zed B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 958
- 1,044
Fafanua vizuri mkuu ndy ipoje iyo powerKilichotumika ni Extra Power ile aliyokuwa nayo CAESAR WILHELM II
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua vizuri mkuu ndy ipoje iyo powerKilichotumika ni Extra Power ile aliyokuwa nayo CAESAR WILHELM II
hayajajibu kwa vipi labda?Mkuu maelezo nimeyaona, ni marefu mno lakini hayajibu swali nilililouliza, kwahiyo sasa nasubiria jibu la swali langu,
Swali lilitaka kujua hivyo vitu vimetokea wapi kama havikutengenezwa kama ulivyodai?hayajajibu kwa vipi labda?
vitu vyake ambavyo ni spirit vilitengenezwa na majini na mashetani baada ya na ndiyo maana jiko ya mjerumani au pasi ya mjerumani zile zinazotafutwa unapoitikisa ndani yake utaisikia na kitu kama nta nzito lakini kilichomo ni mecury sasa wanadamu hawakuweza fanya hilo kuweka mecury katika hali ile.Swali lilitaka kujua hivyo vitu vimetokea wapi kama havikutengenezwa kama ulivyodai?
ukielewa kuhusu habari ya malaika muasi basi utaweza kuwa na jibu kwa urahisi mkuu🙂,japo historia yake ipo Hidden kwasababu muhimu.Fafanua vizuri mkuu ndy ipoje iyo power
Kabla sijajibu,,,Roho Makatifu anauhusiano gani na Mungu tusomaye habari zake kwenye biblia?Huyu Caesar Wilhelm II ana uhusiano gani na Kaisari anayezungumzwa na Yesu?
Ni kitu kimoja,yaani ni moja ya nafsi za Mungu(katika ule utatu)Kabla sijajibu,,,Roho Makatifu anauhusiano gani na Mungu tusomaye habari zake kwenye biblia?
sawa vyema ...sasa kama Mungu ni Roho kamili katika nafsi tatu,na Malaika muasi ni roho yenye nafsi pia iliyoumbwa na Mungu na nafsi ile ilipotaka kumpindua Mungu mbinguni na Mungu kutopendezwa na hilo aliifukuza Kule mbinguni nayo pia ilipata wafuasi lakini kwa kuwa kiini chake cha uasi ilikuwa ni tamaa ya kutawala na kusujudiwa Mungu aliiambia kuwa Fahari zote za Duniani nimekupa nayo ilifurahi sasa kumbuka tayari mwanadamu alishaumbwa na pili ile nafsi iliyoasi ilijua kuwa Mwanadamu atakuja kutaka tu vile vitu kwakuwa tangu mali zinaumbwa mwanadamu aliambiwa na Mungu kuwa kuwa atavitawala sasa huyu malaika Muasi (CAESAR)aliamua Kuvikumbatia na akataka kusujudiwa pia ili aweze kumpatia afanyaye hilo na kwakuwa nafsi ile ilikuwa mbinguni na kujua kila jambo juu ya Mbinguni basi nayo ilianza kucopy mambo ya Utakatifu kama vile alivyo Mungu nikiwa naendeea kumbuka utafutapo mali hizi lazima uwe katika hali ya utakatifu(Usafi wa mwili nafsi na Roho),lakini bado ilitaka kuabudiwa na ile roho ilienda Miaka naMiaka Lakini kipindi cha Utawala wa WIlhelm aliisujudia na kuomba Vyombo vya Namna ile na hasa wakati wa kuelekea vita ya kwanza ya Dunia na Mapepo ndiyo yalitengeneza kama karabai,Fufumark,red rupee,Rupee ya Kitumbua ,Pasi,Jiko nk lakini vidogo vichache ndiyo alifanya Mwanadamu lakini hivyo nilivyokwisha kutaja hauta pata Historia ya kiwanda Kutengeneza na wengine hukimbilia kusema vilishushwa 🙂 .Ni kitu kimoja,yaani ni moja ya nafsi za Mungu(katika ule utatu
unaenda kukata kibali cha site yenu pale wizara ya mali asili na utalii kiteng0 cha mali kale na kila baada ya miezi 3 nmakilipia kibali ilikiwe hai mpaka mpate wa kufanya kazi yenuKuhusu site ili utafutaji uwe halali inahitajika nini??
na huu ni mfano wa vile ambavyo ni mali ya Wilhelm lakini walifanya wanaadamusawa vyema ...sasa kama Mungu ni Roho kamili katika nafsi tatu,na Malaika muasi ni roho yenye nafsi pia iliyoumbwa na Mungu na nafsi ile ilipotaka kumpindua Mungu mbinguni na Mungu kutopendezwa na hilo aliifukuza Kule mbinguni nayo pia ilipata wafuasi lakini kwa kuwa kiini chake cha uasi ilikuwa ni tamaa ya kutawala na kusujudiwa Mungu aliiambia kuwa Fahari zote za Duniani nimekupa nayo ilifurahi sasa kumbuka tayari mwanadamu alishaumbwa na pili ile nafsi iliyoasi ilijua kuwa Mwanadamu atakuja kutaka tu vile vitu kwakuwa tangu mali zinaumbwa mwanadamu aliambiwa na Mungu kuwa kuwa atavitawala sasa huyu malaika Muasi (CAESAR)aliamua Kuvikumbatia na akataka kusujudiwa pia ili aweze kumpatia afanyaye hilo na kwakuwa nafsi ile ilikuwa mbinguni na kujua kila jambo juu ya Mbinguni basi nayo ilianza kucopy mambo ya Utakatifu kama vile alivyo Mungu nikiwa naendeea kumbuka utafutapo mali hizi lazima uwe katika hali ya utakatifu(Usafi wa mwili nafsi na Roho),lakini bado ilitaka kuabudiwa na ile roho ilienda Miaka naMiaka Lakini kipindi cha Utawala wa WIlhelm aliisujudia na kuomba Vyombo vya Namna ile na hasa wakati wa kuelekea vita ya kwanza ya Dunia na Mapepo ndiyo yalitengeneza kama karabai,Fufumark,red rupee,Rupee ya Kitumbua ,Pasi,Jiko nk lakini vidogo vichache ndiyo alifanya Mwanadamu lakini hivyo nilivyokwisha kutaja hauta pata Historia ya kiwanda Kutengeneza na wengine hukimbilia kusema vilishushwa 🙂 .

