Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Kama ni uhakika njoo PM.Wapo wataalamu wakusoma codes na Siri za kutolea hizo hazina.hizo hazitolewi na waganga utatapeliwa Hakuna Cha uganga wa uchawi juu ya Mali hizi.
Technology imeendelea Sana vipo vifaa vya kisasa toka ujerumani vya kuditect mali kale zilizofichwa chini Ili kuziibua.
Mkuu, kwakua babu amefariki miaka miwli ilopita, ngoja nitawasiliana na bibi hopefully maybe ana ideas. Mzee alisema hapo shambani kuna drum limefukiwa. Sasa sijui kama ni kweli ama lah. Ila akasema kuna majini. Ilinifikirisha kiaje mali iwepo kwenye shamba lako lakini usiliopoe chini huko
 
Hakuna shida zipo detector za kupimia mzigo au chochote kilichofichwa chini.
Jini ni kiumbe anaetiishwa na mwanadamu amepewa uwezo na nguvu ya kuvitiisha viumbe vyote duniani iwe jini,chui,nyoka.nk
 
Dah ! Vijana wamechimba pembeni eneo la karo la kunawa mikono yao, wameambulia senti za malkia na nimeziona kwa macho. Hili eneo liko chini yangu lakini kwa miaka mingi watu wamefanya jitihada kulibomoa zege ni shida mpaka sasa hawajaweza kubomoa lote.
lipo chini yako kwa vipi Mkuu?
 
Pana mtoto mmoja wa kiongozi chunga Sana huyo ukimuonyesha tu site mmepigwa mtaambulia manyoya utadhani ye ndo mwenye shida na pesa pekee yake duniani, Morogoro huko kawaliza wengi.
Binafsi huwa sipendi Sana dhuluma why udhulumu watu waliokuonyesha site,hazina za ardhini Mungu katupa watz Ili tunufaike nazo zijenge tz na sio kujenga ulaya
 
bado nasema si lazima kuaminisha wengine kuwa hivi vitu vipo ila waliokutana navyo wanaelewa...na ulichotakiwa kuuliza ni kwanini havionekani kwenye hizo simu / Camera angalau ungesaidiwa jibu
Huwezi mlazimisha mtu kunywa pombe Hali si mlevi.
Walevi ujuana
 
Mtaalamu alisema kuna vito vya kutosha sana, tulipofiikia kuna vigaae vikubwa vimefunika na pembeni yake kuna ukuta wa mawe umejengwa,sasa kuna ngema juu imeninginia na kuna kiwe, inafaa lilipuliwe na litolewe.

Tulikutana na mauza uza kibao lakini tyliyashinda,kubwa ilikuwa nyoka wa kutisha wa kutosha, tuliambiwa hapana kumuuwa hata mmoja,mbinde ilikuwa kuwatoa humo shimoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chai
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni

Kuzipata sasa mpaka uwe na Majini wa kijerumani.

Kuna jini moja mjerumani anaitwa John ndiyo wanamtumia kupata hizo dili bila huyu huwezi toa chochote chini ya Ardhi kilichochimbiwa na Mjerumani na mpaka utoe utakuwa ushatoa kafara za kutosha
 
😂😂😂😂😂😂 dah John!
 
😂😂😂😂😂😂 dah John!

😁😁😁 Mkuu ni kweli huyo jini aliyetumika kwenye matambiko ya kijerumani anaitwa John ni Mjerumani alafu mkristo.

Kwa hiyo hizo deal za rupia,mercury na dhahabu alizoficha mjerumani chini ya Ardhi huwezi zichukua bila kuwasaliana na huyo jomba anaeitwa John, na kuna namna ya kuwasiliana nae then ndiyo anaaanza kupa maelezo ya namna ya kufanya (ani anakuwa kama Kiongozi wako).

Nimemjua jina kupitia stori ya jamaa mmoja you tube alikuwa anatoa ushuhuda kuhusu hizo mambo ingawa hawakuzipata ila walikuwa wamekaribia kuzichukua badae ikaja kutokea tu ghafla jamaa kajikuta ameokoka akaachana na hayo mambo ila masaibu waliyopitia ni balaa...mkienda kichwa kichwa ama sijui mganga akawapigie ramli mnaweza poteza mali nyingi sana na msifanakiwe deal lenyewe.

