Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wangekuwa wasenge sana waache kupeleka kwao wakajenge nchi wafiche kwenye mapango uliyoyataja! Karne hii bado kuna watu wana akili hizi za kutafuta rupia? Kweli bongo nyoso wandugu!
[emoji1787][emoji1787] Wajinga hawaishi mkuu.
 
Hadithi ni nyingi kama hizo!
Kuna tetesi kuwa Wajerumani walipokaribia kushindwa vita, waliweka dhahabu nyingi kwenye Meli yao kubwa pale Ziwa Tanganyika, harafu wakaizamisha! Inasemekana pamoja na jitihada nyingi za kuitoa meli hazijafanikiwa!
yeah sure ilikua inaitwa Graf Von Gotzen ikabalishwa kuwa MV liemba ilizamishwa mara baada ya vita ya Kwanza ya Dunia na Wajerumani Maksudi mara baada ya kupigwa na Mwingereza …wazamiaji Wangezamia kubeba mali hizo Wajeruman walikua wajanja sana
 
Kuna mali nyingi sana za zamani zipo ardhini, siyo za Wajerumani, za kabla ya Wsjerumani.

Zipo mali za kina Suleiman, za Karun, za watawala wa zamani kina Ramses na wa kabla yao.

Huzipati hizo mpaka. Achomoke mmoja wao kutoka axis zao ukumbane nae akupe mikoba.
 
kuna mlima fulani hauishi mwezi vitu mfano wa UFO's vinashuka kuanzia mida ya saa5usiku-mpaka saa 10 alfajir, binafsi nishashuhudia zaidi ya Mara 10 sababu sipo mbali na eneo husika, swali langu ambalo najiuliza na nimejaribu kuwauliza na wakazi wa siku nyingi eneo hilo, vile ni vitu gani na ni kwanini ni vinatua nyuma ya ule mlima? wengi majibu yao ni ya kipumbavu na kipuuzi, watakujibu tu kwamba vinatua sana miaka na miaka na hawajui ni nini, labda ni ndege za wachawi...eneo haliko mbali sana na Kambi, sasa je na wale ndugu zetu hawajui ni vitu gani vile huwa vinatua na kuruka? na wakati mwingine, yale marangi na sauti zinasikika dhahir shair? Okay, kule nyuma ya mlima kuna mizigo japo kuna tangazo la maana tu ni marufuku kufika huko, na ukikutwa kwenye Hifadhi hiyo ya Mlima, usimlaumu Mtu..( Eneo lipo kati ya mikoa Mitatu ya Pwani.) na kuona hivyo vidude usiku, ukidhamiria utaviona tu.
 

Kaka acha kudanganywa na kudanganya. Zile alama walizoweka wajeremani ni za kupima arthi za surveyors.
 
Hivi huelewi ulichonisoma au umetanguliza ujinga wa "Islamophobes" mbele na kukufanya uwe "ignorant" wa hali ya juu?
 
 
Neno "ambiwa" hili nimelisikia sana Tanga, wanawake wakitanga wanaoenda sana kulisema hili neno

.
Kabisa hilo neno kuna ustadhat mmoja alikuwa anapenda sana kulisema nikawa simuelewi ,yeye anatokea Korogwe
 
Mimali ya thamani iliyopo ardhini ambayo hiyo hiyo ndiyo waliifata Wajerumani inawashinda wanakuja akina Barick kuisomba nyie mnataka kuleta utapeli wa sarafu.
"inawashinda wanakuja akina Barick kuisomba nyie mnataka kuleta utapeli wa sarafu".

Hapa bila shaka unawataja chama chako CCM ndo wanahusika miaka na miaka kuwauzia wazungu hizo mali.
 
Mkoa wa kilimanjaro na tanga kumejaa tele mpaka sasa kila miezi kadhaa wanakuja wanaweka kambi kabisa.
Sisi kwetu kijiji kun siku barabara inatengenezwa (kuwekwa lami)kuna kona ambayo ilitakiwa kunyoosha ili barabara isiwe na kona ,huwezi amini lile eneo walikuja sijui walitoa hela au laa lakini hapaku himbwa tena kona iliwwkwa kama ilivyotakiwa wakapakwepa na mpaka sasa bado wanakujaga hapo
 
Hii kitu ina network kubwa sana ya wapigaji.... speaking from experience nshatafita sana, pandishwa milima, oga dawa lakini wapi.....
Mpaka kuna siku jamaa mmoja akanielezea namna wanafanya hiyo kitu na akaanzisha kipindi hapo hapo kuhusu stove ipo tukuyu na kuwapigia watu wakatuma advance nipo nae ndio siku nilipojiona kolo kwenye hizo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…