The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
hahaha Venus Star naona umempiga dada ngumi ya jichoThis is eBay. Acha kukurupuka
View attachment 1022369
GERMAN EAST AFRICA ngc -pcgs -anacs in Coins and Paper Money | eBay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha Venus Star naona umempiga dada ngumi ya jichoThis is eBay. Acha kukurupuka
View attachment 1022369
GERMAN EAST AFRICA ngc -pcgs -anacs in Coins and Paper Money | eBay
Mchukuaji huyo alie sahihi namtaka.Tuanzie hapo zile siyo bidhaa na ile siyo Biashara bali kwa kanuni na sheria zake na malipo ya pesa yake wanaita ni sadaka kwa maana moja hakuna mtu afanyae biashara na Mfalme bali Mfalme huwa anatoa sadaka yake kwa watu......
CAESAR WILHELM II alikuwa ndiye Mfalme wa mwisho Ujerumani na Vyombo vyote vitafutwavyo vina alama ya sura yake sasa ukipeleka kwa waliokula kiapo cha kuwa wakusanyaji wa zile item basi wanakupa kiasi ambacho ile familia imepanga kwa kushukuru vile vyombo kurudishwa kwenye ufalme wao.
Kuhusu wachukuaji wapo na Mmoja ndiye sahihi na Yupo vizuri zaidi.
Alokwambia wameziacha nani,, wenye uwezo mbona wameziotea bt cio kitotoHuwa mnajidanganya tuu.. HV ccm walivyokuwa na tamaa ya pesa za bure unafikiri wangeziacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.
- Ikombe
- Mibirizi
- Kasanga
- Ilembule
- Rombo
- Nyakanazi
- Uvinza
- Mlalo
- Kisarawe
- Kazimzumbwi
- Kirondatal
- Tukuyu
- Leganga
- Igulwa
- Ushetu
- Mnazi
- Mikese
- Shume
- Lumbira
- Mbulu
- Nansio
- Sekenke
- Galula
- Liuli
- Manda
- Lushoto
Asanteni
Mie nmebahatika kumiliki kufuli mpaka saiv lipo lina chapa ya 666 ,,vipo vijiko vya mjerumani ata hapa nnavyo nlifanikiwa kuvipata morogoro kwenye milimaNina ankal wangu anaishi vanga aliwahi kunambia mwaka jana mambo haya, kuna mercury, hizi sarafu, stove, pasi, jambia na sufuria alikua na saraf imeandikwa heller na nyingine doa kuna moja ni kubwa ndani ina kitu kama kidude ukiitikisa ambiwa hilo jambia ukilichomeka chini lazama naona anidanganya hivi hivi na ukizamia huko ni kupoteza muda na pesa tu naskia wakitaka kutafta hizo hazina lazima wakatambike na wanakutana na mauza uza si ya nchi hii
Ongeza picha Mkuu
Nicheki WhatsApp 0715160365Mkuu, ni hatariii.....Ngoja nikupe kisa changu kilichonipata katika hizo pilika.
Kwanza nilivutiwa na jamaa fulani hivi tukiwa Mbeya huko wilaya XYZ,jamaa walifankkiwa kuopoa sanduku la dhahabu kwa Style hyhy ya kusaka Mali za wajerumani. Walikula bata sana na hadi muda huu ni malordilofa,yaani pesa bado wanayo.
Basi bhana,nikasafiri hadi wilaya kwa wajomba zangu baada ya kujifunza Code chache ambazo wajelumani walitumia kama alama na nikagundua hivi vitu nilivionaga kwa wajomba zangu nikiwa nachunga ng'ombe milimani.
Nilipofika kwa babu,nikanyoosha msituni kwenda kuhakiki kama zile alama kwenye miti,mawe na michoro kama ipo, bahati nzuri bhana nikavikuta kama vilivyo,wala havijaharibiwa sana na waharibifu wa mazingira. Nikashauriana na vijana wa pale tukaanza utaratbu wa kuchimba.
Huku tukiendelea kukutana na code na ninazisoma vizuri na kusonga mbele,baada ya siku 6 hatimaye tukalifikia sanduku bhana....!! Tulichokiona humo......mmamaye ,nikikumbuka huwa hata sijielewagi,maana ni hatari.
