Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimali ya thamani iliyopo ardhi ni ambayo hiyo hiyo ndiyo waliifata Wajerumani inawashinda wanakuja akina Barick kuisomba nyie mnataka kuleta utapeli wa sarafu.
Wewe wacha porojo, utapeli huo tunaufahamu toka enzi hizo.
Hahaa kwahiyo bora akalime nyanya tu !?Asilmia 95 huwa hawafanikiwi ,ila wanaojihusisha na kilimo cha nyanya asilimia 80 hufanikiwa
Tunaufahamu huu utapeli siku nyingi sana.
Sio Nkasi huko ,maana rafiki zangu walikua huko mwaka juz walichimba sana ,wakawa wanasubili Mtambo gani sijui wa kumalizia kazi sijapata ripoti zao tenaSasa tumeliacha tu na tumeamua tulime tu kwanza lakini tukiwa na matumaini kwamba ipo siku.
Sasa najiuliza,au tutakuta marehemu mzungu tena au la ....nakaribisha wadau,kama unaweza kuleta Scaveta njoo tujaribu bahati.
kwa nini sasa wasiutoe tukapunguza umasikini,au tatizo ni teknolojia au ni hadithi tu?Upo sahihi mkuu pale mafinga kuna eneo linalindwa na wanajeshi inadaiwa kuna mzigo chini
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.
- Ikombe
- Mibirizi
- Kasanga
- Ilembule
- Rombo
- Nyakanazi
- Uvinza
- Mlalo
- Kisarawe
- Kazimzumbwi
- Kirondatal
- Tukuyu
- Leganga
- Igulwa
- Ushetu
- Mnazi
- Mikese
- Shume
- Lumbira
- Mbulu
- Nansio
- Sekenke
- Galula
- Liuli
- Manda
- Lushoto
Asanteni
Kwa mujibu wa maelezo ni USD 900 kibongo bongo ni kama 1000000Heller moja ni sawa na hela ngapi ya Tanzania?