Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Mkuu Barjun,ulisema sio kila mtu hufanikiwa ktk mambo haya,je ni tabia/ mambo yapi humpotezea MTU sifa ya kufanikiwa kupitia malikale?

Ikitokea watu kadhaa wameungana kuendesha kazi hizi,wakafika mwisho,na bahati mbaya kati yao wapo wasiostahili,na waligharimia nini hutokea,kundi zima litafeli au wachache watafaulu,jasho la wale wasiostahili linalipwaje?

Kuna mbinu/njia gani hutumika kuwabaini wasiostahili? Nani huwabaini?

Ulisema Kaizar aliomba Mali hizi,je watafutaji nao huwa na ibada/sadaka za kuomba ili wafanye kazi? Simaanishi kubatua.
 
Kubatua maana yake nini?
 
Nje ya mada ni kweli pesa zinazopatikana kwa mtumiaji zina masharti??
Ndio mara nyingi kama mpo kundi isitokee mkadhulumiana au kumdhulumu yeyote kati yenu,kama mtagawana elfu kumi kumi basi wote mnatakiwa kupata hivyo,kusaidia jamii hasa wasio jiweza wenye uhitaji kujenga nyumba za ibada nk haya baadhi yake niliyowahi kuyaskia kwa baadhi ya wamiliki wa hizo mali kale au kutosaidia wale ambao hawakukusaidia wakati unahitaji sana msaada na uwezo wa kukusaidia wanao
 
Pasi halisi ya Mjerumani ilivyo ipo na urefu na upana kama wa Tecno Y-3 na ni nzito kama Kg5 na imefunika pote isipokuwa upande Mmmoja wa ubavuni inakuwa na Kimlango kidogo na ukikifungua utaona picha kama Passport size askari mwenye kofia na mshikio wa pasi ile upo kama uki thumb up[emoji106] na upande wa juu inakuwa na mti wa mtende wenye Majani 5 kulia pembeni na kushoto kunakuwa na simba na sehemu ya Nyuma inakuwa na kitu kama Mzinga wa kulipulia na Lazima utaona maandishi kama LBs na serial # pamoja na German.inaweza kuwa ni shana nyekundu au Njano ya Godoro

Story ya pasi na kijiko cha mjerumani nilisikia yangu nikiwa mdogo sana....lkn mwaka 2007/2008 kuna jirani yetu alikuja toka peramio kns la katoriki na story aliyotupa ndo niliamini wazungu kweli walificha Mali nyingi Africa.

Wazungu walienda xmass moja wakatoa msaada wa nguo kwa waumini lakini asubuh hawakuonekana na ktk bustani ambako kuna bikira maria palichimbwa urefu km wa mita kadhaa kwenda chini na alama za pembe nne za masanduki zikionekana...aliyeniambia ni eye witness siyo story... Yeye ktk zawadi za hiyo xmass alipata yeboyebo....hahaaa

Pia kwa aliyepita seminary hiyo ya peramiho atajua kuwa chini kuna mahandaki ya makazi ya watu au kiwanda...hii siyo chai ni maelezo ya kweli kbsaa...hayo maandaki yalijengwa na wazungu
 
Nyingi zinakuwa maeneo ya Madhababu au kanisa la pembeni na Linalotumiwa kwa Kipindi cha sasa na kama unaelimu nzuri ya Mambo haya ukiingia na Kuangalia hata Msalaba ulivyokaa unakuwa na uwezo wa Kuchora Zigzag ambayo itakufikisha kwenye Point ya Kuanzia kwenye Mzigo ulipo
 
Nje ya mada ni kweli pesa zinazopatikana kwa mtumiaji zina mash
1.Huwa inashauriwa tu Kuwa ni vema Kama umepata Kupewa Hela ile ni vema ukafanya ya Kumpendeza Mungu na kujenga Ufalme wake pia na Pia kwa kuwa si kila Mtu anapata zile mali kwa urahisi basi unatakiwa kuwa na Displin kwenye Matumizi na Unapewa elimu juu ya Uwekezaji mkubwa ili usijerudi tena chini kwa ujinga maana pia unaweza pata ile mali mara 1 na ukahangaika miaka yote usipate tena.
2kuna kuwa na Mashart pia kama mlifanya kwa Kubatua kunakuwa na Mambo ya Kuyafanya kila wakati kama Ibada kwa kuwa hata pesa yenyewe inakuwa chini ya Mapepo.

