Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Ndugu zangu wanajamvi.

Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.

Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.

1550139512244.png

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
1550139283861.png

1550139357947.png

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
 
Mkuu Venus Star hio kitu habari yake ni kubwa sana. Niliwahi kushiriki katika moja ya mapango ambayo inasemekana kuna mali za wajeru, Rafiki yangu mmoja alinialika kwenda walau siku moja kuona nini wanafanya. Ilikuwa ni kazi ya siku 5 iliowashirikisha wachungaji na masheikh….. muziki wake si wamchezo mkuu, hasara kubwa na mali haikupatiana. Acha kabisa baba
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
Wacha kudanganya watu, hakuna mdini yoyote kwenye hizo heller zaidi ya shaba. Hizo zinauzwa kwa "collectors" wa sarafu almaaruf "numismatics".

Thamani zake hizi hapa: German East Africa Heller KM 7 Prices & Values | NGC

Kuna utapeli wa siku nyingi toka miaka ya 70 kuhusu pesa za kizamani. Huu utapeli unakwenda na kurudi. Naona sasa mmeamua kuileta kwenye mtandao.

Yeyote atakae kufanya shughuli za sarafu za zamani azame eBay tu.
 
Nina ankal wangu anaishi vanga aliwahi kunambia mwaka jana mambo haya, kuna mercury, hizi sarafu, stove, pasi, jambia na sufuria alikua na saraf imeandikwa heller na nyingine doa kuna moja ni kubwa ndani ina kitu kama kidude ukiitikisa ambiwa hilo jambia ukilichomeka chini lazama naona anidanganya hivi hivi na ukizamia huko ni kupoteza muda na pesa tu naskia wakitaka kutafta hizo hazina lazima wakatambike na wanakutana na mauza uza si ya nchi hii
 
Yeyote atakae kufanya shughuli za sarafu za zamani azame eBay tu.

Nashindwa kukuelewa. Hapa unasema niache udanganyifu halafu hapo hapo unasema anayetaka kufanya biashara za coin aende ebay. Which is which.
Biashara hiyo haifanyiki ebay pekee ni sehemu kibao zinafanyika. Labda sema kuwa helewi.
 
Mimali ya thamani iliyopo ardhi ni ambayo hiyo hiyo ndiyo waliifata Wajerumani inawashinda wanakuja akina Barick kuisomba nyie mnataka kuleta utapeli wa sarafu.
Yaani hapa dada yangu ndhani upo nje ya mada. Sasa nani kaleta utapeli hapa? Utapeli upi? Je, umefanya utafiti wowote?

Wajerumani walificha mali nyingi sana kwenye ardhi. Walichimbia masanduku ya mali walizozivuna wakati huo kwenye milima wakati wa vita vya kwanza vya dunia.

Sasa unaongelea utapeli!!! Utapeli upi? Halafu mbona unahasira sana? Hutaki watu wengine wajue?
 
Nashindwa kukuelewa. Hapa unasema niache udanganyifu halafu hapo hapo unasema anayetaka kufanya biashara za coin aende ebay. Which is which.
Biashara hiyo haifanyiki ebay pekee ni sehemu kibao zinafanyika. Labda sema kuwa helewi.
Ebay utaelewa ukweli wa mambo. Unakuja na dollar 900 kwa heller! Kudanganya watu.
 
Yaani hapa dada yangu ndhani upo nje ya mada. Sasa nani kaleta utapeli hapa? Utapeli upi? Je, umefanya utafiti wowote?
Wajerumani walificha mali nyingi sana kwenye ardhi. Walichimbia masanduku ya mali walizozivuna wakati huo kwenye milima wakati wa vita vya kwanza vya dunia.

Sasa unaongelea utapeli!!! Utapeli upi? Halafu mbona unahasira sana? Hutaki watu wengine wajue?
Wewe wacha porojo, utapeli huo tunaufahamu toka enzi hizo.
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
Mara nyingi kujishughulisha na hizi mambo, lazima una Wenge flani , kama tuseme umeingiwa na pepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebay utaelewa ukweli wa mambo. Unakuja na dollar 900 kwa heller! Kudanganya watu.
Acha kudanganya wewe. Ebay utaelewa nini sasa. Ebay wanachofanya ni kuuza vitu tu.
Halafu unadanganya wazi kabisa eti zilitengenzwa kwa kutumia madimi ya shaba.
Zilitengenezwa kwa kutumia madini ya Silver(Fedha). Mpaka leo Ounce ya Silver ni $15.65.

Kama unataka nikupatie elimu tulia hapo hapo nikupatie elimu.
Halafu unakuja humu ukiwa na hasira wakati upo off point.
 
Back
Top Bottom