Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Nitag boss wangu kwenye huo uziKuna uzi upo humu wa muda mrefu kidogo umeongelea sana hili jambo,kuna watu wamefunguka sana humo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitag boss wangu kwenye huo uziKuna uzi upo humu wa muda mrefu kidogo umeongelea sana hili jambo,kuna watu wamefunguka sana humo.
Usafiri uliokua upo najua unajua n njia ya bahari , kwenye tension ya vita n ngumu kutoa mzigo , simaanishi kwamba hawakusafirisha ila mali nyng pia zilibak na zingn zilizamishwa i.e ziwa Tanganyika kuna nadharia kua kuna mali zilizamishwa na kufichwa kwa alama maalumKwani kama angeondoka nazo nini kingetokea? Kumbuka Vita ya kwanza ilikuwa toka mwaka 1914-1918.
Kumbuka kuwa Ujerumani ilitawala Tanganyika toka 1905 mpaka 1912 , sehemu nyingine zinasema tulitawaliwa mpaka 1919, kuna kitu hakiko sawa hapa au wewe unaonaje?
Je uwepo wa nadharia ya majoka na viumbe vya ajabu katika mapango yalikofichwa mali ni uchawi wa Kijerumani?
Nimesikia sana maelezo kama ya kwako kwa watu wengi sana na nimewahi kufuatilia na kuchimba kwa mchana mmoja kama masaa matatu hivi, tulipofikia kama futi 2 tu shimo tulikutana na utupu saizi ya chungu hivi. Kuanzia hapo tulianza kuchoka vibaya, mtu unalegea viungo hasa mabega mpaka unashindwa kunyanyua jembe, tukasepa. Ishara zote zilikuwepo kwamba kuna kitu hapo. Ilikuwa ni Iringa karibu na Makambako.Du pole sana mkuu.Haya mambo nadhani yapo sana.Pale kijijini kwetukulikuwa kuna sehem juu ya mlima wameweka alama nguzo ya zege fupi tu.Rumors ikawa kuwa hapo chini kuna utajiri wa kumwaga.
Kuna mwaka flani vijana walijitosa kuchimba maana sehemu yenyewe ilikuwa imezungukwa na mashamaba ya wanakijiji.walichimba kwa mda wa siku saba wanakutana na mishale ina point mara kulia mara kushoto.Baada ya siku saba wazee wa kijiji wakakataza na vijana wakaitwa kwenye mkutano wa kijiji na kuwekwa mtu kati.Basi wakaishia hapo.
Baada ya miaka mingi kupita 2017 kaja mzungu pale kijijini aisee na kaomba eneo la kukaa kijiji kikampatia na aliahidi kujenga zahanati huku pia alikuwa analea watoto wasio na wazazi wote pale kijijini.
Siku ya siku kaibuka night kali eneo lile like aisee kachimba na kubeba sanduku lake akiwa na vijana wa kijijin huku ana bastola so vijana hata hawakuona nini kilikuwepo ndani ya box.wanasema box lenyewe lilikuwa juu juu tu.
Wazungu ni kweli mali waliziacha sema nadhan wana formular zao namna ya kuzitoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hela na pia helo, kuna pesa na peso vilevile. Peso linatokana na Wahispania.Nashukuru kwa kujua chimbuko la msamiati maarufu wa kiswahili na katika mtandao wetu pendwa wa jf, neno "hela" kumbe lilitoholewa kwenye neno la kijerumani lililokuwa linawakilisha pesa enzi za ukoloni yani "heller"
Ni deci la aina yake hilo.Ukisikia watu walioishi siku nyingi wanakueleza jambo ni vyema kutafakari. Sisi ambao Mungu ametujalia kuona haya mambo tumejasikia hii kitu mara nyingi inatengezwa na pande mbili ambazo ziko pamoja. Moja inasema tunatafuta Rupia ya Kijerumani sijui yenye tundu tunanuna labda kwa Million 100.
Sasa afadhali sasa tunajua huko ebay na collector wengine ni $900 ambazo ni sawa na takriban 2m. Sasa inatangazwa demand ila huyo anayetoa hizo m 100 anakuwa ajawahi kuonekana ila unakuwa unasikia tuu kuna jamaa kuna jamaa ukiforce kuonana na mtu anayetaka kununua mzigo huonyeshi ila unaambiwa wewe tafuta ukipata hela iko na ukiangalia wazee walioaminishwa au wanaokueleza kama huna jicho la tatu lazima uingie kingi. Sasa wewe ukianza kuifanyia kazi anakuja mwingine kwenye team anakueleza kuna mtu wapi huko ana mzigo yeye labda anataka 30m ukichukua na yule aliyekueleza kuangalia Genuity anakuambia mzigo ndio huo sasa wewe nunua mzigo tumpeleke jamaa tupate 70 yetu ukilongwa huoni anayenunua wala nini.
Ndio maana waliona jua siku nyingi wanakuambia huu mchezo ulianza toka 70 huko ni moja ya utapeli wa siku nyingi. Ila uzuri siku hizi kuna taarifa za wazi mtu akitapeliwa kiihivyo watu wanashangaa ila inatokana mara nyingi na tamaa za haraka haraka za mali
Naomba kufanikiwa Umefanikiwa kuuza Kiongozi?Icho kijiko cha mjerumani kiufupi vitu ni vingi nimevishughudia Na kumiliki kabisa
View attachment 2400426Ilo kufuli umeshaliuza Mkuu?
Mzee wako alikuwa anatengeneza mazingira ili mpate 'hata' 30% mkamuondoa!.Mimali ya thamani iliyopo ardhini ambayo hiyo hiyo ndiyo waliifata Wajerumani inawashinda wanakuja akina Barick kuisomba nyie mnataka kuleta utapeli wa sarafu.
Alibana akaachia kabla hajafa. Umesahau? Cheza na wababe umesahau?Mzee wako alikuwa anatengeneza mazingira ili mpate 'hata' 30% mkamuondoa!.
Natunza hii reply yako!.Alibana akaachia kabla hajafa. Umesahau? Cheza na wababe umesahau?
JF yenyewe automatically inatunza reply zetu wote.Natunza hii reply yako!.
Tunza na hii, alipoachia👇🏾👇🏾👇🏾
Tunza na hii, alipoachia👇🏾👇🏾👇🏾
Aliachia kiulaini kabisa, au umesahau alipowaanzishia sakata wababe ndege zikawa kila zilipo zinashikwa? Wenye uelewa wakamwambia hawa wababe ni heri ukubali tu watakavyo, utaiumiza nchi. Mwenyewe akaachia kiulaini kabisa, wababe wanachota mpaka leo, huelewi hayo?Jeshi la Mtu Mmoja hakuachia kirahisi kama unavyofikiri nadhani, nasema nadhani alilambishwa asali.
Hii nchi kila kiongozi mwenye final decision anatengeneza njia yake ya 10perc so yawezekana nasema yawezekana JMM alilambishwa asali!.