Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ujauzito siyo ugonjwaKwenye daladala ni ngumu sana kuona mwanamke anampisha siti mwanamke mwenzake hatakama ana ujauzito mkubwa kiasi gani hampishi.
Utashangaa mwanaume yuko nyuma kabisaa anampisha siti akae lakini mwanamke wa karibu yake anakausha.
Shida ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] Si ndio hapo, hata mtu akiachia siti mnagoma kumpisha mwenye sambwandwa ili muendelee kubambia
Duh Kichwa Kichafu ni wewe[emoji15]
ila kuna baadhi ya wanawake naona kama na wao wanapenda kubambiwa,utakuwa umesimama zako unashangaa unasogezewa tako makusudi akiona unashangaa anaomba msamaha samahani kaka ama pole kaka
Salamaleko😀😀Shida inakuwa mwanaume hata akisimama hana cha kupoteza, ataenda kubembea kwenye mizigo iliofungashwa na wanawake na kufaidi uumbaji wa Mungu 😜
Kweli wewe kichwa kichafu [emoji2][emoji2]
Ila kama kuna kaukweli japo kwa asilimia ndogo
Wengine muda wa kusafiri ndio muda wa kuchambua na kuweka mikeka.
Wihi 🤣🤣🤣Salamaleko😀😀
🤣🤣🤣Nakuona kwenye moja na mbiliWihi 🤣🤣🤣
Utachezeaje simu vizuri huku umesimama mkuu?Ukimpisha Ndio Mikeka Inatick.
Hivi si wanaona lakini gari imejaaa jamaniii me jamani acha nionekane nina roho mbaya tuKwa sisi tunaotumia almost 3 hours kwenye gari kutoka kwetu kwenda mjini ni ngumu kupisha siti.
Na ndio maana kuna huduma ya kugeuza na gari.
Kuna jioni makumbusho mbezi aweeh sisimami hataKila mtu Ana shida zake, ukiendekeza kupisha siti kila siku utasimama G/mboto to Kivukoni.
[emoji1787]Wengine wameweka matambara ili apishwe...hii dunia ione hivyo hivyo...
Ngoja niotee.Kwa sisi tunaotumia almost 3 hours kwenye gari kutoka kwetu kwenda mjini ni ngumu kupisha siti.
Na ndio maana kuna huduma ya kugeuza na gari.
Kwani mimi nani?Ndugu Yangu Naona Umebadili I'd. Avatar Ndio Nimeikumbuka.