Ukikutana na Mtu akakwambia hiki chombo Kitakuongoza wewe kifuate kinatakaje basi jua tu mwishilio ni kufikia kwenye Kubatua... lakini ukimpata ambaye amefungua Moyo na Kukukabidhi akatamka neno Moja kuwa nawatakia kila lenye Kheri na mafanikio Katika Riziki hii Basi Mtamaliza vyema bila kubatua na kuwa na hela ya Masharti ya kipepo

3.siyo kweli kwamba Kila anaeshiriki ni Lazima apewe sawa bali ni Makubaliano tu ,Mwenye Kusema hivyo ni kwenye swala la Kubatua
 
Mkuu Barjun,ulisema sio kila mtu hufanikiwa ktk mambo haya,je ni tabia/ mambo yapi humpotezea MTU sifa ya kufanikiwa kupitia malikale?

Ikitokea watu kadhaa wameungana kuendesha kazi hizi,wakafika mwisho,na bahati mbaya kati yao wapo wasiostahili,na waligharimia nini hutokea,kundi zima litafeli au wachache watafaulu,jasho la wale wasiostahili linalipwaje?

Kuna mbinu/njia gani hutumika kuwabaini wasiostahili? Nani huwabaini?

Ulisema Kaizar aliomba Mali hizi,je watafutaji nao huwa na ibada/sadaka za kuomba ili wafanye kazi? Simaanishi kubatua.

Mkuu Barjun,ulisema sio kila mtu hufanikiwa ktk mambo haya,je ni tabia/ mambo yapi humpotezea MTU sifa ya kufanikiwa kupitia malikale?

JIBU:Kupoteza sifa za kwenye deal hizi ni kutokuwa safi kimwili,Nafsi na roho(Nimebeba kwa ujumla)

Na hasa bila kusahau Choyo ndiyo Hukwamisha watu Hata kuibiwa Mizigo yao.

Ikitokea watu kadhaa wameungana kuendesha kazi hizi,wakafika mwisho,na bahati mbaya kati yao wapo wasiostahili,na waligharimia nini hutokea,kundi zima litafeli au wachache watafaulu,jasho la wale wasiostahili linalipwaje?

JIBU:Lazima Kundi zima Lifeli kwa mfano watu wa field hizi wakikaa mbele kwamwe hutoboi kwenye mali kale 1.Daktari 2.Askari(hapa kuna mwiko kuwa hata kama uliwahi kumwaga Damu maishani huwezi fit kwenye Deal,kazi za kiaskari unaelewa kazi za Daktari hakukusudia lakini wakati anafanya Operation Mgonjwa alimfia ,,,,,tayari ni tatizo,pia Mganga wa Kienyeji akikaa Mbele Hutoboi kwa kuwa Lazima atakwambia kuchinja na Mtamwaga damu na kuwa shida kwenu,kumbuka Mtashauriwa kuchanjwa chale-ukiwa na chale na ukaenda site ndani ya miezi 6 lazima zifumuke na zikifumuka Utamwagika Damu na Kumbuka Ndani ya Site haitakiwa damu Mkuu sasa Shughuli utakayopata ni % chache kubaki Hai.kama mtua lishauri kutoa Mimba au alishiriki kwa namna moja ama nyingine tayari walimwaga damu.wawindaji ni ishu japo wao pia huwa na uwezo wa kuona lakini si kuwa mstari wa mbele kwenye kazi.pia marachache wanawake kuweza haya mambo kwa sababu ya Uumbwaji wao na swala zima la Period unaweza kwenda nae site ghafla kwa mshtuko akaanza kubreed ,,inakuwa hatari anaweza beba chombo kwa ajili ya safari kwenda kupata sadaka lakini akaingia hedhi na yeye ndiye alikabidhaiwa kifike ofisini unadhani itkuwaje Hapo?
NB;akiongoza Mtu sahihi wale wengine wanashiriki wakati wa malipo ya Item lakini siyo kufuatilia Jambo kama Item au Site niwatu wa kupewa feedback na kusaport mahitaji tu.

Kuna mbinu/njia gani hutumika kuwabaini wasiostahili? Nani huwabaini?

JIBU:Hapo tabia hazijifichi kila Mnapokuwa pamoja Lazima mtajua tabia zenu mlevi hata jificha Mzinzi hatajificha na Mchawi Atakuwa wazi tu Hata kwa mashauri yake na wakubaini hayo ni ninyi mlio kundi wenyewe kwa wenyewe,inawezekana huyo atakayekuwa anaongoza kila akielekea kwenye kitu Lazima mambo yavurugike.

Ulisema Kaizar aliomba Mali hizi,je watafutaji nao huwa na ibada/sadaka za kuomba ili wafanye kazi? Simaanishi kubatua

Hapa kwenye Mtaftaji Kufanya Kazi?Kazi Gani ?
kwa anaetoa saiti huwa anaenda Kama rafiki Finall Lazima amgeuke Mlinzi wa Site na Ndiyo Maana kuna kuwa na Vita Na Watoasji sahihi huwa hawaruhusu Kundi Lenu Kuwa pale kwa sababu Kwenu Kuhimili Vurumai za Pale inataka Ujasiri Elimu,Dawa husika na Kucheza na Muda zaidi.

