Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kuna bakuli linaendelea kwenye Klabu ya Simba ambapo Wajanja ambao ni Viongozi wa Simba wameona sehemu ya kupiga pesa kwa Mashabiki wao ambapo sasa inachangishwa million 100 na hapo Sasa mpaka muda huu imeshapita hicho kiasi ila kuna watu bado wanaendelea kupigwa eti inajiita Klabu kubwa inakosa hicho kiasi
Hapo kuna watu wanachangia mfano 25,000 kwenye account inabaki shilingi mia mbili. Aisee! Unakuta mtu kama huyu wazazi wake wanakosa hata pesa ya chumvi ila hela anawapa matapeli
Hawa aisee kweli wajinga kila siku wanazaliwa