Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Sifungamani na upande wowote ulesamahani unaabudu imani ipi nataka kujua ilinione naanzia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifungamani na upande wowote ulesamahani unaabudu imani ipi nataka kujua ilinione naanzia wapi?
na unamaanisha wewe ni mpagani siyo?Sifungamani na upande wowote ule
Sio mpagani pia,na unamaanisha wewe ni mpagani siyo?
Hatujaelewana nimekuuliza unaabudu imani ipi ilinikusaidie kwamaelezo ya kiimani kwanza sipo kwa ajili ya kutaka kuwa against na nn unaamini..............Sio mpagani pia,
Anyway turudi kwenye hoja tuachana na maswala ya imani, hivyo vitu vimetokea wapi??
Nimeshajibu hilo kuwa sio muumini, ukadhani ni mpagani nikakujibu pia, kwahiyo naomba unijibu kwa uelewa wako kadri utakavyoweza!Hatujaelewana nimekuuliza unaabudu imani ipi ilinikusaidie kwamaelezo ya kiimani kwanza sipo kwa ajili ya kutaka kuwa against na nn unaamini..............
sawa nitakupa maelezo machache kwa kutumia BIbleNimeshajibu hilo kuwa sio muumini, ukadhani ni mpagani nikakujibu pia, kwahiyo naomba unijibu kwa uelewa wako kadri utakavyoweza!
Okaysawa nitakupa maelezo machache kwa kutumia BIble
2Mimi nitakutangulia,Okay
hii fungua isaya 452Mimi nitakutangulia,
na kuisawazisha milima mbele yako.
Nitaivunjavunja milango ya shaba,
na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma.
3Nitakupa hazina zilizofichwa gizani,
na mali iliyo mahali pa siri,
upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu,
Mungu wa Israeli, ninayekuita kwa jina lako.
4Kwa ajili ya mtumishi wangu Yakobo,
naam, kwa ajili ya mteule wangu Israeli,
nimekuita kwa jina lako;
nimekupa jina la heshima ingawa wewe hunijui.
5“Mimi ni Mwenyezi-Mungu, wala hakuna mwingine;
hakuna Mungu mwingine ila mimi.
Ninakuimarisha ingawa wewe hunijui,
6ili watu wote, toka mashariki hadi magharibi,
wajue kwamba hakuna Mungu mwingine ila mimi;
mimi ni Mwenyezi-Mungu na hakuna mwingine.
wengi wanafikiri kwenye andiko hili kuwa kilichozungumziwa hapo ni madini tu haya yakupatikana kila siku na hapo ndiyo uone tofauti ya mali na hazina na uzungumziapo hazina ni kitu ambacho ni zaidi ya utajiri na ndiyo maana wanaita hazina za mjerumani.
Mathayo 22:20-22
Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao
soma Marko 12;16, kwa hapo nimekupa machache lakini aliulizwa swali na lijibu 2 kwa moja kwa hiyo Kaisari alishakuwepo tangu Kipindi cha Kabla kuja kwa Yesu na pia ukiipata semina Halisi ya Kaisari yeye alipewa vitu vyote na Mungu vya duniani lakini kituteteacho kuweza kufuata mali ni kuwa fedha na dhahabu ni Mali ya BWANA MUNGU
Huyu Caesar Wilhelm II ana uhusiano gani na Kaisari anayezungumzwa na Yesu?Tuanzie hapo zile siyo bidhaa na ile siyo Biashara bali kwa kanuni na sheria zake na malipo ya pesa yake wanaita ni sadaka kwa maana moja hakuna mtu afanyae biashara na Mfalme bali Mfalme huwa anatoa sadaka yake kwa watu......
CAESAR WILHELM II alikuwa ndiye Mfalme wa mwisho Ujerumani na Vyombo vyote vitafutwavyo vina alama ya sura yake sasa ukipeleka kwa waliokula kiapo cha kuwa wakusanyaji wa zile item basi wanakupa kiasi ambacho ile familia imepanga kwa kushukuru vile vyombo kurudishwa kwenye ufalme wao.
Kuhusu wachukuaji wapo na Mmoja ndiye sahihi na Yupo vizuri zaidi.
Isaya 45hii fungua isaya 45
Mkuu maelezo nimeyaona, ni marefu mno lakini hayajibu swali nilililouliza, kwahiyo sasa nasubiria jibu la swali langu,sawa nitakupa maelezo machache kwa kutumia BIble
CAESAR ni malaika muasiHuyu Caesar Wilhelm II ana uhusiano gani na Kaisari anayezungumzwa na Yesu?
kama ilivyoandikwa kuwa kuna ya kaisari na ya Mungu“Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”
Hapa alimaanisha nini hasa?
Hapana; twende tukakope pesa world bank, halafu tutumie hela hizo kuinunua hiyo world bank halafu baadaye tujisamehe deni hilo na kubaki tukiwa wamiliki wa world bank pamoja hela zake zote!!Me naona kama taifa tuzisake hizo Mali. Then tukanunue dreamlimer nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app