Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

Wakuu hivi nyie mnamuonaje huyu amunike? Mi naona hana jipya yani ni kama wale wale tu sasa unampanga Banda na mwantika alafu Morris nae ndani huku kuna kessy yani ile mechi unacheza na mabeki watano wakati wenye namba zao wapo? Kiungo mkabaji 2apo kibao yeye analazimisha beki kua kiungo

Alafu yule ulimwengu wa nini kwenye timu yule? Kocha anapanga majina wakati wachezaji wazuri wapo?

Mi sijaona jipya la huyu jamaa mbaya zaidi hata hamasa hana yani zile amsha amsha hakuna zaidi ataendelea kupigwa tu
 
mkuu waswahili wanasema tuliza mtori nyama zipo chini.... tunahitaji kumpa muda....

huyu Amunike ana falsafa za maximo, hasa mambo ya nidham nk! muda utasema
 
Ni mapema mno, kaja hana hata mwezi , mchezo wa jana ni wapili kwake, wachezaji wenyewe hajawajua sawasawa, watanzania wenyewe ni watu wa kulishwa maneno, wamelishwa maneno kwamba Cape Verde ina mpira mdogo na inafungika, wamelishwa maneo kwamba Cape Verde haina uwanja mkubwa wa ndege wa kutua Dreamliner wakati si kweli, Cape Verde wana viwanja vizuri kuliko vya kwetu wana viwanja vya ndege bora kuliko vyetu, wana timu nzuri ya taifa ya mpira kuliko ya kwetu
Kwa hiyo mleta mada ni moja wapo wa watu wa kilishwa maneno, siku hizi kwa nini ungoje kuambiwa? wakati unaweza kugooge tu ukapata ukweli wote?
 
Labda Watanzania wasio na kumbukumbu kwa sababu hii si mara ya kwanza kucheza nao
 
Ni mapema mno, kaja hana hata mwezi , mchezo wa jana ni wapili kwake, wachezaji wenyewe hajawajua sawasawa, watanzania wenyewe ni watu wa kulishwa maneno, wamelishwa maneno kwamba Cape Verde ina mpira mdogo na inafungika, wamelishwa maneo kwamba Cape Verde haina uwanja mkubwa wa ndege wa kutua Dreamliner wakati si kweli, Cape Verde wana viwanja vizuri kuliko vya kwetu wana viwanja vya ndege bora kuliko vyetu, wana timu nzuri ya taifa ya mpira kuliko ya kwetu
Kwa hiyo mleta mada ni moja wapo wa watu wa kilishwa maneno, siku hizi kwa nini ungoje kuambiwa? wakati unaweza kugooge tu ukapata ukweli wote?
Kumbe!
 
Hivi hii Cape Verde si ilishawahi kushiriki lile Kombe au nimesahau.
 
tatizo hata sio kocha tatizo ni hamna wachezaji apa yani timu yote fyekelea mbaliiii

af samata ni mbinafsi anacheza pekeyake badala ya timu kama tumu!!
ila tuu hakuna timu hapo ya kuleta matokeo
 
unajua kwa tanzania ya sasa si ya kufungwa ngoja tujadiliane. unamwachaje mkude? unamwachaje ajib? unamwachaje kakolanya? unamwachaje kichuya? unamwachaje bocco? ialafu anatuwekea mashati uwanjani! yan ni upumbavu wa hali ya juu kabisa. ndo yale ya maximo na kaseja yanajirudia. kocha lazima awe na saikolojia ya namna ya kuishi na wachezaji wake. yanayomkuta leo the special one pale man u ni kujitakia. kama makocha wote wangekuwa hivi bas baloteli asingefika alipo. wazo langu kwa sasa hakuna haja ya kuwa na timu ya taifa tunapata aibu tu. huyu kocha bora mimi namzidi. mbona timu yangu ya mtaa inaongoza ligi ya kata, nitashindwaje tim ya taifa bwana
 
Soka letu lishavurugwa, viongozi wote wa soka clubs mpaka taifa wako mahabusu na hakuna kesi inayoendelea, wadhamini pia wanawekwa mahabusu na baadae kuachiwa, wengine wanatekwa!!! Wengine wameingiza siasa na visasi katika soka, acheni tufungwe tu maana soka sio kipaumbele chetu
 
Hii nchi imelogwa au kuna mtu tumemdhulumu hivyo analalamika,Hakuna mwaka tunatoka hapa tulipokwama,tumeleta makocha karibia nchi zote,kuanzia Brazil mpaka Denmark lakini wapi,nchi imelaaniwa hii
 
tim ya taifa inavurugwa na hivi vi 3
1.kocha
Ukicheza nje ya bongo una namba stars
2.wanaojiita professional players hawa ndo bure kabisa wanatuchosha tu kuangalia stars
3.klabu za kariakoo
 
cape verde.ni timu kubwa.wala siwalaumu stars.wale jamaa nusu wapo ulaya.nusu wapo africa.hata uwanja wao unaonyesha hilo.
 
Napata mfadhaiko mkubwa pale timu yetu ya taifa inapofungwa tena kiboya kabisa....kwa ugunduzi wangu mwembamba, nimegundua kuwa Tatizo la Timu yetu ya taifa kufanya vibaya ni huyu Kocha (Amunike).

Katika ya mechi hii na Carbo Verdè, nilitegemea mabadiliko na usahihishaji wa makosa yaliyojitokeza kwenye mechi yetu na Uganda but kocha ameamua kuwa mbishi na misimamo yake inayogharimu future ya timu yetu

*Thomas Ulimwengu? Wa kazi gani?
*Mbwana Samatta? Huyo mfanyakazi wa Genk?

*David Mwantika? Real?

Kiukweli Hawa Mapro wameshakuwa mzigo kwa timu yetu...wanachojua kwa sasa nikujipiga selfie na kupost ista tu!!!

Naangalia mpira hapa hamu imepungua, Inatia kinyaa.....Kichuya, Yondani, Mkude, Ajibu,Kapombe (Unawaachaje hao halafu utarajie miujiza?)
Yani una taka kina ajibu ma kichuya wakacheze na kina ricardo na nuno? Hivi huijui cape verde ee? Ulitaka kumfunga cape verde kwenye uwanja wake wa nyumbani? Mimi nita fadhaika kama tuta shindwa kumfunga cape verde apa uwanja wa taifa io jumanne
 
World Cup 2018 Argetina aliachwa Mauro Icardi top scorer Serie A, Germany aliachwa Leroy Sane sembuse Samata..Acha kukariri wewe Bashite...
Paul rusassabaniga aliwahi kumwambia kijakazi wake (Dube) kua uki mpa mtu tajiri 10,000 franc ita msaidia nini na wakati uo uo anazo pesa za kutosha....

Na je uki mtoa icardi ukabakiwa na dybala aguero na messi una kua na shida gan? Na uka mtoa sane ukabakiwa na muller na reus una shida gani....

Lakini uta mtoaje samatta na kubakiwa na kichuya?
 
Hivi Manula ni bora kuliko Beno???huyu Himid Mao itakuwa kapata ankal huko Egypty mtu anapiga kichwa kajilegezaaaa
Sasa una fananisha manula na beno kweli mkuu? Au ndo yale mambo yetu ya mapenzi
 
cape verde.ni timu kubwa.wala siwalaumu stars.wale jamaa nusu wapo ulaya.nusu wapo africa.hata uwanja wao unaonyesha hilo.
Ndo nashangaaa wabongo wana lalamika tu... cape verde ni timu kubwa ile sasa tulitegemea kumfunga cape verde kwenye uwanja wake wa nyumbani?
 
Back
Top Bottom