Wajinga ndiyo wanaoparurana mitandaoni. Wenzenu wanacheka na kumwagilia mioyo wakikutana

Wajinga ndiyo wanaoparurana mitandaoni. Wenzenu wanacheka na kumwagilia mioyo wakikutana

[emoji38][emoji38][emoji38]

View attachment 2261068
EeeeeenHeeee!

Kila nikiiona picha hii, inanisikitisha sana!

Watu kama hawa, leo hii wapo wengi zaidi kuliko wakati ule.

Hata humu JF, utawasoma tu, jinsi wanavyomzonga mkuu Erythro., katika picha ni kama huyo jamaa wa CHADEMA, na hao wengine wenye magwanda, sasa wapo kama utitiri humu ndani ya JF, wengi wao wakijulikana kama 'Chawa'!!
Wote wanapigania matumbo, na siyo Tanzania.
 
Siasa sio uadui
Utaimba sana wimbo huyo bila ya kuelewa maana yake ni nini!

Wewe hujaona watu wakitoana roho kwa jina la siasa? Kuna uadui zaiidi ya hapo?

Huo msemo hauna maana yoyote katika mazingira yetu katika maeneo haya ya dunia.
 
Mwenyekiti anakaaje na pandikizi la ccm?
Wale mnatukana zito mnajisikiaje mkiona mwenyekiti wenu akiwa pamoja nae?
Mbowe hadi anapiga picha na mwenyekiti wako Samia sembuse kupiga picha na Zitto ??

Umesema jina lako ni nani tena??
 
Katika hyo picha mtoe MBOWE muweke Samia
Hapo ndo ungeona akili za vijana wa chadema zilipokalia.
Ila kwa kuwa zito kapiga picha na mwenyekiti wa nyumbu FRESH TU
Mbowe hadi anapiga picha na mwenyekiti wako Samia sembuse kupiga picha na Zitto ??

Umesema jina lako ni nani tena??
 
Zitto na Mbowe glass zao zinaonyesha wanakunywa vitu vigumu.
 
Siasa si uadui kuna kesho
Haya huyawezi wewe! tena wa hivi wanakuwaga wa sweety kinoma!!! bidaye wanakula meza moja hakuna visasi huko ndo sifa yao kubwa!! ila sometimes ukilegea kisiasa unakufa kisiasa kwa mauaji ya kisiasa km shabiki waa mpira!!

ila majamaa yakikaa sawa yanapiga songi sana.... haya tabiriki haya!! yanaongeaga ivoivo!...ukijifanya serious km jiwe utayatisha Yanakuondoa faster tena bila kutubu kwa Mola wako!
 
Back
Top Bottom