Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 851
Labda Watanzania wasio na kumbukumbu kwa sababu hii si mara ya kwanza kucheza naoNi mapema mno, kaja hana hata mwezi , mchezo wa jana ni wapili kwake, wachezaji wenyewe hajawajua sawasawa, watanzania wenyewe ni watu wa kulishwa maneno, wamelishwa maneno kwamba Cape Verde ina mpira mdogo na inafungika, wamelishwa maneo kwamba Cape Verde haina uwanja mkubwa wa ndege wa kutua Dreamliner wakati si kweli, Cape Verde wana viwanja vizuri kuliko vya kwetu wana viwanja vya ndege bora kuliko vyetu, wana timu nzuri ya taifa ya mpira kuliko ya kwetu
Kwa hiyo mleta mada ni moja wapo wa watu wa kilishwa maneno, siku hizi kwa nini ungoje kuambiwa? wakati unaweza kugooge tu ukapata ukweli wote?
Kumbe!Ni mapema mno, kaja hana hata mwezi , mchezo wa jana ni wapili kwake, wachezaji wenyewe hajawajua sawasawa, watanzania wenyewe ni watu wa kulishwa maneno, wamelishwa maneno kwamba Cape Verde ina mpira mdogo na inafungika, wamelishwa maneo kwamba Cape Verde haina uwanja mkubwa wa ndege wa kutua Dreamliner wakati si kweli, Cape Verde wana viwanja vizuri kuliko vya kwetu wana viwanja vya ndege bora kuliko vyetu, wana timu nzuri ya taifa ya mpira kuliko ya kwetu
Kwa hiyo mleta mada ni moja wapo wa watu wa kilishwa maneno, siku hizi kwa nini ungoje kuambiwa? wakati unaweza kugooge tu ukapata ukweli wote?
Yani una taka kina ajibu ma kichuya wakacheze na kina ricardo na nuno? Hivi huijui cape verde ee? Ulitaka kumfunga cape verde kwenye uwanja wake wa nyumbani? Mimi nita fadhaika kama tuta shindwa kumfunga cape verde apa uwanja wa taifa io jumanneNapata mfadhaiko mkubwa pale timu yetu ya taifa inapofungwa tena kiboya kabisa....kwa ugunduzi wangu mwembamba, nimegundua kuwa Tatizo la Timu yetu ya taifa kufanya vibaya ni huyu Kocha (Amunike).
Katika ya mechi hii na Carbo Verdè, nilitegemea mabadiliko na usahihishaji wa makosa yaliyojitokeza kwenye mechi yetu na Uganda but kocha ameamua kuwa mbishi na misimamo yake inayogharimu future ya timu yetu
*Thomas Ulimwengu? Wa kazi gani?
*Mbwana Samatta? Huyo mfanyakazi wa Genk?
*David Mwantika? Real?
Kiukweli Hawa Mapro wameshakuwa mzigo kwa timu yetu...wanachojua kwa sasa nikujipiga selfie na kupost ista tu!!!
Naangalia mpira hapa hamu imepungua, Inatia kinyaa.....Kichuya, Yondani, Mkude, Ajibu,Kapombe (Unawaachaje hao halafu utarajie miujiza?)
Sindo hapoAcha upuuzi, Samata unamwachaje ukiwa kama kocha? Tatizo watz mnachojua ni mdomo tu ....mmeshazoea mpira wa magazeti tu
Paul rusassabaniga aliwahi kumwambia kijakazi wake (Dube) kua uki mpa mtu tajiri 10,000 franc ita msaidia nini na wakati uo uo anazo pesa za kutosha....World Cup 2018 Argetina aliachwa Mauro Icardi top scorer Serie A, Germany aliachwa Leroy Sane sembuse Samata..Acha kukariri wewe Bashite...
Sasa una fananisha manula na beno kweli mkuu? Au ndo yale mambo yetu ya mapenziHivi Manula ni bora kuliko Beno???huyu Himid Mao itakuwa kapata ankal huko Egypty mtu anapiga kichwa kajilegezaaaa
Ndo nashangaaa wabongo wana lalamika tu... cape verde ni timu kubwa ile sasa tulitegemea kumfunga cape verde kwenye uwanja wake wa nyumbani?cape verde.ni timu kubwa.wala siwalaumu stars.wale jamaa nusu wapo ulaya.nusu wapo africa.hata uwanja wao unaonyesha hilo.