Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Mimi nna site kamili ina vitu vingi kuwa na viwili ama vitatu si tatizo,tatizo utapeli na tamaa sana kwa walio wengi nilishaonywa kwa watu wengi kuwa hawana nia nzuri mwisho imenikatisha pia tamaa nikatulia na kuendelea na ishu nyingine.
Site za wazi ama Underground?
 
Mimi nna site kamili ina vitu vingi kuwa na viwili ama vitatu si tatizo,tatizo utapeli na tamaa sana kwa walio wengi nilishaonywa kwa watu wengi kuwa hawana nia nzuri mwisho imenikatisha pia tamaa nikatulia na kuendelea na ishu nyingine.
Jitahidi tu Kuhakiki wanavibali vya kudeal na Malikale ndani ya Nchi?
Otherwise utawapa watalipa lakini pesa kuwa tanzania haitakuwa rahisi kuingia..... pia kuwa Makini sana na Makundi kama ya wale walipo Jogoo /Mbezi Beach kwa zena huko Mambo huwa mengi na combo hupotea Pia nilikuwa nampa darasa mtu mwezi uliopita wamempiga kijiko,mwingine jirani yangu alikuwa na Pasi hapa alikuwa hataki kuelewa usahuri sasa akakutana na watu weupe akili ikamwambia kuwa ndiyo watu sahihi wamempiga Pasi pamoja mil 28+ baada ya kutoka kuuza mashamba yake.....
 
Kweli balaa ndomana sitaki kujihangaisha kabisa nataka kujua tu utaratibu wa serikali nikachukue madini tu naona ndio rahisi kufanya biashara lakini vyombo naona ngumu sana kupata mtu sahihi,hapo kwenye madini ndio sielewi natakiwa kufuata hatua gani katika serikali kama mali kale au
 
madini aina ipi?
 
Serikali hapo tunazungumzia pesa maana yake kuna hatua za kiserikali au kunakua na utaratibu gani
Binafsi Mimi sitataka kulipwa Bank Kwa pesa za Mambo haya, nafahamu watu waliodhulumiwa pesa zao na hiyo hiyo Serikali!

Nafahamu watu walionyang'anywa Site nzima ikiwa na mzigo mkubwa tu huk
Nawajua hao Wazungu wa Kwa Zena na wengine wapo Mbezi ya Kimara... Huwa wanajifanya end buyer...

Kwangu labda unitolee Bunduki but maneno tu then nikatoa pesa ama Mzigo, haitokei.
Coz hakuna mbinu mpya kwenye mambo haya, style za Utaperi ni zile zile.

Wengi wanaotapeliwa ni Tamaa, kutotaka kujifunza kwanza hivi Vitu ni nini, vinapatikanaje! Vinauzikaje, process ya Biashara ikoje n.k....

That's why Binafsi moja ya kitu sitataka kupoteza muda na mtu akinambia Habari za Kubetua..... Total scams!!!
 
Ni Kampuni gani ililipa hao watu na pesa yao Kukwamishwa na Serikali Mkuu?
 
wakati Muingereza anaingia kwa ajili ya Vita na Mjerumani walipoona hawawezi kuondoka na vyao vyote kwa mara moja ndiyo waliamua ficha na kuweka ulinzi mgumu.na wanaorudi sasa ni watoto na wajukuu wa wale walioweka mizigo yao.

Mpaka sasa hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kuwa tajiri kwa kufatuta mali walizoacha wajerumani. Hila kuna matajiri wengi waliopata utajiri wao kwa kuchimba madini Merarani, kwa kulima mahindi, kwa kulima pamba na hata kwa kuuza madawa ya kulevya. Kwa maneno mengine hakuna njia ya mkato ya kutafuta mali.
 
Iyo pasi mbn balaa
 
Sipo katika kulazimisha wewe uamini mkuu hii ni platfom na kila mmoja analakwake kichwani kwahiyo uaminivyo kwako ni sawa tu.
 
Sipo katika kulazimisha wewe uamini mkuu hii ni platfom na kila mmoja analakwake kichwani kwahiyo uaminivyo kwako ni sawa tu.
Sasa nyie mnataka kuandika vitu msivyo na uhakika navyo na sisi wengine tukubali kama tupo misikitini au makanisani. Hututendehi haki kabisa. Tuonyeshe mtu mmoja aliyetajirika kwa kupata mali zilizofichwa na mjerumani. Mtu mmoja tu..
 
Sasa nyie mnataka kuandika vitu msivyo na uhakika navyo na sisi wengine tukubali kama tupo misikitini au makanisani. Hututendehi haki kabisa. Tuonyeshe mtu mmoja aliyetajirika kwa kupata mali zilizofichwa na mjerumani. Mtu mmoja tu..
Mkuu nilisha andika kuwa ni hatari kuandika majina ya watu Humu...watakuwa na haki ya Kushitaki na nihatari kumuexpose Mtu kwa swala la Pesa nyingi Zakumi...lakini kama hauamini katika haya basi endelea na unachokiamini...ila wenye kuelewa wanaelewa.na sipo katika kulazimaisha Uamini haya.
 
Kuna mjomba wangu alianza kuzisaka hizi mali nakumbuka nilikuwa darasa la saba, lakini hadi leo kazeeka hata mia hakupata!! Kuna siku alisimulia walifika kwenye pango wakakuta kitu kama msukule kimekaa kwenye kiti na sime mkononi ..hicho kitu kinangaa balaa...

Baada ya kujadiliana na mganga wao eti wakasema huo msukule ni mlizi wa mali za wajerumani, hapo alipokaa ndipo kuna mlango wa kuingilia stoo ya mali ( Dhahabu na vito vya thamani kubwa)

Wakaambiwa wachangishane pesa ili kupata dawa za kunuiza na wachinje ngombe ili ule msukule uwapishe wachukue mali - wakachangishana akini hakuna mia walipata!!
 
walishafeli kumhusisha mganga na Kuchinja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…