Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wajerumani walitawala Tanganyika sio Tanzania kuanzia 1885-1914, ambapo eneo hilo (Tanganyika) ilihusisha baadhi ya maeneo ambayo leo yapo ndani ya nchi za Burundi na Rwanda.

Ina maana hizo hazina zipo hadi huko Burundi?

Bila Shaka
 
Mimi nilishapata kuiona kwa macho yangu Rupia ya Makuti Na N Rupia... Nikiwa Dar.miaka ya nyuma.. Kwa rafiki wa babu yangu
.mzee wa kimakonde... Baada ya hapo sikufatilia kabisa habari hii... Nikawa busy na shule..,.
 
JAMANI TULIENI KIDOGO MNISIKIE:
Japo natumia maandishi ila najua mnanisikia. Unapokuwa mtu mzima inamaanisha unakuwa na uwezo wa kuhandle situation yoyote na kufikia mwisho wenye manufaa kwako. Unapopata habari handle situation halafu utafute possibility kama ipo.
Hazina ya mjerumani kubaki nchini ilinifikisha hapa;
1.Story kuhusu meli ya MV LIEMBA kuzama katika ziwa Tanganyika. Mjerumani alikuwa anachukua Mali kutoka DRC kuja TZ kwakutumia meli ile na inasadikika meli ile ilizamishwa na hii iliyopo leo ni tela lake tu,na wajerumani walishaomba kuja kuichukua kwa ofa ya meli mbili mpya. POINT TO VIEW: je wajerumani walikuja kuchukua mali afrika na kuzipeleka kwao au kuzitawanya Tanganyika? Je kama hii MV LIEMBA iliyopo ilikuwa ni tela la ile iliyozamishwa ni kweli teknolojia ya usafiri wa majini ina mambo ya kuvutana kama barabarani mfano wa lori na tela lake?
2.Story ya kuacha mali zake kwa kukimbia vita. POINT TO VIEW. Tunajua mjerumani alipigana kumuondoa mwarabu Tanganyika,Je historia inasemaje kuhusu namna alivyoondoka mjerumani nchini Tanganyika? Je, Hakuondoka kwa baraza tu? Wataalamu wa historia mtuelezee kidogo hapa.
3. Mjerumani kupigwa na mrusi na kushindwa kuitawala dunia.POINT TO VIEW. Je, hizi sifa na uwezo mkubwa wa nanma hii juu kuficha malizake alipewa tu kutoka kusikojulikana ama ilikuwakuwaje maana ukisikiliza utagundua ni uchawi mkubwa sana sio wa kushindwa kupigana vita.
Hapo ndipo nilipofika mimi na kuhitimisha kuwa kitu kisicho na uthibitisho ni imani tu. Sijui upande wenu.




MAGUFULI4LIFE.
 
Umeandika pumba tupu sijui kwa Nini ,sikuanza kusoma kuanzia chini kuja juu. Mana najuta kusoma point yako
 
Kuna baadhi ya hazina ni ngumu kupatikana bila ya kuwepo kwa mwongozo maana kama Mwadui kuna sehemu ukionekana lazima wazee wakuulize kuwa umekwenda kufanya nini huko

Sent using Infinix hot 4
Mkuu unaweza kunitumia hiyo ramani, mi ni mdau wa hayo madini(almas)
 
Itakua vizur ukishare nasi mambo mliyokutana nayo.
 
Kuna ukweli kwenye hili.

Wakati nasoma Bagamoyo high school wajerumani walikuwa wanaomba kuikarabati ile shule, serikali ilitia ngumu kwa sababu ilijua pale chini kuna underways za kutosha na mali zilizofichwa kipindi cha ukoloni. Moja kati ya watu walioagizwa na serikali kufatilia pale chini kuna vitu gani alikuwa anakutana na visanga sana. Kuna siku alikutana na chatu kwenye hizo underways, sema hawa jamaa(usalama) huwa wanatumia ndumba ndo kilichomuokoa. Jamaa alikuwa mwanafunzi, alinijuza mengi sana na ni mtu wangu wa karibu mpaka leo
 
Kamanda hujafanikiwa bado kupata mzigo?
 
Nyama kwenye story yako Ni chache ongeza nyama
 
Ulijuaje Ni usalama naje Kama serikalini inafahamika. Kwa nn wasieenda full equipped na kwa nn SERIKALI Ni bias
 
Ulete story hiyo
 
MKUU TOA LOCATION.
PILI NAMNA UNAVYOSOMA CODE.
TATU NI PM.
NNE PICHA YA ENEO.
TANO PICHA YA RAMAN. SITA ENEO LA KWANZA MLIOKUTA MAITI NA LOCATION
 
Eneo gan?
 
Eneo gani na location
 
Mimi yule mzee aliniambia kuwa kuna wakati alikuja Mjerumani mmoja ni profesa akampa maelekezo ya kuwalisha watu maneno ya uongo kuu ya jambo hili ikiwa pamoja na kuwaelekeza sehemu tofauti kabisa.l

Sent using Infinix hot 4
Alafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…