Kwa kiasi nimekujibu Ajuaaye
 
Kubatua maana yake nini?

KUBATUA kuna kuwa na swala la Mtu kupata Kifaa cha kijerumani ambacho ni Spirit na anamua kufanya Maombi ya Kutaka Kimpe sadaka Lazima yatakayokuja pale na wakahojiana ni Majini na Mapepo na kwa kuwa yale Madudu yanakitaka kile kitu Lazima yatasema Letu Tranker safi na vitu Vidogo vidogo Kama kitambaa cheupe-ishara ya amani na Usafi, pia Marashi navitu vya utamaduni wa aliyekitoa na Kitakachofuata baada ya Muda kile chombo ndani ya tranker kitapotea na Kitakachokuwa mule ndani ni Vibaunda vya Doller 10,000/=

Kumbuka pesa hii inakuwa imeibiwa Benk kubwa na Majini na Mapepo na Kumbuka kwa kuwa wamefanya kazi yenu sasa na yenyewe yatataka kufanyiwa watkacho na hapo ndiyo masharti ya Maisha huanzia (kwa Kifupi tu)na mkikwama basi hata wahusika yanaanza kuwachukua mmoja baada ya Mwingine.

-Sasa pale ndiyo watu wameona pesa lakini huwezi chukua Mpaka mkomboe ile hela kwa kwenda na kiasi cha pesa kwa kuweka kwenye Angleza Ndani ya Tranker kunaamka mashart mapya siku hata siku na inaweza tajwa pesa nyingi kuwa kila kichwa kitoelabda 20m hapo Lazima kuuza nakuwa masikini na kwakuwa masharti yao huwa hayaishi mchezo huwa unaishia pale chombo hakipo na Pesa huwezi chukua Mpaka Mpate kiasi sahihi na mkipata Mmoja atagoma tu kwenda pamoja mkakbidhi na Mambo Mvurugano hapo.

Ushauri

Hakikisha unamuuliza Mhusika aliyekwambia anamchukuaji kuwa analipaje sada ya Chombo

BEWARE
 
Wacha kudanganya watu, hakuna mdini yoyote kwenye hizo heller zaidi ya shaba. Hizo zinauzwa kwa "collectors" wa sarafu almaaruf "numismatics".

Thamani zake hizi hapa: German East Africa Heller KM 7 Prices & Values | NGC

Kuna utapeli wa siku nyingi toka miaka ya 70 kuhusu pesa za kizamani. Huu utapeli unakwenda na kurudi. Naona sasa mmeamua kuileta kwenye mtandao.

Yeyote atakae kufanya shughuli za sarafu za zamani azame eBay tu.
Uko vizuri kiongozi sema kweli.
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni

Wao walikuja kutafuta mali. Sasa kwani wafiche mali.
 
Umejibu saana Mkuu,nashukuru
Mkuu Barjun,ulisema sio kila mtu hufanikiwa ktk mambo haya,je ni tabia/ mambo yapi humpotezea MTU sifa ya kufanikiwa kupitia malikale?

JIBU:Kupoteza sifa za kwenye deal hizi ni kutokuwa safi kimwili,Nafsi na roho(Nimebeba kwa ujumla)

Na hasa bila kusahau Choyo ndiyo Hukwamisha watu Hata kuibiwa Mizigo yao.

Ikitokea watu kadhaa wameungana kuendesha kazi hizi,wakafika mwisho,na bahati mbaya kati yao wapo wasiostahili,na waligharimia nini hutokea,kundi zima litafeli au wachache watafaulu,jasho la wale wasiostahili linalipwaje?

