Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wacha kudanganya watu, hakuna mdini yoyote kwenye hizo heller zaidi ya shaba. Hizo zinauzwa kwa "collectors" wa sarafu almaaruf "numismatics".

Thamani zake hizi hapa: German East Africa Heller KM 7 Prices & Values | NGC

Kuna utapeli wa siku nyingi toka miaka ya 70 kuhusu pesa za kizamani. Huu utapeli unakwenda na kurudi. Naona sasa mmeamua kuileta kwenye mtandao.

Yeyote atakae kufanya shughuli za sarafu za zamani azame eBay tu.
Asante sana Dada kwa kuliweka wazi hili maana kuna matapeli ya kila aina
Coins zote zinauzwa eBay na bei zake hazivuki $20
Sio kweli kuwa zina madini na zinauzwa $1000 No way

Nazijua sana na nina detector yangu pia ndogo
 
Kuna Mali ila cha ajabu kila mtu akiingia pangoni hatoki!![emoji24]anaishia kupotea ndani ya pango hii nimeshuhudia kabisa
 
Sasa kama kila anaeingia anapotea aliethibitisha kuna mali ni nani?
Yaani alierudi akathibitisha mali fulani ipo ni nani?
Mali gani ipo na sehemu/location gani.

Anyway pango za kupoteza watu kwanza milango yao yote imeelekea jua linapotoka.
Mnatafuta ndama dume mnachinja hapo mlangoni kwa kuomba walinzi waachie.
Kisha mnachoma ubani,harmali,mushtaka na ladhani hapo mlangoni.
Mnakaa siku saba ndo mnaingia kabla jua halijatoka.

Lakini najua huna taarifa sahihi kwa sababu huwa kuna mitego zaidi ya mmoja.
 
Kuna mwaka flani binti kutoka Italy alikuja hapa nchini na akaripoti RC Kisha akapewa wajeda 2 wakampeleka kwenye pango lakini mwenye ramani ni binti walipokaribia binti akawaambia nisubirini hapo, baada ya masaa 3 binti akatoka wakarudi akaenda nao benki akawapa mil 7 Kila mmoja na inasemekana akaenda kumuaga RC ambae pia alipewa kama Dola 8000 akasepa zake.

Wale wajeda wakajadili wakaamua kwenda peke yao Kwa Siri. Walipofika saiti mmoja akatangulia sasa palikuwa na sehem ya kuruka akafeli akadondoka kwenye shimo refu na akawa haonekani kabisa halafu lile shimo hata ukimulika na tochi mwisho hauonekani halafu kimyaaa, jamaa alisubir hakuna kitu ikabidi arudi kambini bila mwenzie ikabidi atoe taarifa na akasema Kila kitu, ikabidi uongozi na wajeda kadhaa wafike eneo husika wakaona mazingira magumu akataarifiwa RC ndipo akachukua hatua ya kumpigia yule binti wa kiitaliano Kwa msaada kwakua aliacha contact.
Wakajibiwa kuwa huko pangoni hata yeye alikuja Kwa codes na alikubaliwa na mizimu baada ya kuchambuliwa kati ya vilembwekezi 167 kutoka Kwa muhenga aliyeficha Mali hiyo na akawaambia huyo Kesha kufa na hata mwili hauwezi patikana wanajeshi wakatumia mbinu zao za sanduku lililojazwa upepo wakapelekea familia na kuzikwa kijeshi hivyo hizo Mali kuzipata iwe bahati lakini siyo kitu chepesi, hata wanaokuja kuchukua kutoka ulaya Kuna kiasi kidogo anachoruhusiwa kuchukua na akivunja sharti hilo hata yeye anaweza ishia kufa huko mapangoni lengo ni kubakiza Mali zitakazo saidia vizazi vijavyo itakapotokea mkwamo wa kiuchumi, mbinu walizotumia kuficha hizi akiba ni mbili.

