Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mimi nilitegemea utaonesha huo utapeli wa simba uko wapi ili uthibitishe kuwa kweli mashabiki wa simba ni wajinga ila inaonesha wewe ndiye mpumbavu, kwahiyo yanga ikipitisha bakuli ni timu ya wananchi ila simba ikipitisha bakuli inafanya utapeli kwa mashabiki wake, halafu aliyekuambia mtu akiwa tajiri ndio anatakiwa agawe tu hela hovyo ni nani kwanza unajua mo anagharamika kiasi gani kwa simba au ndio eymael ajengewe sanamu lake