Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ujauzito siyo ugonjwaKwenye daladala ni ngumu sana kuona mwanamke anampisha siti mwanamke mwenzake hatakama ana ujauzito mkubwa kiasi gani hampishi.
Utashangaa mwanaume yuko nyuma kabisaa anampisha siti akae lakini mwanamke wa karibu yake anakausha.
Shida ni nini?