Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Ndio tunawasanua wajinga ila wakiendelea kuchangia basi acha wapigwe sababu wajinga wanazaliwa Kila sikuUzuri ni hiari kuchangia.
Wajinga hao Mimi siwajui ila nawajua wajinga Hawa walioanza kuchangia matapeli janaKama unapigania wajinga anza na DECI mkuu.
Kabisa sababu Kuna mbumbumbu wengi sana wanafanywa mitajiMbowe agombee uwenyekiti Simba
Kujaribu kupambana na mashabiki wa Simba wasiitike Simba inapowahitaji itakutesa tu mkuu. Bora ukanywe zako supu.Wajinga hao Mimi siwajui ila nawajua wajinga Hawa walioanza kuchangia matapeli jana
Sio rahisi namna unavyowaza hebu wewe jaribu kuomba hata 1000 hapa jf uone kama utatumiwa, maana yake ukiona mwanaume anatuma pesa kwa mwanaume mwenzake Kuna kitu Tena si kidogo, acha kuwaza kinyume, utafika mbaliKuna bakuli linaendelea kwenye klabu ya simba ambapo wajanja ambao ni viongozi wa simba wameona sehemu ya kupiga pesa Kwa mashabiki wao ambao ni mbumbumbu ni Sasa inachangishwa million 100 ambapp hapo Kuna wajinga wanachangia mfano 25000 kwenye account inabaki shilingi 100 aisee unakuta mtu kama huyu wazazi wake wanakosa hata pesa ya chumvi ila hela anawapa matapeli Hawa aisee kweli wajinga Kila siku wanazaliwa
Ndio sababu ni mbumbumbu lazima wapigwe na maneno haya ndio viongozi huyapenda sana sababu ulitaka kupiga mbumbumbu wewe wahamasishe tu🤣🤣🤣🤣🤣Kujaribu kupambana na mashabiki wa Simba wasiitike Simba inapowahitaji itakutesa tu mkuu. Bora ukanywe zako supu.
Wenye mapenzi ni muhimu kuchangiaUzuri ni hiari kuchangia.
Mbumbumbu wajinga ndio waliwao tuma pesa hiyo na baadae utume tena hahahaha 🤣🤣🤣🤣Sio rahisi namna unavyowaza hebu wewe jaribu kuomba hata 1000 hapa jf uone kama utatumiwa, maana yake ukiona mwanaume anatuma pesa kwa mwanaume mwenzake Kuna kitu Tena si kidogo, acha kuwaza kinyume, utafika mbali
Sijui shida nini bilionea kashindwa kutoa milion 100Ina maana MO kashindw kutoa iyo pesa au sio?
Wajinga ndio waliwaoWenye mapenzi ni muhimu kuchangia
Kabisa sababu Kuna mbumbumbu wengi sana wanafanywa mitaji
Umewashawishi mbumbumbu wangapi wakakutumia na wewe mkuu??Mbumbumbu wajinga ndio waliwao tuma pesa hiyo na baadae utume tena hahahaha 🤣🤣🤣🤣
Itakuwa naye anafaidika na bakuriSijui shida nini bilionea kashindwa kutoa milion 100
Sina mda huo wa kupiga wajinga sababu sitaki dhambi Mimi wajinga hakuna wanalojua 🤣🤣🤣🤣Umewashawishi mbumbumbu wangapi wakakutumia na wewe mkuu??
Wajinga ndio waliwao hamna mapenzi hapo ni kuzidisha umasikini na kumuongezea mwingine utajiri 🤣🤣🤣🤣Watu na mapenz yao,achana nao we ka nye