Mbinu ya kwanza ni uchawi ambao hauingiliani na WA kwetu ndo maana hata ukikusanya waganga na wachawi wa mkoa mzima wanaweza ishia kubamizwa na madondola au nyuki na kupoteana, mbinu ya pili walotumia ni sayansi na teknolojia na chenga za uwanjani, mfano unakuta sehem Kuna sakafu sasa kubomoa mtatumia nyundo zoote ikiwamo fatuma hadi atuganile nyundo hazipasui kumbe jamaa alisaga kwato za wanyama pori na kuchanganya na simenti maalum hivyo ni Bora uanzishe kilimo Cha nyanya kuliko kudili na haya mapango
 
Huu ni utapeli wa kizamani sana... uliopitwa na wakati... asilimia 100 ya mandezi nashangaa bado wanaendelea kupigwa tu... mara pasi ya mjerumani, mecury nyekundu[hii im not so sure- pengine ipo] ila rupia na takataka zinginezo.....ni utapeli!!!

Kiufupi ni scam iliyosukwa enzi hizo kiustadi...na bado inaliza watu hadi waleo!.

Stuka shee wangu...muda haurudi nyuma!...masaa yanasogea!....endelea kupoteza muda huko...uzeekee huko ukiwa maskini wa kutupwa!!!

Dont say i did'nt warn you!
 
nimepanda bajaji siku mbili zimepita kuna dada alikua ana sali kanisa fulani la Rome pale Iringa kuna padri akaja akawa anasali pale akaomba awe anafunga na kuomba usiku wakamruhusu kumbe pale madhabahuni pana mali usiku ana chimba anafunika na mkeka Siku kadhaa akapotea kimya kimya kuja kugunudua wamekuta shimo kubwa sana chini na mzigo ushatolewa na wabongo tunakuaga wazembe magetin hatukazi kukagua mtu kasepa na mzigo
Peleka ujinga wako huko, labda hujui mfumo wa ibada Wala viongozi wa kanisa Katoliki. Kwamba Padri atoke ujerumani aumbe kuwa anasali kanisa Fulani?
 
Huu ni utapeli wa kizamani sana... uliopitwa na wakati... asilimia 100 ya mandezi nashangaa bado wanaendelea kupigwa tu... mara pasi ya mjerumani, mecury nyekundu[hii im not so sure- pengine ipo] ila rupia na takataka zinginezo.....ni utapeli!!!

Kiufupi ni scam iliyosukwa enzi hizo kiustadi...na bado inaliza watu hadi waleo!.

Stuka shee wangu...muda haurudi nyuma!...masaa yanasogea!....endelea kupoteza muda huko...uzeekee huko ukiwa maskini wa kutupwa!!!

Dont say i did'nt warn you!
Soma post #830
 
Ndugu zangu wanajamvi.

Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.

Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.

View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
Mjerumani hajaficha chochote. We si unajua fumbo hufumbiwa nani?
 
Huu ni utapeli wa kizamani sana... uliopitwa na wakati... asilimia 100 ya mandezi nashangaa bado wanaendelea kupigwa tu... mara pasi ya mjerumani, mecury nyekundu[hii im not so sure- pengine ipo] ila rupia na takataka zinginezo.....ni utapeli!!!

Kiufupi ni scam iliyosukwa enzi hizo kiustadi...na bado inaliza watu hadi waleo!.

Stuka shee wangu...muda haurudi nyuma!...masaa yanasogea!....endelea kupoteza muda huko...uzeekee huko ukiwa maskini wa kutupwa!!!

Dont say i did'nt warn you!
kweli "mandezii 😆😆😆
ati fufuma sijui nn..
yaani "undezi" mtupu wa mipopoma inayoamini katika "shortcut" na mambo ya kusadikika!
 
Ndugu zangu wanajamvi.

Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.

Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.

