Wajinga ndio waliwao, aisee Simba ni mbumbumbu

Ivi unajua kuwa kibu kazidiwa na che Malone tu kwenye kublock mipila na hui nikutokana na umri wake na Kasi yake ndio maana makocha walikuwa wanamtumia Kwa ajili hio
Jibu swali kazi ya kibu ni kukaba au hujielewi
 
Kama mlimsajili biringanya ambae mlidanganyika eti amecheza apl..kwa pesa ndefu na bado mkamlipa hela yake kupitia FIFA...basi nyie nao ni mambumbu washamba kabisa...
 
Kibu alikuwa anacheza kutokana na mpangowa kocha alikuwa anataka acheze vipi
Usitake niamina kuwa kibu alikuwa namba 9 pale Simba sc
 
Sasa ukichukua milioni 400 kwa mtu mwenye Trilioni 4, si kama nauli ya Mbagala tu hiyo? Umekasirika Kibu kupata hela?
 
Kibu alikuwa anacheza kutokana na mpango wa kocha alikuwa anataka acheze vipi
Na sio wewe unavyo taka usikalili
Acha uongo kibu ni garasa mbumbumbu hamnaga akili siwezi shagaa ukiongea utumbo kama huu sababu wewe ni mbumbumbu
 
Wewe ni mweh,u niishie kusema hivyo.

Unadhani Simba wanasajili kwa kufuata mkumbo kama mnavyodanganyana hapo utopoloni?

Simba ni professional club haifanyi mambo ya kukurupuka.

Hizo hela Kibu amezirudisha kwenye akaunti ya Simba lakini bado haiwezi kuvunja mkataba automatically kuna process za kufuata ili pande zote mbili zikibaliane.

Leo meneja wake amezungumza kwa kina akihojiwa Wasafi Fm amesema uongozi wa klabu ya huko Norway imeazimia kufanya mazungumzo na Simba juu ya uhamisho wa Kibu.

Kumbuka wazungu hawafanyi mambo kihuni wanafuata kanuni za kimataifa hivyo Kibu asipokuwa makini atajiharibia kote kote endapo Simba wataamua kumkazia.
 
Yaan Leo kaonge kiupole utadhan sio yule wa juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…