Wajawazito kwenye Daladala, kwanini wanawake hawapishani kwenye siti?

Wajawazito kwenye Daladala, kwanini wanawake hawapishani kwenye siti?

Mimi mwenye mshono mbichi na yeye mjamzito nani wa kumpisha mwenzake siti???? [emoji28][emoji28] huu ni mfano tu
Mshono sio mchezo aisee.nakumbuka siku ya pili mshono mbichii kunyanyuka kitandani sasa.nilikuwa namuuliza dokta hivi nitakuja kuwa sawa tena kweli.
Kweli wakati ukuta unasahau kabisa unakigawa tena

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye daladala ni ngumu sana kuona mwanamke anampisha siti mwanamke mwenzake hatakama ana ujauzito mkubwa kiasi gani hampishi.

Utashangaa mwanaume yuko nyuma kabisaa anampisha siti akae lakini mwanamke wa karibu yake anakausha.

Shida ni nini?
Solution ni kuweka level seat tu km kipindi covid na iwe sheria kila mtu akae kw bus na likijaa marufuku mtu mwingine kupanda na mabus yawe mengi zaidi na makubwa because kusema ukweli hamna anayependa kusimama sana sana na joto hili na foleni hii
 
Shida inakuwa mwanaume hata akisimama hana cha kupoteza, ataenda kubembea kwenye mizigo iliofungashwa na wanawake na kufaidi uumbaji wa Mungu [emoji12]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na huu mgao wa umeme, anajiwekea zake charge mpaka gomzi au rangi tatu
 
Back
Top Bottom