusu mabadiliko ya kisera ya China ya miaka ya 70 sio kwamba hayakuwa na matatizo wala hayakuleta shida.
Moja ya matatizo maarufu ya mabadiliko ya sera ya miaka ya 70 yaliyofanywa na Deng ni maandamano ya Tianmen Square.
Maandamano ya Tianmen Square ni matokeo ya sera kuleta matokeo makubwa hasi katika jamii ya kichina katika wakulima, umiliki wa ardhi, mfumuko mkubwa wa bei katika historia ya China, rushwa kutamalaki kila kona China hasa katika serikali, ongezeko kubwa la kati ya watu wasio nacho na wenye nacho na mengine mengi.
Wananchi wa China waliingiwa na hasira mpaka kutishia kuangusha serikali ya Beijing uzuri ni hatua za haraka zilichukuliwa na mabadiliko kufanyika bila hivyo China hii nayo inge collapse kama Soviet kwenye hiyo hiyo miaka ya 80-90