Wajinga ndio waliwao huu ni uthibitisho kwa Simba, Rage huna baya

Wajinga ndio waliwao huu ni uthibitisho kwa Simba, Rage huna baya

Kuna bakuli linaendelea kwenye Klabu ya Simba ambapo Wajanja ambao ni Viongozi wa Simba wameona sehemu ya kupiga pesa kwa Mashabiki wao ambapo sasa inachangishwa million 100 na hapo Sasa mpaka muda huu imeshapita hicho kiasi ila kuna watu bado wanaendelea kupigwa eti inajiita Klabu kubwa inakosa hicho kiasi

Hapo kuna watu wanachangia mfano 25,000 kwenye account inabaki shilingi mia mbili. Aisee! Unakuta mtu kama huyu wazazi wake wanakosa hata pesa ya chumvi ila hela anawapa matapeli

Hawa aisee kweli wajinga kila siku wanazaliwa
Ni hiari na imewekwa wazi kwa mashabiki wao kuchangia. Si mbinu ngeni kutumika.
 
Yanga Sasa hivi imeshavuka kwenye huo ujinga wa kutapeli wajinga wasiojielewa huwezi kuona bakuli yanga zaidi mashabiki wanaenda kunywa supu tu sababu tajiri yupo Sasa simba tajiri yupo ila Kuna wajinga wanachangia eti wanajiita simba damu kumbe wajinga damu🤣🤣🤣🤣🤣
Umeshindwa kujificha.Ohh mimi sio shabiki wa Timu za Tanzania. Uharo mtupu.Unakunya porini huku matako umeyaelekeza barabarani. Eti Gunner Shooter hao Arsenal hata hawakujui unajifanya shabiki maandazi.
 
Wajinga ndio mliwao hahaha wajanja wanavuna noti wewe unakalia kuleta screenshot walizotuma mjini mipango🤣🤣🤣🤣🤣
Utajinyonga wewe kijana, si bure! 🤣🤣🤣
Una mapovu sana 🤣🤣🤣
 
Umeshindwa kujificha.Ohh mimi sio shabiki wa Timu za Tanzania. Uharo mtupu.Unakunya porini huku matako umeyaelekeza barabarani. Eti Gunner Shooter hao Arsenal hata hawakujui unajifanya shabiki maandazi.
Ajabu sijawahi kuchangia hata mia Kwa arsenal ila mjinga kama wewe masikini choka mbaya unapigwa na wajanja kutoka msimbazi na hawakujui 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utajinyonga wewe kijana, si bure! 🤣🤣🤣
Una mapovu sana 🤣🤣🤣
Endelea kuleta screenshot za wajanja wakipiga pesa huku wewe ukipiga miayo mjini mipango na akili tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Endelea kuleta screenshot za wajanja wakipiga pesa huku wewe ukipiga miayo mjini mipango na akili tu🤣🤣🤣🤣🤣
Kijana mimi napiga za semina za serikali. Wewe lipa kodi sisi tuzipige 🤣🤣🤣
 
Kijana mimi napiga za semina za serikali. Wewe lipa kodi sisi tuzipige 🤣🤣🤣
Baada ya kugundua wajanja wa hizi timu wapo kazini mjinga umestukaunaanza kuzuga ushapigwa mzee hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtoto wa kiume kuonea huruma pesa za wanaume wenzako Kuna mashaka [emoji848]

Simba nguvu moja[emoji120]
 
Back
Top Bottom