Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Huyo huyo, nakumbuka pale akiwataja Matajiri wakubwa.... Kwamba alishangaa kuwaona kwenye Kibao Hotelini, kabla hata hajakutana na Wazungu.

Yeah...ingawa mimi nilikuwa nataman kujua hilo dili la Rupia na Mercury kama watazichukua ila ndiyo hivo ikatokea maajabu ya jamaa kuokoka ila haijulikani sasa kama yule mganga wa shinyanga ataiendeleza show au vp
 
Huyo huyo, nakumbuka pale akiwataja Matajiri wakubwa.... Kwamba alishangaa kuwaona kwenye Kibao Hotelini, kabla hata hajakutana na Wazungu.

Kuna jamaaa humu JF kanibishia sana kanambia hiyo stori niya kutunga alafu hata kuisikiliza hajaisikiliza.

Hivi kwa wewe ulivyoisikiliza kwa jinsi anavyosimulia unaweza nambia kuwa ile ni stori ya kutunga kweli ?
 
Mwanangu Venus Star umewahi kuhudhuria shughuli hata moja ya utafutaji wa hii kitu kaka? mimi nimewahi mkuu. Bagamoyo kuna sehemu moja inaitwa kimange tumeenda hapo kaka. Mimi nilifika siku ya tatu baada ya shughuli kuanza, ilikuwa ni kazi ya siku 5 kufukua ardhini walikuwepo pia wazee 2 wa Kijiji. Mambo yaliotokea hapo sitokaa nisahau kaka. Ipo siku nitaweka uzi hapa. Lakini kwa ufupi nilijifunza mengi.
Je uliweka huo uzi, nipe link nijifunze mkuu

Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
 
Hilo swala la Jina la John ni kwamba kama unakuwa na Mtoaji Halisi wa mali zile ni Lazima kutaja na jina la aliyeweka mali hiyo mahali hapo( kwenye site husika maana yule (nafsi) kuna asilimia kubwa akatokea kuhojiana naye ndiyo ufanye yako ikibidi sasa anaweza akliita jina lako na wewe utalitaja jina lake katika Kulazimisha jambo kuwa.na hapo kusema kuwa baada ya kuokoka ndiyo jamaa aliamua kuachana na hiyo kitu ya wajerumani,sidhani kama sababu ni ulokole ila kutokuwa na mwanga wa kile alichokifuatilia tu,pia shetani hakuwahi kuwa na mali bali Mungu ndiye aliyekuwa navyo ila nafsi chafu zimehodhi tu Fahari ya dunia Mkuu.
Link Bila link ww n tapeli
 
Mbona Yule msimuliaji wenu anasema hajawahi kuziona tofati na kuonyeshwa kwenye picha, na kuambiwa ina dhamani kiasi fulani, na wanunuzi nao wakapotea mwisho wa siku

Maana wao walikwama mwishoni walipo fikia hatua ya kutoa kafara, hizi mambo ni typical ushetani kama vile wanao tafuta pesa za mauza uza.

Mali ya kishetani hutolewa kishetani tuu hamna vinginevyo tutaishia, alishia tu kupata faida ya kuwa mganga wa kienyeji
 
Wacha kudanganya watu, hakuna mdini yoyote kwenye hizo heller zaidi ya shaba. Hizo zinauzwa kwa "collectors" wa sarafu almaaruf "numismatics".

Thamani zake hizi hapa: German East Africa Heller KM 7 Prices & Values | NGC

Kuna utapeli wa siku nyingi toka miaka ya 70 kuhusu pesa za kizamani. Huu utapeli unakwenda na kurudi. Naona sasa mmeamua kuileta kwenye mtandao.

Yeyote atakae kufanya shughuli za sarafu za zamani azame eBay tu.
Maashaalaaaah umefungua ubongo wanguu .
 
Ungekuwa umewahi kumiliki majini ningekuamini.

Aliyesimulia hii stori amewahi kumiliki majini kabla ya kuokoka.

Amekuwa mganga wa kienyeji kwa miaka kadhaa na ametaja majini matatu aliyokuwa anayamiliki kumsadia uganga wake, majini hayo matatu aliyoyataja kama John, Makata na la tatu nimelisahau kidogo.

Na kasema hayo mawili Makata na mwenzake alisema ni ya kiislamu na akitaka kuyaita anachukua Quran alafu anasema maneno anayoyajua yeye yanafika yanamwelekeza namna yakutatua shida anayoitaka yeye, then huyo John kasema alikuwa jini wa kikristo na alikuwa mjerumani na akitaka kumuita anatumia Biblia anaiweka mahali then anakuja kuongea nae na kumpa maelekezo.

Na hayo majini ndo walienda nao kwenye kuzitafta hizo mali za mjerumani wakiongozwa na John wa kijerumani ingawa walikuwa wanakutana na mauza uza mengi sana then huyo john ndo ana wa direct namn a ya kuondokana na hayo mauza uza na kusonga mbele.

NB : Kwa ushuhuda wake zaidi (maana huyo jamaa siku hizi ameokoka na Mtu Mungu ndiye alikuwa anatoa ushuhuda) ingia You tube search Channel inaitwa Syllas TV then andika "Mwanaume aliyetafta utajiri kwa nguvu za Giza" itakutana na stori ya jamaa mmoja stor ake imegawanyika part 1-10 then isikilize full ndo utakutana na hivyo vimbwengo
Mbona siioni Tupe link mkuu
 
Unadhani kuyapata hayo vyepesi huwa kuna mauza uza sana ,kuyapata mpaka apatikane mjeruman mwenyewe.Mfano kule kwa babu wa roliondo kuna pango linalia zaaaazaaaaa ikifika muda linatulia inatoka harufu kali sasa kama mpo humo mkitema mate mnakula fimbo
 
Unadhani kuyapata hayo vyepesi huwa kuna mauza uza sana ,kuyapata mpaka apatikane mjeruman mwenyewe.Mfano kule kwa babu wa roliondo kuna pango linalia zaaaazaaaaa ikifika muda linatulia inatoka harufu kali sasa kama mpo humo mkitema mate mnakula fimbo
Samahani Mkuu.......Umefika eneo hili au ni maelezo ya Mtu mwingine aliyefika mkuu?
 
hii utasikia alisikia kwa aliyesikia.akikujib tutajua
sawa sawa....ilikufanya mambo kuwa rahisis ni kumpata aliyefika eneohusika yeye ndiye mwenye kuweza kujibu baadhi ya maswali.
 
Back
Top Bottom