Una account kwenye X au Insta au Fb? Simba waliweka taarifa ila followers wakaweka maoni wenyewe ndio sababu ya simba kuja ni hii hoja. Wala haikuwa dhana yao kuchangisha. Shida inakuja nyie wa upande wa pili kwa kuwa hampo ktk hizo kurasa hata hamjuii sababu ya timu kufikia uamuzi huo.
Wanachama na wapenzi wa Simba ndio wameleta wazo la kuchangia klabu na viongozi wakakubali. Kwani kosa lilifanywa na mashabiki hivyo ni namna yao ya kuonyesha uwajibikaji.
Cha kushangaza unaumia wewe usiehusika kutoa hata shillingi 1.
Huo ndio upumbavu na unafiki kuingilia yasiyokuhusu.
Mind your fucking business wacha ku comment visivyokuhusu.
kwani Simba ndio timu ya Kwanza kupata changamoto Kama hii, timu zingine walisolve vipii, timu yoyote inayojiendesha ki professional haiwezi kufanya upumbavu huu, lakini kwasababu ya uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo unaona ni sawa, Halafu unajiita club kubwa kwa upumbavu Kama huu. Wewe na njaa zako unawachangia wa Janja wachache hela ya kupiga, una audit vipi hizi fedha za Michango hii??