Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Moshi na arusha kuna garage ambazo gar nying zikipiga mzinga znapelekwaga huko.ikirud ni mpya kabisa inawekwa show room na unanunua tena..ukitaka amin nenda pale jangwan wanaposafirisha mizigo wanasafirisha kila siku magar kwenye fuso
 
Hii yawezekana! hayo magari ni mepesi kupita kiasi na ukiyatafta showroom za kijapani wala hayapo na cha ajabu yana rangi 1 tu silver
 
Safiaf
 
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
Dar to Arusha km 625 kama utaendesha kwa speed ya 120 bila kupunguza mwendo wala kusimama popote kibati kikawa ni 120 utatumia saa 5:20 sasa sijui alikuwa anapia hewani hakuna kupunguza mwendo kwenye makazi sehemu za vizuizi nk
 
Naona umeongea ya moyoni sana
 
Out of topic😂😂
Ile dva niliooneaga kigamboni
 
Arusha ikitokea wapi? (Dar, Rombo, Tanga au Dodoma)?
 
Kaka hakuna tope wala vumbi kule
 
Vipi uki repair hapa hapa Tanzania
 
Basi gharama za ku repair zitakuwa ndogo sana maana kuna magari yanauzwa hadi $500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…