Tulikutana na marehemu mzungu humo.....ashamong'onyoka kawa unga tu,sijui walimtia nini hakuoza,kawa vumbi tu na mifupa, hilo vumbi likaingia vifuani, tulikohoa karibia ya kunya......!!!!
Aisee.....tulirudi nyumbani tukatengeezwa kienyehi ndio mambo yakawa sawa, lakini kuna mzee akasema mgetoa lile sanduku ndio mgekutana na mzigo wenyewe....!! Alinistua mbaya,lakini cha ajabu,nasema tena chaa ajabu niliporudi kule porini ile sehemu sijaikuta na wala sikuiona tena hadi leo, nilienda takribani mara 6 kwa siku tofauti lakini mpaka leo sipajui eti.....!!
Kuna sehemu tena nipo ugenini,nilikwenda kucheki shamba la kununua nimekutana na code tena za ajabu aisee.....!!! Sasa sijajua nini wameficha...!!
Kwanza nilikuta Mti mkubwa una mzizi upo nje,mzizi huo umetobolewa,nikaufuatilia kidogo nikakuta tobo la pili, nikaendelea kufukua nikakuta nikakuta tena mzizi umekunjwa kuelekea direction ya kusini,nikaendelea kuufuata, mbele ya huo mzizi kulikuwa na jiwe kubwa sana kama tani 30 hivi, nilipolizoom vizuri kabisa na kulichunguza,nikagundua kuwa huyo ni picha iliyojchongwa picha ya bundi...!!!! Nikafukuafukua kuzungua hilo hiwe nikakuta ramani aisee.....!!! Bahati mbaya sijui kijerumani .
Mzee nikaazimia kazi, tukaenda kwa mchawi wetu akasema kuna mzigo wa kufa jamaa....vizuri vyote ruby,gold na sapphire akasema zipo. Akatupa masharti tukaingia mzigoni...!!
Baba tumefungua ardhi huku tukifuata masharti makamanda tulikuwa 6, tuliikosea ramani kidogo tukajikuta kuna mwamba una ninginia juu yetu.
Tulichokifikia ni kwanza kuna vigae vya mawe vimefunika kitu tusichokijua hapo chini, pili kuna ukuta umejengwa kwa mawe ya kupondekezwa hapo chini shimoni...!!
Tuliogopa kupondwa na tulikuwa tumechoka sana,maana kazi ilikuwa ya ngumu na ilituchukua miezi 3,tukasema labda tusake katapila.
Sasa tumeliacha tu na tumeamua tulime tu kwanza lakini tukiwa na matumaini kwamba ipo siku.
Sasa najiuliza,au tutakuta marehemu mzungu tena au la ....nakaribisha wadau,kama unaweza kuleta Scaveta njoo tujaribu bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of topic:Icho kijiko cha mjerumani kiufupi vitu ni vingi nimevishughudia Na kumiliki kabisa
Heller $625This is eBay. Acha kukurupuka
View attachment 1022369
GERMAN EAST AFRICA ngc -pcgs -anacs in Coins and Paper Money | eBay
Hii ni 999 na sio 666.
Umeonaga wapi mrembo? Usukumani au mkoa gani?Mim najua kuhusu pasi ya dhahabu na nlishuhudia.
Ukichukia maji kweny chupa yawe sealed kabisa ukiweka mbele ya pasi maji yanageuka rangi yanakua mekundu. Baada ya muda kidg yanarudi kweny hali yake ya kawaida..
Ukichukia kioo ukaweka mbele ya hyo pasi kioo kinaonyesha ukungu na ukitoa baad ya muda kinabaki SawA.
Hizo Mali kusema kweli ni za uchawi wa hali ya juu tena wa kizungu.
Ukisema mnataka kuuza hizo mali na mmja wenu anakaenda kinyume na mlivopanga hyo mali haitauzika ng'oooo.
Sehem zinapopatikana kama ukienda na lengo la kuzifuata uwez kupata.
Lkn kama umepita tu ujui hili wala lile
unaweza shangaa tu mzigo huo hapo