View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
27 maeneo mengi ya tarime walificha pia. kuna maeneo walichimbia vitu wakasakafia kabisa hilo shimo
 
Mali nyingi walificha au walikuja kuchukua mali nyingi ?

Anyway mali nyingi bado tunayo ndio maana kila siku so called wawekezaji hawaishi kuja kwenye shamba la bibi
 
Ndugu zangu wanajamvi.

Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.

Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.

View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni

Wangekuwa wasenge sana waache kupeleka kwao wakajenge nchi wafiche kwenye mapango uliyoyataja! Karne hii bado kuna watu wana akili hizi za kutafuta rupia? Kweli bongo nyoso wandugu!
 
Mkuu, ni hatariii.....Ngoja nikupe kisa changu kilichonipata katika hizo pilika.

Kwanza nilivutiwa na jamaa fulani hivi tukiwa Mbeya huko wilaya XYZ,jamaa walifankkiwa kuopoa sanduku la dhahabu kwa Style hyhy ya kusaka Mali za wajerumani. Walikula bata sana na hadi muda huu ni malordilofa,yaani pesa bado wanayo.

Basi bhana,nikasafiri hadi wilaya kwa wajomba zangu baada ya kujifunza Code chache ambazo wajelumani walitumia kama alama na nikagundua hivi vitu nilivionaga kwa wajomba zangu nikiwa nachunga ng'ombe milimani.

Nilipofika kwa babu,nikanyoosha msituni kwenda kuhakiki kama zile alama kwenye miti,mawe na michoro kama ipo, bahati nzuri bhana nikavikuta kama vilivyo,wala havijaharibiwa sana na waharibifu wa mazingira. Nikashauriana na vijana wa pale tukaanza utaratbu wa kuchimba.

Huku tukiendelea kukutana na code na ninazisoma vizuri na kusonga mbele,baada ya siku 6 hatimaye tukalifikia sanduku bhana....!! Tulichokiona humo......mmamaye ,nikikumbuka huwa hata sijielewagi,maana ni hatari.

Tulikutana na marehemu mzungu humo.....ashamong'onyoka kawa unga tu,sijui walimtia nini hakuoza,kawa vumbi tu na mifupa, hilo vumbi likaingia vifuani, tulikohoa karibia ya kunya......!!!!

Aisee.....tulirudi nyumbani tukatengeezwa kienyehi ndio mambo yakawa sawa, lakini kuna mzee akasema mgetoa lile sanduku ndio mgekutana na mzigo wenyewe....!! Alinistua mbaya,lakini cha ajabu,nasema tena chaa ajabu niliporudi kule porini ile sehemu sijaikuta na wala sikuiona tena hadi leo, nilienda takribani mara 6 kwa siku tofauti lakini mpaka leo sipajui eti.....!!

Kuna sehemu tena nipo ugenini,nilikwenda kucheki shamba la kununua nimekutana na code tena za ajabu aisee.....!!! Sasa sijajua nini wameficha...!!

Kwanza nilikuta Mti mkubwa una mzizi upo nje,mzizi huo umetobolewa,nikaufuatilia kidogo nikakuta tobo la pili, nikaendelea kufukua nikakuta nikakuta tena mzizi umekunjwa kuelekea direction ya kusini,nikaendelea kuufuata, mbele ya huo mzizi kulikuwa na jiwe kubwa sana kama tani 30 hivi, nilipolizoom vizuri kabisa na kulichunguza,nikagundua kuwa huyo ni picha iliyojchongwa picha ya bundi...!!!! Nikafukuafukua kuzungua hilo hiwe nikakuta ramani aisee.....!!! Bahati mbaya sijui kijerumani .

Mzee nikaazimia kazi, tukaenda kwa mchawi wetu akasema kuna mzigo wa kufa jamaa....vizuri vyote ruby,gold na sapphire akasema zipo. Akatupa masharti tukaingia mzigoni...!!

