Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

Dada kwa viki umeheshimu mahakama nimekuheshimu.lakini kwa jack umeanza ipinga mahakama na kuhoji jaji.kwan hukui jaji aliomba ushahidi kama mengi alikuwa mwehu wakautoa jaji akajiridhisha akaamua.nakusihi heshimu MAHAKAMA.
 
Umenena kihekima sana .wanawake wafahamu ndoa sio biashara .biashara ni yambo la kutafuta faida Kisha kuidunduiza ilete utajiri.ndoa ni jambo mahsusi la kuungana kwa upendo ili mjenge familia.warithi wa mali za mwanaume ni watoto wake mwanamke ni binadamu sawa na mwanaume anatakiwa atafute zake
 
Unapata wapi nguvu ya kitetea wadangaji!
 
Wanawake mzingatie mnpotaka kuolewa mnaolewa na wanaume wa aina gani?Hali yake uliyomkuta hasa ndoa na watoto/familia.Na myaweke mambo yenu sawa kabla mmoja wenu/mwanaume hajafariki au kupoteza uwezo kiakili.Umakini na kuomba heri ya Maulana viwatangulie.
 
Dada kwa viki umeheshimu mahakama nimekuheshimu.lakini kwa jack umeanza ipinga mahakama na kuhoji jaji.kwan hukui jaji aliomba ushahidi kama mengi alikuwa mwehu wakautoa jaji akajiridhisha akaamua.nakusihi heshimu MAHAKAMA.

Uamuzi wa mahakama kuu sio wa mwisho. Tusubiri uamuzi wa mahakama ya rufaa. Hata hivyo naweza kukosoa uamuzi ikiwa jaji hajajielekeza vizuri Kwa mujibu wa Sheria.

Ps. Mimi sio dada
 
Uamuzi wa mahakama kuu sio wa mwisho. Tusubiri uamuzi wa mahakama ya rufaa. Hata hivyo naweza kukosoa uamuzi ikiwa jaji hajajielekeza vizuri Kwa mujibu wa Sheria.

Ps. Mimi sio dada
Kaka naomba radhi kukuita dada .nisamehe mdogo wako naja attach hapa naiomba mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…