Wajawazito kwenye Daladala, kwanini wanawake hawapishani kwenye siti?

Wajawazito kwenye Daladala, kwanini wanawake hawapishani kwenye siti?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kwenye daladala ni ngumu sana kuona mwanamke anampisha siti mwanamke mwenzake hatakama ana ujauzito mkubwa kiasi gani hampishi.

Utashangaa mwanaume yuko nyuma kabisaa anampisha siti akae lakini mwanamke wa karibu yake anakausha.

Shida ni nini?
 
Safari njema ila ukidundwa hakuna wa kukutea, ukibahatika utakuwa umekamilisha utalii wako ndani ya daladala

Sinaga utomvi na warembo.
Labda nibambie demu wa mtu alafu mshikaji wake awepo ndani ya Daladala.
Vinginevyo mambo yataenda kama kilivyopangwa.

Jioni nitakuja na uzi hapa kutoa mrejesho
 
Back
Top Bottom