Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Usikute ni mhanga waliokuwa waki mpopoa mawe kama nyoka?Mwenye taarifa kamili atujulishe japo tumjulie Hali kama bado Yuu hai,au kama kweli ametutoka japo tumtakie kheri.Kuna kipind niliona Uzi humu wa tanzia kwamba jamaa kafariki