Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 851
Wakuu hivi nyie mnamuonaje huyu amunike? Mi naona hana jipya yani ni kama wale wale tu sasa unampanga Banda na mwantika alafu Morris nae ndani huku kuna kessy yani ile mechi unacheza na mabeki watano wakati wenye namba zao wapo? Kiungo mkabaji 2apo kibao yeye analazimisha beki kua kiungo
Alafu yule ulimwengu wa nini kwenye timu yule? Kocha anapanga majina wakati wachezaji wazuri wapo?
Mi sijaona jipya la huyu jamaa mbaya zaidi hata hamasa hana yani zile amsha amsha hakuna zaidi ataendelea kupigwa tu