Ila kwa kifupi ni kwamba anasema Wajerumani walitumia Teknolojia zao + matambiko yao kuzificha hizo mali..ndo.maana nakwambia mpaka umpate jini wa kijerumani ndiyo upige hizo deal laa sivyo utaishia kufilisika tu
 
😁😁😁 Mkuu ni kweli huyo jini aliyetumika kwenye matambiko ya kijerumani anaitwa John ni Mjerumani alafu mkristo.

Kwa hiyo hizo deal za rupia,mercury na dhahabu alizoficha mjerumani chini ya Ardhi huwezi zichukua bila kuwasaliana na huyo jomba anaeitwa John, na kuna namna ya kuwasiliana nae then ndiyo anaaanza kupa maelezo ya namna ya kufanya (ani anakuwa kama Kiongozi wako).

Nimemjua jina kupitia stori ya jamaa mmoja you tube alikuwa anatoa ushuhuda kuhusu hizo mambo ingawa hawakuzipata ila walikuwa wamekaribia kuzichukua badae ikaja kutokea tu ghafla jamaa kajikuta ameokoka akaachana na hayo mambo ila masaibu waliyopitia ni balaa...mkienda kichwa kichwa ama sijui mganga akawapigie ramli mnaweza poteza mali nyingi sana na msifanakiwe deal lenyewe.

Ila kwa kifupi ni kwamba anasema Wajerumani walitumia Teknolojia zao + matambiko yao kuzificha hizo mali..ndo.maana nakwambia mpaka umpate jini wa kijerumani ndiyo upige hizojdeal laa sivyo utaishia kufilisika tu
Hilo swala la Jina la John ni kwamba kama unakuwa na Mtoaji Halisi wa mali zile ni Lazima kutaja na jina la aliyeweka mali hiyo mahali hapo( kwenye site husika maana yule (nafsi) kuna asilimia kubwa akatokea kuhojiana naye ndiyo ufanye yako ikibidi sasa anaweza akliita jina lako na wewe utalitaja jina lake katika Kulazimisha jambo kuwa.na hapo kusema kuwa baada ya kuokoka ndiyo jamaa aliamua kuachana na hiyo kitu ya wajerumani,sidhani kama sababu ni ulokole ila kutokuwa na mwanga wa kile alichokifuatilia tu,pia shetani hakuwahi kuwa na mali bali Mungu ndiye aliyekuwa navyo ila nafsi chafu zimehodhi tu Fahari ya dunia Mkuu.
 
Pana mtoto mmoja wa kiongozi chunga Sana huyo ukimuonyesha tu site mmepigwa mtaambulia manyoya utadhani ye ndo mwenye shida na pesa pekee yake duniani, Morogoro huko kawaliza wengi.
Binafsi huwa sipendi Sana dhuluma why udhulumu watu waliokuonyesha site,hazina za ardhini Mungu katupa watz Ili tunufaike nazo zijenge tz na sio kujenga ulaya
Nitakuchek pm
 
Hii biashara ya sarafu za zamani nk, ni utapeli wa aina fulani, Kwa ufupi hata ukiipata hiyo rupia, hakuna mnunuzi kwa bei hiyo inayosemwa.
 
Wote wanao tegemea kutajirika kwa mali za kijerumani huishia kufa kwa misongo ya mawazo bora wanao beti, utaishia kusikia story furani mara furani ndo mtoaji sijui alizipata, sijui akatajilika ila ukimfata nae anakana anakwambia labda furani, mwisho wa siku umezeeka.
 
Hii biashara ya sarafu za zamani nk, ni utapeli wa aina fulani, Kwa ufupi hata ukiipata hiyo rupia, hakuna mnunuzi kwa bei hiyo inayosemwa.
shida iliyopo kwako ni kuwa haujajua ni aina ipi ya sarafu ya kale inayotakiwa na iwe na sifa zipi,,,ukijua kwanza hayo huwezi kosa pa kupeleka
 
Wote wanao tegemea kutajirika kwa mali za kijerumani huishia kufa kwa misongo ya mawazo bora wanao beti, utaishia kusikia story furani mara furani ndo mtoaji sijui alizipata, sijui akatajilika ila ukimfata nae anakana anakwambia labda furani, mwisho wa siku umezeeka.
shida n aina ya uliokutana nao na pia kuna kuwa na shida kwa wanaosema wanavyo wakati hawana na kupotezea watu muda na hata aliyenacho anakuwa msumbufu pia kusumbua watu,,,lakini vipo na site zipo
 
