Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Hilo swala la Jina la John ni kwamba kama unakuwa na Mtoaji Halisi wa mali zile ni Lazima kutaja na jina la aliyeweka mali hiyo mahali hapo( kwenye site husika maana yule (nafsi) kuna asilimia kubwa akatokea kuhojiana naye ndiyo ufanye yako ikibidi sasa anaweza akliita jina lako na wewe utalitaja jina lake katika Kulazimisha jambo kuwa.na hapo kusema kuwa baada ya kuokoka ndiyo jamaa aliamua kuachana na hiyo kitu ya wajerumani,sidhani kama sababu ni ulokole ila kutokuwa na mwanga wa kile alichokifuatilia tu,pia shetani hakuwahi kuwa na mali bali Mungu ndiye aliyekuwa navyo ila nafsi chafu zimehodhi tu Fahari ya dunia Mkuu.

Sababu iliyopelekea jamaa kuokoka siyo hizo deal kuwa ngumu,bali kuna sababu nyingine kabisa ni kama tu alipita bara barani akaona pastor anahubiri akakaa ile sehemu kama dakika tano hivi akajikuta ghafla anatubishwa bila hata yeye kuelewa ilikuwaje.

Ila ninachokuambia ni kwamba yule jamaa ilifika mda wakakutana hadi wazungu kutoka ujerumani ambao huwa wanazitafta hizo mali zilizoachwa na mababu zao (maana ramani waliziacha kwa vizazi vyao), yule jamaa amekuja hadi dar (maana ni wa shinyanga) wale wazungu wakamlipia kila kitu hotelini na wakampa hela ya kula million kadhaa then wakamuuliza ni hatua gani wamefikia kipindi wanachimba, jamaaa akawaeleza kila kitu wale wazungu wakamuuliza imekuwaje mfikia hiyo hatua mbona mbali sana bila kutoa kafara, ndiyo wale wazungu wakaanza kumwambia basi nyie mtakuwa na Jini mjerumani, badae mbele sasa ndo amekuja kumtaja kama John ambae alikuwa mjerumani. Sasa ni kwamba kilichokuja kutokea jamaa ndo hivo from no where akaokoka na kabla hajamaliza game na wale wazungu wajerumani na ndo walikuwa wanamsubiei awapeleke hilo eneo ili wakauage umaskini.

NB: kipindi ameitwa dar hotelini na wale wazungu wajerumani anasema pia walikutana na wafanya biashara wakubwa tu hapa tanzania ambao kwa mujibu wake anasema kwenye top ten ya matajiri bongo hawakosekani ila akasema hatowataja majina kwa sababu za kiusalama na akasema hao matajiri wametajirikia mishe hizo hizo za kuchimbua mali za wajeruman then ndo wakaenda kuwekeza kwenye makampuni mengine huko, hiyo stori iko you tube na imetoka tu hivi karbuni kwenye channel inaitwa SYLLUS TV na iko vipande vipande part 1-10
 
Story za gahawa bana!
kwanza,John sio jina la kijerumani
pili,hata wakristo wajerumani hawana hayo majina (fuatilia wajerumani missionary waliokuja bongo majina yao)
Tatu, hakuna jini la kikristo

Ungekuwa umewahi kumiliki majini ningekuamini.

Aliyesimulia hii stori amewahi kumiliki majini kabla ya kuokoka.

Amekuwa mganga wa kienyeji kwa miaka kadhaa na ametaja majini matatu aliyokuwa anayamiliki kumsadia uganga wake, majini hayo matatu aliyoyataja kama John, Makata na la tatu nimelisahau kidogo.

Na kasema hayo mawili Makata na mwenzake alisema ni ya kiislamu na akitaka kuyaita anachukua Quran alafu anasema maneno anayoyajua yeye yanafika yanamwelekeza namna yakutatua shida anayoitaka yeye, then huyo John kasema alikuwa jini wa kikristo na alikuwa mjerumani na akitaka kumuita anatumia Biblia anaiweka mahali then anakuja kuongea nae na kumpa maelekezo.

Na hayo majini ndo walienda nao kwenye kuzitafta hizo mali za mjerumani wakiongozwa na John wa kijerumani ingawa walikuwa wanakutana na mauza uza mengi sana then huyo john ndo ana wa direct namn a ya kuondokana na hayo mauza uza na kusonga mbele.

NB : Kwa ushuhuda wake zaidi (maana huyo jamaa siku hizi ameokoka na Mtu Mungu ndiye alikuwa anatoa ushuhuda) ingia You tube search Channel inaitwa Syllas TV then andika "Mwanaume aliyetafta utajiri kwa nguvu za Giza" itakutana na stori ya jamaa mmoja stor ake imegawanyika part 1-10 then isikilize full ndo utakutana na hivyo vimbwengo
 
Yaani ndo tatizo la hiki kizazi mnaamini kirahisi mno...Hayo yote aliyosema jamaa ni maneno matupu ambayo hata yeye mwenyewe ushahidi akiombwa hana.
Basi sasa tuamini na wale wachungaji wenye story za kuzimu na mbinguni walishafika.
kama wachungaji wanadanganya sembuse waganga wa kienyeji?
 
Forget about it.

Haikunitokea mm imemtokea msimuliaji
 
Forget about it.