Baba tumefungua ardhi huku tukifuata masharti makamanda tulikuwa 6, tuliikosea ramani kidogo tukajikuta kuna mwamba una ninginia juu yetu.

Tulichokifikia ni kwanza kuna vigae vya mawe vimefunika kitu tusichokijua hapo chini, pili kuna ukuta umejengwa kwa mawe ya kupondekezwa hapo chini shimoni...!!

Tuliogopa kupondwa na tulikuwa tumechoka sana,maana kazi ilikuwa ya ngumu na ilituchukua miezi 3,tukasema labda tusake katapila.

Sasa tumeliacha tu na tumeamua tulime tu kwanza lakini tukiwa na matumaini kwamba ipo siku.
Sasa najiuliza,au tutakuta marehemu mzungu tena au la ....nakaribisha wadau,kama unaweza kuleta Scaveta njoo tujaribu bahati.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hukupiga kapicha Mkuu
 
Kuna mwaka flani binti kutoka Italy alikuja hapa nchini na akaripoti RC Kisha akapewa wajeda 2 wakampeleka kwenye pango lakini mwenye ramani ni binti walipokaribia binti akawaambia nisubirini hapo, baada ya masaa 3 binti akatoka wakarudi akaenda nao benki akawapa mil 7 Kila mmoja na inasemekana akaenda kumuaga RC ambae pia alipewa kama Dola 8000 akasepa zake.

Wale wajeda wakajadili wakaamua kwenda peke yao Kwa Siri. Walipofika saiti mmoja akatangulia sasa palikuwa na sehem ya kuruka akafeli akadondoka kwenye shimo refu na akawa haonekani kabisa halafu lile shimo hata ukimulika na tochi mwisho hauonekani halafu kimyaaa, jamaa alisubir hakuna kitu ikabidi arudi kambini bila mwenzie ikabidi atoe taarifa na akasema Kila kitu, ikabidi uongozi na wajeda kadhaa wafike eneo husika wakaona mazingira magumu akataarifiwa RC ndipo akachukua hatua ya kumpigia yule binti wa kiitaliano Kwa msaada kwakua aliacha contact.
Wakajibiwa kuwa huko pangoni hata yeye alikuja Kwa codes na alikubaliwa na mizimu baada ya kuchambuliwa kati ya vilembwekezi 167 kutoka Kwa muhenga aliyeficha Mali hiyo na akawaambia huyo Kesha kufa na hata mwili hauwezi patikana wanajeshi wakatumia mbinu zao za sanduku lililojazwa upepo wakapelekea familia na kuzikwa kijeshi hivyo hizo Mali kuzipata iwe bahati lakini siyo kitu chepesi, hata wanaokuja kuchukua kutoka ulaya Kuna kiasi kidogo anachoruhusiwa kuchukua na akivunja sharti hilo hata yeye anaweza ishia kufa huko mapangoni lengo ni kubakiza Mali zitakazo saidia vizazi vijavyo itakapotokea mkwamo wa kiuchumi, mbinu walizotumia kuficha hizi akiba ni mbili.

Mbinu ya kwanza ni uchawi ambao hauingiliani na WA kwetu ndo maana hata ukikusanya waganga na wachawi wa mkoa mzima wanaweza ishia kubamizwa na madondola au nyuki na kupoteana, mbinu ya pili walotumia ni sayansi na teknolojia na chenga za uwanjani, mfano unakuta sehem Kuna sakafu sasa kubomoa mtatumia nyundo zoote ikiwamo fatuma hadi atuganile nyundo hazipasui kumbe jamaa alisaga kwato za wanyama pori na kuchanganya na simenti maalum hivyo ni Bora uanzishe kilimo Cha nyanya kuliko kudili na haya mapango
Rubbish
 
Upuuzi mtupu!.
Mali nihuomuda unaopoteza kuangaika navitu visivyo eleweka.
 
Back
Top Bottom