Pana mtoto mmoja wa kiongozi chunga Sana huyo ukimuonyesha tu site mmepigwa mtaambulia manyoya utadhani ye ndo mwenye shida na pesa pekee yake duniani, Morogoro huko kawaliza wengi.
Binafsi huwa sipendi Sana dhuluma why udhulumu watu waliokuonyesha site,hazina za ardhini Mungu katupa watz Ili tunufaike nazo zijenge tz na sio kujenga ulaya
huyo anatambulika na siyo kila mahali huwa anafanikiwa kuchukua vya watu bila kuwa na fadhila...ipo mahali fufumark ilimchemsha jasho tu lilikuwa linammwagika na aliaga....
 
Kuzipata sasa mpaka uwe na Majini wa kijerumani.

Kuna jini moja mjerumani anaitwa John ndiyo wanamtumia kupata hizo dili bila huyu huwezi toa chochote chini ya Ardhi kilichochimbiwa na Mjerumani na mpaka utoe utakuwa ushatoa kafara za kutosha
Story za gahawa bana!
kwanza,John sio jina la kijerumani
pili,hata wakristo wajerumani hawana hayo majina (fuatilia wajerumani missionary waliokuja bongo majina yao)
Tatu, hakuna jini la kikristo
 
Hilo swala la Jina la John ni kwamba kama unakuwa na Mtoaji Halisi wa mali zile ni Lazima kutaja na jina la aliyeweka mali hiyo mahali hapo( kwenye site husika maana yule (nafsi) kuna asilimia kubwa akatokea kuhojiana naye ndiyo ufanye yako ikibidi sasa anaweza akliita jina lako na wewe utalitaja jina lake katika Kulazimisha jambo kuwa.na hapo kusema kuwa baada ya kuokoka ndiyo jamaa aliamua kuachana na hiyo kitu ya wajerumani,sidhani kama sababu ni ulokole ila kutokuwa na mwanga wa kile alichokifuatilia tu,pia shetani hakuwahi kuwa na mali bali Mungu ndiye aliyekuwa navyo ila nafsi chafu zimehodhi tu Fahari ya dunia Mkuu.

Sababu iliyopelekea jamaa kuokoka siyo hizo deal kuwa ngumu,bali kuna sababu nyingine kabisa ni kama tu alipita bara barani akaona pastor anahubiri akakaa ile sehemu kama dakika tano hivi akajikuta ghafla anatubishwa bila hata yeye kuelewa ilikuwaje.

Ila ninachokuambia ni kwamba yule jamaa ilifika mda wakakutana hadi wazungu kutoka ujerumani ambao huwa wanazitafta hizo mali zilizoachwa na mababu zao (maana ramani waliziacha kwa vizazi vyao), yule jamaa amekuja hadi dar (maana ni wa shinyanga) wale wazungu wakamlipia kila kitu hotelini na wakampa hela ya kula million kadhaa then wakamuuliza ni hatua gani wamefikia kipindi wanachimba, jamaaa akawaeleza kila kitu wale wazungu wakamuuliza imekuwaje mfikia hiyo hatua mbona mbali sana bila kutoa kafara, ndiyo wale wazungu wakaanza kumwambia basi nyie mtakuwa na Jini mjerumani, badae mbele sasa ndo amekuja kumtaja kama John ambae alikuwa mjerumani. Sasa ni kwamba kilichokuja kutokea jamaa ndo hivo from no where akaokoka na kabla hajamaliza game na wale wazungu wajerumani na ndo walikuwa wanamsubiei awapeleke hilo eneo ili wakauage umaskini.

NB: kipindi ameitwa dar hotelini na wale wazungu wajerumani anasema pia walikutana na wafanya biashara wakubwa tu hapa tanzania ambao kwa mujibu wake anasema kwenye top ten ya matajiri bongo hawakosekani ila akasema hatowataja majina kwa sababu za kiusalama na akasema hao matajiri wametajirikia mishe hizo hizo za kuchimbua mali za wajeruman then ndo wakaenda kuwekeza kwenye makampuni mengine huko, hiyo stori iko you tube na imetoka tu hivi karbuni kwenye channel inaitwa SYLLUS TV na iko vipande vipande part 1-10
 
Back
Top Bottom