Haikunitokea mm imemtokea msimuliaji
Ndomaana namimi nikakusahihisha wewe na msimuliaji
kwanza,John sio jina la kijerumani
pili,hata wakristo wajerumani hawana hayo majina (fuatilia wajerumani missionary waliokuja bongo majina yao)
Tatu, hakuna jini la kikristo

Kidogo ningemuona ana akili au ametumia muda wake kidogo kutunga hiyo story kama angetafuta kabisa na jina la kijerumani la hilo jini..Kwa mbaaali angenishawishi ila kwa mbaaaali sana.
 
asilimia kubwa ya raamani zenye hayo mavitu mnayo yataka yapo kwenye kambi za jeshi huko ndipo kwenye ile siri ya misitu kubaki kama hifadhi ya jeshi...
 
Ndomaana namimi nikakusahihisha wewe na msimuliaji
kwanza,John sio jina la kijerumani
pili,hata wakristo wajerumani hawana hayo majina (fuatilia wajerumani missionary waliokuja bongo majina yao)
Tatu, hakuna jini la kikristo

Kidogo ningemuona ana akili au ametumia muda wake kidogo kutunga hiyo story kama angetafuta kabisa na jina la kijerumani la hilo jini..Kwa mbaaali angenishawishi ila kwa mbaaaali sana.

Not my Testimony
 
Hizi siyo za udaku ili media zikapige pesa...anyway sikushawishi katika kuamini kwa sababu hata kuangalia ushakanusha
kuna sababu nyingi za kusambaza false information.sio pesa tu
hizi chache.
kwasababu mhusika hajui kama hiyo ni false information(kama wewe)
umaarufu(msimuliaji)
Wafuasi(viongozi,wachungaji,masheikh,wanasiasa)
Views na exposures(Waandishi wa habari,Channels,Blogs etc.)
 
Liko kongwa sehemu gani...maana somewhere In kongwa miaka hiyo nilishatumia mpaka concentrated sulphuric acid kwenye zege la wajerumani lakini sikuweza....na hiyo site am sure hakuna anaeijua
😂 😂Brother kweli uliamua mpaka concentrated sulphuric acid yale mambo ni ya kiroho sana na ndiyo maana ulikwama mkuu.
 
Ni eneo la ardhi husika Barjun
Kongwa stone!
Habari Mkuu?!
hili eneo ni sehemu ya Ardhi unayomiliki au ni kuwa chini yako katika umoja wenu mliogundua hapo?
ni Kigezo kipi /vigezo vipi Mmetumia Kuamini kuwa hiyo ni site Mkuu?...
 
kuna sababu nyingi za kusambaza false information.sio pesa tu
hizi chache.
kwasababu mhusika hajui kama hiyo ni false information(kama wewe)
umaarufu(msimuliaji)
Wafuasi(viongozi,wachungaji,masheikh,wanasiasa)
Views na exposures(Waandishi wa habari,Channels,Blogs etc.)

Sawa
 
😂 😂Brother kweli uliamua mpaka concentrated sulphuric acid yale mambo ni ya kiroho sana na ndiyo maana ulikwama mkuu.
Mkuu nlidhamiria...na nlikua na nyundo nzito balaaa...lakini ile sehemu haikuvunjika....na Sasa ivi wanampango wakujenga madarasa kwa msaada was wazungu...najua wakija wazungu Target yao ni ile Mali...mi ntakomaa nao hapohapo
 
Sababu iliyopelekea jamaa kuokoka siyo hizo deal kuwa ngumu,bali kuna sababu nyingine kabisa ni kama tu alipita bara barani akaona pastor anahubiri akakaa ile sehemu kama dakika tano hivi akajikuta ghafla anatubishwa bila hata yeye kuelewa ilikuwaje.

Ila ninachokuambia ni kwamba yule jamaa ilifika mda wakakutana hadi wazungu kutoka ujerumani ambao huwa wanazitafta hizo mali zilizoachwa na mababu zao (maana ramani waliziacha kwa vizazi vyao), yule jamaa amekuja hadi dar (maana ni wa shinyanga) wale wazungu wakamlipia kila kitu hotelini na wakampa hela ya kula million kadhaa then wakamuuliza ni hatua gani wamefikia kipindi wanachimba, jamaaa akawaeleza kila kitu wale wazungu wakamuuliza imekuwaje mfikia hiyo hatua mbona mbali sana bila kutoa kafara, ndiyo wale wazungu wakaanza kumwambia basi nyie mtakuwa na Jini mjerumani, badae mbele sasa ndo amekuja kumtaja kama John ambae alikuwa mjerumani. Sasa ni kwamba kilichokuja kutokea jamaa ndo hivo from no where akaokoka na kabla hajamaliza game na wale wazungu wajerumani na ndo walikuwa wanamsubiei awapeleke hilo eneo ili wakauage umaskini.

NB: kipindi ameitwa dar hotelini na wale wazungu wajerumani anasema pia walikutana na wafanya biashara wakubwa tu hapa tanzania ambao kwa mujibu wake anasema kwenye top ten ya matajiri bongo hawakosekani ila akasema hatowataja majina kwa sababu za kiusalama na akasema hao matajiri wametajirikia mishe hizo hizo za kuchimbua mali za wajeruman then ndo wakaenda kuwekeza kwenye makampuni mengine huko, hiyo stori iko you tube na imetoka tu hivi karbuni kwenye channel inaitwa SYLLUS TV na iko vipande vipande part 1-10
Nimeisikia story ya huyu jamaa kwenye Radio flan.
 
Kama huyo jamaa ni wa ngara na muhaya basi ndiyo yeye, na sehemu ya hiyo mali ilikuwa shinyanga kama umeiskia hiyo ndiyo yenyewe
Huyo huyo, nakumbuka pale akiwataja Matajiri wakubwa.... Kwamba alishangaa kuwaona kwenye Kibao Hotelini, kabla hata hajakutana na Wazungu.
 
Back
Top Bottom