Narudia tena ile siyo Biashara kwahiyo si sahihi kusema Soko,,,ila ninafahamu mmoja tu mwenye kukusanya hivi kwa hapa tanzania .Hao wengine utapeli ni mwingi.Shukrani mkuu vipi kuhusu sehemu za kuuzia hizo items masoko
Nikwasababu pia hauna elimu kuhusiana na ulichokuwa unafuatilia ndiyo maana ukakutana na wanamna hiyo.Watu wanaota ndoto za mchana.
Niliwahi kufatilia hizo inshu masharti niliokutananayo nikaona kumbe huo ni utapeli.
Ntakutafuta nikipata kuchukua hivi vifaa utapeli mwingi sana katika kupata mtu anaevihitaji hasa kutoa sadaka.Narudia tena ile siyo Biashara kwahiyo si sahihi kusema Soko,,,ila ninafahamu mmoja tu mwenye kukusanya hivi kwa hapa tanzania .Hao wengine utapeli ni mwingi.
Asante hiki ni kitu gani?na huu ni mfano wa vile ambavyo ni mali ya Wilhelm lakini walifanya wanaadamu
View attachment 1635025View attachment 1635025
Asante kwa maelezo mazuri,na inashangaza kusikia kwamba vitu hivi vilitengenezwa na mapepo,sasa kama vitu hivi vinamilikiwa na malaika muasi na mapepo ndio yametengeneza,kwa mtu wa kawaida akipata au kumiliki Je Hamkosei Mungu?sawa vyema ...sasa kama Mungu ni Roho kamili katika nafsi tatu,na Malaika muasi ni roho yenye nafsi pia iliyoumbwa na Mungu na nafsi ile ilipotaka kumpindua Mungu mbinguni na Mungu kutopendezwa na hilo aliifukuza Kule mbinguni nayo pia ilipata wafuasi lakini kwa kuwa kiini chake cha uasi ilikuwa ni tamaa ya kutawala na kusujudiwa Mungu aliiambia kuwa Fahari zote za Duniani nimekupa nayo ilifurahi sasa kumbuka tayari mwanadamu alishaumbwa na pili ile nafsi iliyoasi ilijua kuwa Mwanadamu atakuja kutaka tu vile vitu kwakuwa tangu mali zinaumbwa mwanadamu aliambiwa na Mungu kuwa kuwa atavitawala sasa huyu malaika Muasi (CAESAR)aliamua Kuvikumbatia na akataka kusujudiwa pia ili aweze kumpatia afanyaye hilo na kwakuwa nafsi ile ilikuwa mbinguni na kujua kila jambo juu ya Mbinguni basi nayo ilianza kucopy mambo ya Utakatifu kama vile alivyo Mungu nikiwa naendeea kumbuka utafutapo mali hizi lazima uwe katika hali ya utakatifu(Usafi wa mwili nafsi na Roho),lakini bado ilitaka kuabudiwa na ile roho ilienda Miaka naMiaka Lakini kipindi cha Utawala wa WIlhelm aliisujudia na kuomba Vyombo vya Namna ile na hasa wakati wa kuelekea vita ya kwanza ya Dunia na Mapepo ndiyo yalitengeneza kama karabai,Fufumark,red rupee,Rupee ya Kitumbua ,Pasi,Jiko nk lakini vidogo vichache ndiyo alifanya Mwanadamu lakini hivyo nilivyokwisha kutaja hauta pata Historia ya kiwanda Kutengeneza na wengine hukimbilia kusema vilishushwa 🙂 .
Kwa uwelewa mdogo hii dunia amepewa mamlaka kamili malaika muasi lakini mamlaka kuu ni ya Muumba kila kitu,huwezi kuwa kwenye mamlaka ya mtu,kiumbe halafu usitumie au kumiliki sehemu ya milki yake kwa maandiko hapo juu yaliyotolewa mfano sioni kama ni kosa ukibahatika kumiliki kosa linaweza kuja unapomiliki kwa nia ovu baada ya kupata ile sadaka...Inawezekana tusubiri mjuzi zaidi atakuja kufafanua.Asante kwa maelezo mazuri,na inashangaza kusikia kwamba vitu hivi vilitengenezwa na mapepo,sasa kama vitu hivi vinamilikiwa na malaika muasi na mapepo ndio yametengeneza,kwa mtu wa kawaida akipata au kumiliki Je Hamkosei Mungu?