Wewe ni mweh,u niishie kusema hivyo.
Unadhani Simba wanasajili kwa kufuata mkumbo kama mnavyodanganyana hapo utopoloni?
Simba ni professional club haifanyi mambo ya kukurupuka.
Hizo hela Kibu amezirudisha kwenye akaunti ya Simba lakini bado haiwezi kuvunja mkataba automatically kuna process za kufuata ili pande zote mbili zikibaliane.
Leo meneja wake amezungumza kwa kina akihojiwa Wasafi Fm amesema uongozi wa klabu ya huko Norway imeazimia kufanya mazungumzo na Simba juu ya uhamisho wa Kibu.
Kumbuka wazungu hawafanyi mambo kihuni wanafuata kanuni za kimataifa hivyo Kibu asipokuwa makini atajiharibia kote kote endapo Simba wataamua kumkazia.