Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Sio mpagani pia,
Anyway turudi kwenye hoja tuachana na maswala ya imani, hivyo vitu vimetokea wapi??
Hatujaelewana nimekuuliza unaabudu imani ipi ilinikusaidie kwamaelezo ya kiimani kwanza sipo kwa ajili ya kutaka kuwa against na nn unaamini..............
 
Hatujaelewana nimekuuliza unaabudu imani ipi ilinikusaidie kwamaelezo ya kiimani kwanza sipo kwa ajili ya kutaka kuwa against na nn unaamini..............
Nimeshajibu hilo kuwa sio muumini, ukadhani ni mpagani nikakujibu pia, kwahiyo naomba unijibu kwa uelewa wako kadri utakavyoweza!
 
Nimeshajibu hilo kuwa sio muumini, ukadhani ni mpagani nikakujibu pia, kwahiyo naomba unijibu kwa uelewa wako kadri utakavyoweza!
sawa nitakupa maelezo machache kwa kutumia BIble
 
2Mimi nitakutangulia,
na kuisawazisha milima mbele yako.
Nitaivunjavunja milango ya shaba,
na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma.
3Nitakupa hazina zilizofichwa gizani,
na mali iliyo mahali pa siri,

upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu,
Mungu wa Israeli, ninayekuita kwa jina lako.
4Kwa ajili ya mtumishi wangu Yakobo,
naam, kwa ajili ya mteule wangu Israeli,
nimekuita kwa jina lako;
nimekupa jina la heshima ingawa wewe hunijui.
5“Mimi ni Mwenyezi-Mungu, wala hakuna mwingine;
hakuna Mungu mwingine ila mimi.
Ninakuimarisha ingawa wewe hunijui,
6ili watu wote, toka mashariki hadi magharibi,
wajue kwamba hakuna Mungu mwingine ila mimi;
mimi ni Mwenyezi-Mungu na hakuna mwingine.

wengi wanafikiri kwenye andiko hili kuwa kilichozungumziwa hapo ni madini tu haya yakupatikana kila siku na hapo ndiyo uone tofauti ya mali na hazina na uzungumziapo hazina ni kitu ambacho ni zaidi ya utajiri na ndiyo maana wanaita hazina za mjerumani.

Mathayo 22:20-22​

Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao

soma Marko 12;16, kwa hapo nimekupa machache lakini aliulizwa swali na lijibu 2 kwa moja kwa hiyo Kaisari alishakuwepo tangu Kipindi cha Kabla kuja kwa Yesu na pia ukiipata semina Halisi ya Kaisari yeye alipewa vitu vyote na Mungu vya duniani lakini kituteteacho kuweza kufuata mali ni kuwa fedha na dhahabu ni Mali ya BWANA MUNGU
 
Huyu Wilhelm wa Ujerumani alifanya Maombi kwa Kaisari na akapewa vitu vile na vinahali ya kuwa kiroho zaidi wajerumani wa leo wameweza kuipata mekyuri lakini hawajaweza kutengeneza kwenye vyombo kama vile na ndiyo maana wanavikusanya kwa Gharama kubwa.
yote kwa yote shetani hakuumba ila alihodhi vile vilivyokwisha tengenezwa na Mungu Muumbaji
 
2Mimi nitakutangulia,
na kuisawazisha milima mbele yako.
Nitaivunjavunja milango ya shaba,
na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma.
3Nitakupa hazina zilizofichwa gizani,
na mali iliyo mahali pa siri,

upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu,
Mungu wa Israeli, ninayekuita kwa jina lako.
4Kwa ajili ya mtumishi wangu Yakobo,
naam, kwa ajili ya mteule wangu Israeli,
nimekuita kwa jina lako;
nimekupa jina la heshima ingawa wewe hunijui.
5“Mimi ni Mwenyezi-Mungu, wala hakuna mwingine;
hakuna Mungu mwingine ila mimi.
Ninakuimarisha ingawa wewe hunijui,
6ili watu wote, toka mashariki hadi magharibi,
wajue kwamba hakuna Mungu mwingine ila mimi;
mimi ni Mwenyezi-Mungu na hakuna mwingine.

wengi wanafikiri kwenye andiko hili kuwa kilichozungumziwa hapo ni madini tu haya yakupatikana kila siku na hapo ndiyo uone tofauti ya mali na hazina na uzungumziapo hazina ni kitu ambacho ni zaidi ya utajiri na ndiyo maana wanaita hazina za mjerumani.

Mathayo 22:20-22​

Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao

soma Marko 12;16, kwa hapo nimekupa machache lakini aliulizwa swali na lijibu 2 kwa moja kwa hiyo Kaisari alishakuwepo tangu Kipindi cha Kabla kuja kwa Yesu na pia ukiipata semina Halisi ya Kaisari yeye alipewa vitu vyote na Mungu vya duniani lakini kituteteacho kuweza kufuata mali ni kuwa fedha na dhahabu ni Mali ya BWANA MUNGU
hii fungua isaya 45
 
“Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”

Hapa alimaanisha nini hasa?
 
Tuanzie hapo zile siyo bidhaa na ile siyo Biashara bali kwa kanuni na sheria zake na malipo ya pesa yake wanaita ni sadaka kwa maana moja hakuna mtu afanyae biashara na Mfalme bali Mfalme huwa anatoa sadaka yake kwa watu......
CAESAR WILHELM II alikuwa ndiye Mfalme wa mwisho Ujerumani na Vyombo vyote vitafutwavyo vina alama ya sura yake sasa ukipeleka kwa waliokula kiapo cha kuwa wakusanyaji wa zile item basi wanakupa kiasi ambacho ile familia imepanga kwa kushukuru vile vyombo kurudishwa kwenye ufalme wao.
Kuhusu wachukuaji wapo na Mmoja ndiye sahihi na Yupo vizuri zaidi.
Huyu Caesar Wilhelm II ana uhusiano gani na Kaisari anayezungumzwa na Yesu?
 
hii fungua isaya 45
Isaya 45

1 Haya ndiyo Bwana amwambiayo Koreshi, masihi wake,ambaye nimemshika mkono wake wa kuume,ili kutiisha mataifa mbele yake,name nitalegeza viuno vya wafalme;ili kufungua milango mbele yake,hata malango hayatafungwa.

2 Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata-kata mapingo ya chuma;

3 nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni Bwana, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.

Wakati Mungu anamwambia haya maneno Koreshi,
Je,Kaisari alishakufa au ilikuwa kabla maana panazungumzia kuvunja milango ya Shaba na Chuma na kumpa mali zilizofichwa mahali pa siri ambapo kwa maelezo yako mali hizo alikabidhiwa Kaisari.?
 
sawa nitakupa maelezo machache kwa kutumia BIble
Mkuu maelezo nimeyaona, ni marefu mno lakini hayajibu swali nilililouliza, kwahiyo sasa nasubiria jibu la swali langu,
 
Kwa wale mnaokaa dodoma , iringa n.k.
Pale kwenye zile common war graves chini kuna mizigo wameweka.. sasa ni ujasiri wako tu wa kwenda kufukua na kuchukua mipesa yako.
 
Back
Top Bottom