Ngoja nikupe story yangu kidogo!
Mimi tangu naanza kujitambua nilikua naota ndoto za kweli yaan ndoto ambayo kesho yake naiona!
Pia kuna wakati nilikua nikilala nahisi nyuma yangu kuna mtu kalala!
Kubwa kuliko kuna wakati nilikua naota nalala na babaangu mzazi yaan kama mahaba hivi picha haieleweki
Pia mi ni muislam nilikua nikianza kuswali tu nableed lakini pia nahisi kuna mtu nyuma yangu naogopa najikuta nafungua sala!
Nimeendelea na hiyo hali hadi ukubwan yaan sekondar
Hali ya kuota nalala na babaangu nadhani ilipungua ila nikawa naota nafanya mapenzi na watu wakat mwingine wasanii mfano kipindi kile my african queen ilivyotoka ilikua inavuma nikiota nafanya mapenz na yule kijana aliyeimba!
Niliolewa nikazaa baadae tukaachana na mume wangu siku moja nikapata mtu akanielekeza shekhe mmoja yupo dar
Nikaenda akanisomea sana dua hiyo siku na akaniambia niondoke yeye ataendelea na dua hata nikiwa sipo
Baada ya wiki kadhaa au mwezi siku hiyo nimelala najichezea tu kuna hali fulan niliisikia hapa utosini kwakwel siwez kuelezea niliona kama kuna kitu kizito kimetoka na kimeacha shimo! Sikujua ni nini mi nakadhan tu ni haya madude
Lakini tangu siku hiyo sijawahi kuota tena nafanya mapenzi
Ila jana usiku niliota nafanya mapenz na simba lakini sijui pia aligeuka kuwa mtu yaan ndoto hata haielewek lakini nilienjoy na ukwel nilikua na ny** sana kwasabu nina mwezi sijafanya!
Ila sasa yule shekhe yusuph wa dar ana bei balaa kuanzia laki tano kwenda juu mie ndiyo nilimshindiwa hapo!