JIBU:Lazima Kundi zima Lifeli kwa mfano watu wa field hizi wakikaa mbele kwamwe hutoboi kwenye mali kale 1.Daktari 2.Askari(hapa kuna mwiko kuwa hata kama uliwahi kumwaga Damu maishani huwezi fit kwenye Deal,kazi za kiaskari unaelewa kazi za Daktari hakukusudia lakini wakati anafanya Operation Mgonjwa alimfia ,,,,,tayari ni tatizo,pia Mganga wa Kienyeji akikaa Mbele Hutoboi kwa kuwa Lazima atakwambia kuchinja na Mtamwaga damu na kuwa shida kwenu,kumbuka Mtashauriwa kuchanjwa chale-ukiwa na chale na ukaenda site ndani ya miezi 6 lazima zifumuke na zikifumuka Utamwagika Damu na Kumbuka Ndani ya Site haitakiwa damu Mkuu sasa Shughuli utakayopata ni % chache kubaki Hai.kama mtua lishauri kutoa Mimba au alishiriki kwa namna moja ama nyingine tayari walimwaga damu.wawindaji ni ishu japo wao pia huwa na uwezo wa kuona lakini si kuwa mstari wa mbele kwenye kazi.pia marachache wanawake kuweza haya mambo kwa sababu ya Uumbwaji wao na swala zima la Period unaweza kwenda nae site ghafla kwa mshtuko akaanza kubreed ,,inakuwa hatari anaweza beba chombo kwa ajili ya safari kwenda kupata sadaka lakini akaingia hedhi na yeye ndiye alikabidhaiwa kifike ofisini unadhani itkuwaje Hapo?
NB;akiongoza Mtu sahihi wale wengine wanashiriki wakati wa malipo ya Item lakini siyo kufuatilia Jambo kama Item au Site niwatu wa kupewa feedback na kusaport mahitaji tu.

Kuna mbinu/njia gani hutumika kuwabaini wasiostahili? Nani huwabaini?

JIBU:Hapo tabia hazijifichi kila Mnapokuwa pamoja Lazima mtajua tabia zenu mlevi hata jificha Mzinzi hatajificha na Mchawi Atakuwa wazi tu Hata kwa mashauri yake na wakubaini hayo ni ninyi mlio kundi wenyewe kwa wenyewe,inawezekana huyo atakayekuwa anaongoza kila akielekea kwenye kitu Lazima mambo yavurugike.

Ulisema Kaizar aliomba Mali hizi,je watafutaji nao huwa na ibada/sadaka za kuomba ili wafanye kazi? Simaanishi kubatua

Hapa kwenye Mtaftaji Kufanya Kazi?Kazi Gani ?
kwa anaetoa saiti huwa anaenda Kama rafiki Finall Lazima amgeuke Mlinzi wa Site na Ndiyo Maana kuna kuwa na Vita Na Watoasji sahihi huwa hawaruhusu Kundi Lenu Kuwa pale kwa sababu Kwenu Kuhimili Vurumai za Pale inataka Ujasiri Elimu,Dawa husika na Kucheza na Muda zaidi.

Kwa kiasi nimekujibu Ajuaaye
Umejibu sana,asante
 
Wao walikuja kutafuta mali. Sasa kwani wafiche mali.
wakati Muingereza anaingia kwa ajili ya Vita na Mjerumani walipoona hawawezi kuondoka na vyao vyote kwa mara moja ndiyo waliamua ficha na kuweka ulinzi mgumu.na wanaorudi sasa ni watoto na wajukuu wa wale walioweka mizigo yao.
 
KUBATUA kuna kuwa na swala la Mtu kupata Kifaa cha kijerumani ambacho ni Spirit na anamua kufanya Maombi ya Kutaka Kimpe sadaka Lazima yatakayokuja pale na wakahojiana ni Majini na Mapepo na kwa kuwa yale Madudu yanakitaka kile kitu Lazima yatasema Letu Tranker safi na vitu Vidogo vidogo Kama kitambaa cheupe-ishara ya amani na Usafi, pia Marashi navitu vya utamaduni wa aliyekitoa na Kitakachofuata baada ya Muda kile chombo ndani ya tranker kitapotea na Kitakachokuwa mule ndani ni Vibaunda vya Doller 10,000/=

Kumbuka pesa hii inakuwa imeibiwa Benk kubwa na Majini na Mapepo na Kumbuka kwa kuwa wamefanya kazi yenu sasa na yenyewe yatataka kufanyiwa watkacho na hapo ndiyo masharti ya Maisha huanzia (kwa Kifupi tu)na mkikwama basi hata wahusika yanaanza kuwachukua mmoja baada ya Mwingine.

-Sasa pale ndiyo watu wameona pesa lakini huwezi chukua Mpaka mkomboe ile hela kwa kwenda na kiasi cha pesa kwa kuweka kwenye Angleza Ndani ya Tranker kunaamka mashart mapya siku hata siku na inaweza tajwa pesa nyingi kuwa kila kichwa kitoelabda 20m hapo Lazima kuuza nakuwa masikini na kwakuwa masharti yao huwa hayaishi mchezo huwa unaishia pale chombo hakipo na Pesa huwezi chukua Mpaka Mpate kiasi sahihi na mkipata Mmoja atagoma tu kwenda pamoja mkakbidhi na Mambo Mvurugano hapo.

Ushauri

Hakikisha unamuuliza Mhusika aliyekwambia anamchukuaji kuwa analipaje sada ya Chombo

BEWARE
Asante kwa kunielimisha,ndio maana watu wengi wanafeli kwa kukosa elimu sahihi
 
Back
Top Bottom