Ungekuwa umewahi kumiliki majini ningekuamini.
Aliyesimulia hii stori amewahi kumiliki majini kabla ya kuokoka.
Amekuwa mganga wa kienyeji kwa miaka kadhaa na ametaja majini matatu aliyokuwa anayamiliki kumsadia uganga wake, majini hayo matatu aliyoyataja kama John, Makata na la tatu nimelisahau kidogo.
Na kasema hayo mawili Makata na mwenzake alisema ni ya kiislamu na akitaka kuyaita anachukua Quran alafu anasema maneno anayoyajua yeye yanafika yanamwelekeza namna yakutatua shida anayoitaka yeye, then huyo John kasema alikuwa jini wa kikristo na alikuwa mjerumani na akitaka kumuita anatumia Biblia anaiweka mahali then anakuja kuongea nae na kumpa maelekezo.
Na hayo majini ndo walienda nao kwenye kuzitafta hizo mali za mjerumani wakiongozwa na John wa kijerumani ingawa walikuwa wanakutana na mauza uza mengi sana then huyo john ndo ana wa direct namn a ya kuondokana na hayo mauza uza na kusonga mbele.
NB : Kwa ushuhuda wake zaidi (maana huyo jamaa siku hizi ameokoka na Mtu Mungu ndiye alikuwa anatoa ushuhuda) ingia You tube search Channel inaitwa Syllas TV then andika "Mwanaume aliyetafta utajiri kwa nguvu za Giza" itakutana na stori ya jamaa mmoja stor ake imegawanyika part 1-10 then isikilize full ndo utakutana na hivyo vimbwengo