Wajinga ndio waliwao, aisee Simba ni mbumbumbu

Mkiambiwa mpila hamuujui mnabisha

Kibu msimu ulio pita alitumika zaidi kwenye kuzuia kuliko kushambulia
 
We kweli kiazi kwahiyo kibu kazi yake beki wakina kapombe kazi Yao ilikua nini we kilaza
Ivi unajua kuwa kibu kazidiwa na che Malone tu kwenye kublock mipila na hui nikutokana na umri wake na Kasi yake ndio maana makocha walikuwa wanamtumia Kwa ajili hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…