kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
kwanini??Utapotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini??Utapotea
Nikajua umeshapata Mali kwenye mojawapo ya hivyo Vijiji kumbe unatupa usimulizi wa vijiweni 😁😁Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.
- Ikombe
- Mibirizi
- Kasanga
- Ilembule
- Rombo
- Nyakanazi
- Uvinza
- Mlalo
- Kisarawe
- Kazimzumbwi
- Kirondatal
- Tukuyu
- Leganga
- Igulwa
- Ushetu
- Mnazi
- Mikese
- Shume
- Lumbira
- Mbulu
- Nansio
- Sekenke
- Galula
- Liuli
- Manda
- Lushoto
Asanteni
Ndugu zangu wanajamvi.

Unasemaaa😳😳😳Haya mambo ni Kweli kabisa.Je akisikia kuna njia ya chini kutoka ziwa Tanganyika mpaka Kongo sindio atabishia kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Out of topic:
Mezani naona rizzla na pisi la nyota, chini naona tetele na famba za ganja na kanjiti ka kiberiti kalikoungua, bila kupepesa mkuu unachoma kaya.
Mkuu watanzania tuna tatizo la taarifa na ufuatiliaji wa mambo.Na haya ndio mastory ya town ambapo kila mtu huwa anasema nimesikia, inasemekana, kuna mtu fulani aliniambia kuwa mjomba wake, basi hakuna atakayejitokeza akakwambia kuwa mimi nimefanya.
Kanuni moja ya fedha inasema kuwa, madini yaliyotengeneza hiyo fedha hayawezi kuwa na thamani kuliko fedha yenyewe, ikiwa hivyo basi watu badala ya kutumia fedha wataiuza kama madini.
Asante sana mkuu.Mkuu watanzania tuna tatizo la taarifa na ufuatiliaji wa mambo.
Nitakuja andika SAFARI ZANGU JUU YA MALI ZA WAJERUMANI.
Kwanza pesa pekee waliyotengeneza Wajerumani ilikuwa ni rupia ya Tabora ndo ilikuwa ya Dhahabu tupu yenye uzito upatao 7.8g
Bahati mbaya hazikuwa nyingi sana.so mtu anapotafuta pesa ya kale basi iwe hiyo asa upate nyingi ndo ukazichoma zikae sawa uuze kama dhahabu.
Kuna rupia watu walikuwa wanaitafuta yenye simba rupia ile imetengenezwa kwa silver sasa silver bei gani jamani.
Kuna fufumark chache zilitengenezwa kwa brass na nickel ukiiweka gizani inatoa mwanga nazo zilikuwa chache hizo zina ufanyaji wake kazi tofauti na watu wanavozuaga taarifa.
Kuna sijui pasi sijui makufuli ya 999 hivi vyote ni copper tu asa kopa mpaka uje upate tani walau ndo upate hata 20m ni lini?
Hizo mali zimefanya nikasoma elimu juu ya hayo mambo ukweli wake na wabongo tunachoongea ni vitu viwili tofauti kabisaaa.
Ni rahisi ila kwa sharti moja kabla hujaichukua hiyo mali kwanza ujue kizuizi/uchawi wake ni upi.Hizi Mali ili uzipate lazima utumie ndumba za hali ya juu. La sivyo unaweza kuishia mapangoni. Amini; Wajerumani ni washirikina saana. Huipati mali kirahisi.
Labda iwe zari katika maisha yako tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa mercury hivo vingine ni copper tu.Nina ankal wangu anaishi vanga aliwahi kunambia mwaka jana mambo haya, kuna mercury, hizi sarafu, stove, pasi, jambia na sufuria alikua na saraf imeandikwa heller na nyingine doa kuna moja ni kubwa ndani ina kitu kama kidude ukiitikisa ambiwa hilo jambia ukilichomeka chini lazama naona anidanganya hivi hivi na ukizamia huko ni kupoteza muda na pesa tu naskia wakitaka kutafta hizo hazina lazima wakatambike na wanakutana na mauza uza si ya nchi hii
Huyo sio maiti mzee mngefumua kichwa hicho mngekutana na almasi.Mkuu, ni hatariii.....Ngoja nikupe kisa changu kilichonipata katika hizo pilika.
Kwanza nilivutiwa na jamaa fulani hivi tukiwa Mbeya huko wilaya XYZ,jamaa walifankkiwa kuopoa sanduku la dhahabu kwa Style hyhy ya kusaka Mali za wajerumani. Walikula bata sana na hadi muda huu ni malordilofa,yaani pesa bado wanayo.
Basi bhana,nikasafiri hadi wilaya kwa wajomba zangu baada ya kujifunza Code chache ambazo wajelumani walitumia kama alama na nikagundua hivi vitu nilivionaga kwa wajomba zangu nikiwa nachunga ng'ombe milimani.
Nilipofika kwa babu,nikanyoosha msituni kwenda kuhakiki kama zile alama kwenye miti,mawe na michoro kama ipo, bahati nzuri bhana nikavikuta kama vilivyo,wala havijaharibiwa sana na waharibifu wa mazingira. Nikashauriana na vijana wa pale tukaanza utaratbu wa kuchimba.
