Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Sio usukumani niliona Burundi mkuu yani ni mambo ya kutishaUmeonaga wapi mrembo? Usukumani au mkoa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio usukumani niliona Burundi mkuu yani ni mambo ya kutishaUmeonaga wapi mrembo? Usukumani au mkoa gani?
Wanaopinga ni wakazi wa Dar fatilia icho kituTusiwe watu wa kupinga kila kitu, hi ishu ipo na ipo kweli hata hao wazungu wenyewe wanatengeneza mpaka filamu za treasure hunting. Binafsi nimepata kusimuliwa na babu yangu kabisa habari kuwepo kwa hayo mapango ya hazina kwa maana alipatapo kuajiriwa na hao wajerumani kwenye miradi yao. Kimtazamo wa haraka unaweza ukaona ni hadithi tu ila mimi nimewahi shuhudia baadhi ya beacons na bearing points lakini sijabahatika kuona shughuli yeyote ya uvunaji wa hizo vitu. Tuwe na tabia ya kusoma au kufuatilia documentaries sio kupinga kila kitu.
Mzungu ni mshirikina kuliko mtu yoyote tule.Washirikina kuliko Waarabu?
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.
- Ikombe
- Mibirizi
- Kasanga
- Ilembule
- Rombo
- Nyakanazi
- Uvinza
- Mlalo
- Kisarawe
- Kazimzumbwi
- Kirondatal
- Tukuyu
- Leganga
- Igulwa
- Ushetu
- Mnazi
- Mikese
- Shume
- Lumbira
- Mbulu
- Nansio
- Sekenke
- Galula
- Liuli
- Manda
- Lushoto
Asanteni
0715160365 whatsapp nitumie pichaHabari ndugu
Hapa nyumbani ni karibu na kisarawe pia katika kuendelea na ujenz tukakutana na beacon ambapo inasemekana kuna mali za wajerumani
Je wewe unatoa???
0789010287
Naomba unipigie
Goodest twend SOKONIMie nmebahatika kumiliki kufuli mpaka saiv lipo lina chapa ya 666 ,,vipo vijiko vya mjerumani ata hapa nnavyo nlifanikiwa kuvipata morogoro kwenye milima
Muda mrefu sana nimekuwa nikisikia stori za mjerumani kuficha mali Tanzania, lakini kuna kitu najiuliza ! Ni kitu gani kilifanya washindwe kuondoka na hizo mali wakati zilikuwepo manuwari kibao miaka hiyo?Waichofanya wajerumani walipokua wanaondoka walikua wanauliza nani anataka kuwa mlinzi wa mali zetu hivi watu wakawa wanajitolea wakawa wanawachukua na kuwazika na yale masanduku, ivyo nafsi za wale watu ndio walinzi wa izo mali. Kumbuka on your way to kuna death trap mana ni wajeramani pekee ndio wenye ramani ya safe entry point. Pale Tukuyu kwenye jengo la Utamaduni ambapo ni ofisi ya mkuu wa wilaya kwa sasa, walikuja wajerumani kutaka kufanya ukarabati wa ile ofisi, watu wakamtonya RC wa kipindi icho, ukarabati ukazuiwa. Waza kwann Mbeya kuna ubalozi mdogo wa wajerumani? Sehemu nyingine za maji wameacha machunusi, pale Mbeya mabatini kuna mto ulikua unaitwa Yordan walitumia kubatiza watu wao ashapotea mtu mpaka leo hajaoneka. Dodoma kuna sehemu inaitwa Hombolo, kumbuka wajerumani wamekaa mno dodoma maeneo ya Mpwapwa. Ukiahana na chunusi kuna majoka makubwa.
Kuzipata izo mali ni mpaka uende ujerumani ktk library zao ukasome kuweza kujua safe entry point mzee.
Wazungu wametuaminisha kwamba Uchawi ni dhambi lkn wao wanautumia mpaka.kesho wakiwa wameuficha nyuma ya Sayansi. Jiulize anayeruka kwa ungo na anayeruka na ndege tofauti yao ni nn? Anayemtungua mwenye ungo usiku na anayetungua ndege tofauti yao ni nn? Kumbuka hata anayeruka na ungo kabla hajaruka anapima hali ya hewa kujua uelekeo ama aahilishe kuruka siku iyo kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya[emoji120]
Hapo Ndiyo Utaukimbilia Umasikini Wewe MwenyeweNani ana uwezo wa kutoa hii Mali ya mjerumani.
Nina site.
NakaziaHakuna mali iliyofichwa ni utapeli.
Hakikisha una shughuli nyingine ya kufanya na kukuingizia kipato kabla ya kuanza kujihusisha na hii shughuli ya kutafuta Mali ya Mjerumani. Bila hivyo utapoteza muda mwingi sana na kuishia kuchanganyikiwa.Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.
- Ikombe
- Mibirizi
- Kasanga
- Ilembule
- Rombo
- Nyakanazi
- Uvinza
- Mlalo
- Kisarawe
- Kazimzumbwi
- Kirondatal
- Tukuyu
- Leganga
- Igulwa
- Ushetu
- Mnazi
- Mikese
- Shume
- Lumbira
- Mbulu
- Nansio
- Sekenke
- Galula
- Liuli
- Manda
- Lushoto
Asanteni
Kwa sababu kwenye hizo Hidden treasures, zimefichwa mpaka Mali zetu, kwa maana ya Madini!Leo ndo nimeuona huu uzi,Mimi ni mmoja kati ya watu nilioshuhudia shuhuli hizo
Ila point yangu kubwa ni mwamba hizo mali za mjerumani ni za mjerumani kwanini tuwekeze nguvu kubwa kutafuta mali isiyo ya kwetu??
Uko maeneo gani?Nani ana uwezo wa kutoa hii Mali ya mjerumani.
Nina site.
Vita vya dunia vilipotokea ,inasemekana alipoona anaenda kushindwa ikabid afiche kuliko kumuachia muingereza aje kunufaika...hvo alitumia magic katika kufichaMuda mrefu sana nimekuwa nikisikia stori za mjerumani kuficha mali Tanzania, lakini kuna kitu najiuliza ! Ni kitu gani kilifanya washindwe kuondoka na hizo mali wakati zilikuwepo manuwari kibao miaka hiyo?
Kwani kama angeondoka nazo nini kingetokea? Kumbuka Vita ya kwanza ilikuwa toka mwaka 1914-1918.Vita vya dunia vilipotokea ,inasemekana alipoona anaenda kushindwa ikabid afiche kuliko kumuachia muingereza aje kunufaika...hvo alitumia magic katika kuficha