Huku tukiendelea kukutana na code na ninazisoma vizuri na kusonga mbele,baada ya siku 6 hatimaye tukalifikia sanduku bhana....!! Tulichokiona humo......mmamaye ,nikikumbuka huwa hata sijielewagi,maana ni hatari.
Tulikutana na marehemu mzungu humo.....ashamong'onyoka kawa unga tu,sijui walimtia nini hakuoza,kawa vumbi tu na mifupa, hilo vumbi likaingia vifuani, tulikohoa karibia ya kunya......!!!!
Aisee.....tulirudi nyumbani tukatengeezwa kienyehi ndio mambo yakawa sawa, lakini kuna mzee akasema mgetoa lile sanduku ndio mgekutana na mzigo wenyewe....!! Alinistua mbaya,lakini cha ajabu,nasema tena chaa ajabu niliporudi kule porini ile sehemu sijaikuta na wala sikuiona tena hadi leo, nilienda takribani mara 6 kwa siku tofauti lakini mpaka leo sipajui eti.....!!
Kuna sehemu tena nipo ugenini,nilikwenda kucheki shamba la kununua nimekutana na code tena za ajabu aisee.....!!! Sasa sijajua nini wameficha...!!
Kwanza nilikuta Mti mkubwa una mzizi upo nje,mzizi huo umetobolewa,nikaufuatilia kidogo nikakuta tobo la pili, nikaendelea kufukua nikakuta nikakuta tena mzizi umekunjwa kuelekea direction ya kusini,nikaendelea kuufuata, mbele ya huo mzizi kulikuwa na jiwe kubwa sana kama tani 30 hivi, nilipolizoom vizuri kabisa na kulichunguza,nikagundua kuwa huyo ni picha iliyojchongwa picha ya bundi...!!!! Nikafukuafukua kuzungua hilo hiwe nikakuta ramani aisee.....!!! Bahati mbaya sijui kijerumani .
Mzee nikaazimia kazi, tukaenda kwa mchawi wetu akasema kuna mzigo wa kufa jamaa....vizuri vyote ruby,gold na sapphire akasema zipo. Akatupa masharti tukaingia mzigoni...!!
Baba tumefungua ardhi huku tukifuata masharti makamanda tulikuwa 6, tuliikosea ramani kidogo tukajikuta kuna mwamba una ninginia juu yetu.
Tulichokifikia ni kwanza kuna vigae vya mawe vimefunika kitu tusichokijua hapo chini, pili kuna ukuta umejengwa kwa mawe ya kupondekezwa hapo chini shimoni...!!
Tuliogopa kupondwa na tulikuwa tumechoka sana,maana kazi ilikuwa ya ngumu na ilituchukua miezi 3,tukasema labda tusake katapila.
Sasa tumeliacha tu na tumeamua tulime tu kwanza lakini tukiwa na matumaini kwamba ipo siku.
Sasa najiuliza,au tutakuta marehemu mzungu tena au la ....nakaribisha wadau,kama unaweza kuleta Scaveta njoo tujaribu bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Location wapi aisee?Mkuu, ni hatariii.....Ngoja nikupe kisa changu kilichonipata katika hizo pilika.

Hii stori ya uongo.Kuna jamaa alikuwa anawinda mbugani na baba yake wakapita sehemu wakakuta mawe mengi ya dhahabu yamerundikwa kwenye mti wa mwembe, hawakuyatilia maanani wakaendelea na uwindaji walipo rudi kijijini wakawasimulia watu. Watu walivyo sikia hivyo wakambembeleza kijana awapeleke. Kabla kijana hajawapeleka wakaenda kwa kwa mganga kupiga ramli.
Mganga akawambia waende ila anaona giza mbele ya huyo kijana anayewapeleka. Wakasisitiza japo kijana aliogopa. Basi mganga akawambia wakifika kuna kitu kitatokea ila wasiseme neno lolote.
Story ni ndefu ila nitaifupisha.
Walipokaribia kwenye ule mti kweli waliziona zile dhahabu ghafla kikatokea kimbunga kikali kikamyanyua mzee moja. Mkwe wa yule mzee kuona hivyo akasema "haiwezekani baba mkwe aende"
Ghafla walitokea nyani kusiko julikana wakawapa kichapo si cha nchi hii alafu ikanyesha mvua kubwa hawajawahi kuona. Ikaharibu chakula chote walicho kuwa nacho.
Ilikuwa ni safari ya siku nne kurudi bila msosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kweli unataarifa sahihiMtaalamu alisema kuna vito vya kutosha sana, tulipofiikia kuna vigaae vikubwa vimefunika na pembeni yake kuna ukuta wa mawe umejengwa,sasa kuna ngema juu imeninginia na kuna kiwe, inafaa lilipuliwe na litolewe.
Tulikutana na mauza uza kibao lakini tyliyashinda,kubwa ilikuwa nyoka wa kutisha wa kutosha, tuliambiwa hapana kumuuwa hata mmoja,mbinde ilikuwa kuwatoa humo shimoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utalaamu ni ule ule hakuna cha mzungu wa mwarabu code ni zile zile.Washirikina kuliko Waarabu?