Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Unapotosha Msikiti wa All aqsa Upo Na Upo Katika Hilo Eneo la All Aqsa. Kinachofanyika Nathanil kwenye Swala Ya Ijumaa Huwa Wanaswali Njee Ya Msikiti Na Hiyo Nikawaida Ata Kwetu kutokana Na Wingi Wa Waumini Huwa Wengi Wanakuwa Wanaswali Nje Ya Msikiti.
 
Hawa Watu Niwabishi Na Wamekaririshwa Ubisbi.
Ebu Waulize Leo Ni Mwaka Gani Wakiislam Alafu Waufananishe Na Hizo Hadidhi Zao Wanazotuletea.
 
Ibrahim myahudi
 
Aqsa ni Eneo sio Jengo, kuna misikiti miwili humo ndani Qibly na Buraq


Ila Aqsa ni Eneo lote hilo lililozungushiwa
 
Msikiti ni eneo la ibada siyo lazima mpk jengo km jengo.
Hata ndan kwako waweza pafanya msikiti.
Ila kuhusu Nabii.Issa kuswali msikitini sina uhakika kwasababu usimamishaji wa swala wa zama za Muhammad na Issa ni tofauti
Na hii ndiyo swala ilifundishwa na ToratI kupitia Ezra,

Na hii hapa ndiyo swala iliyofundishwa na Ezra kama ambavyo Mwenyezi Mungu alitaka ifundishwe,

Nehemia 8:1,4-6

1Kisha watu wote wakakusanyika wakiwa na kusudi moja katika uwanja wa jiji uliokuwa mbele ya Lango la Maji, wakamwambia Ezra mwandishi alete kitabu cha Sheria ya Musa, ambayo Yehova alikuwa ameamuru Waisraeli waifuate.

4 Na Ezra mwandishi alikuwa amesimama juu ya jukwaa la mbao, lililotengenezwa kwa kusudi hilo; na Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia, na Maaseya walisimama upande wake wa kulia; na upande wake wa kushoto Pedaya, Mishaeli, Malkiya, Hashumu, Hash-badana, Zekaria, na Meshulamu.
5 Ezra akakifungua kitabu mbele ya watu wote, kwa maana alikuwa juu kuliko watu wote. Alipokuwa akikifungua, watu wote wakasimama.
6 Kisha Ezra akamsifu Yehova Mungu wa kweli, Aliye mkuu, kisha watu wote wakajibu, “Amina! Amina!” nao wakainua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Yehova huku nyuso zao zikigusa ardhi.
 
Kutoka 6,

2 Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
3 nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Kutokana na andiko hilo,inatambulika wazi kuwa kuwa jina"Yehova"ni jina maalumu la Mungu alilojitambulisha nalo kwa Musa na aliowangoza katika kipindi chake.Lakini,Ibrahim,Isaka na Yakobo hawakulijua jina hilo.

Code:
Yehova ni Jina la Mungu ambalo kwa Kiingereza anaitwa Jehovah na kwa Kiebrania anaitwa יהוה (YHVH) na kwa Kiarabu anaitwa ( yahuh ) au ( يهوه ).

Pia baadae alipokuja Yesu,hakulitumia hilo jina kama tuonavyo katika andiko hili,
Marko 15:34
34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani?” Yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Yesu hakuwahi kutumia jina Yehova katika maisha yake yote alipokuwa hapa duniani.
Bali yeye Yesu alimuita" ELOI"

Code:
LAKINI Allah hajaitwa kwa jina la Yehova kwenye Quran yake hata mara moja. Kama Allah ni Yehova kwanini Quran imekataa kumwita hivyo?

Naomba majibu ya maswali haya,

1.Unaweza unesha ni wapi jina"Yehova " limefanywa kuwa la wanadamu wote badala ya Wanaisrael tu na nilazima litumike hilo na kwa watu wa lugha tofauti na Kiebrania?.

2.Katika kitabu cha Kutoka 6:3,
Mungu anasema alijulikana tu kama "Mungu Mwenyezi".Sasa naomba neno la Kiebrania lilotumika kama "Mungu Mwenyezi"kwa kina Ibrahim,Isaka na Yakobo.
3.Je,unasemaje sasa juu ya Yesu ambaye hakuwahitumia jina "Yehova ",kuwa yeye ni nani?.

Nb
Code:
SASA TURUDI KWENYE MADA YETU: YEHOVA KWA KIARABU NI YAHUH ( يهوه ) NA SIO ALLAH

YEHOVA ni sawa na majina kama Juma,John,Petro,n.k wakati "ALLAH" ni neno la kiarabu lenye maana ya"Mungu Mwenyezi" sawa na "Eloi".
 
Ibrahim myahudi
Hujui chochote kuhusu Uyahudi. Si maana ya Uyahudi Wala Historia.

Historia inasema jina la Uyahudi limetokana na mtoto wa Jacobi, huyu Jacobo alikuwa mjukuu wa nabii Ibrahim halafu Leo unasema Ibrahim alikuwa Myahudi.

Manabii hawawezi kuwa Mayahudi, sababu Uyahudi ni Ukafiri.
 
Ulieyekudanganya hana kosa, kosa ni lako kwa kuwa na very narrow understanding
 
Tatizo lenu hapa ni moja. Kila mmoja wenu ana Iman tofauti na anatumia kitabu tofauti (mwingine Biblia na mwingine Qruan) hivyo hamuwezi kuelewana, sanasana mtaishia kutukanana, sawa tu na kile kinachotokea kwa Waisrael na Wapalestina
 
Usifananishe Misingi ya Uislam na ukristo.
Mungu wetu hatambuliki kwa majina yanayokanganya kama Mungu wenu Bali Mungu wetu hutambulika kwa majina ya sifa za kipekee.
Pia HAKUNA SEHEM QUR'AN INAELEZA IBADA YA SWALA KAMA UNAYOZUNGUMZIA WEWE.
SWALA SAHIHI ILIFUNDISHWA NA IBRAHIM BABA WA MITUME.
UMEULA WA CHUYA MZEE.
 
Sijui hata kama umejipa muda wakujua post yangu nimeandika kwa ku-Quote nani na nimemjibu nini!.

Pia nguzo za Uislamu ni 6,na ngozo mojawapo ni kuamini vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu na mitume wake wote.

Sasa sheikh!Mimi kosa langu ni lipi hapo ninapojadiliana na mnaswala kwa Torati na Injili?.
Kosa langu ni lipi ninapotoa mfano wa mtume Issa (Yesu)katika mjadala na mnaswala?.

Nisaidie nijue nilipokosea nijirekebishe,In Shaa Allah!.
 
dini ya uislamu habari yake ipo katika Quran takatifu na sio issue ya kihistoria ,kwaiyo wakuu tuheshimiane na kila moja akae na dini yake hatulazimishani ,acheni kujifanya munajua dini ya kiislamu kwa kuleta habari ya abunuasi hapo ,wabilahi towfiq.
Dini ya Mazuzu.
 
Kuna wakati huwa natakani sana kuwa Muislam,ila usilam ukifika kwenye uongo wa kusema sijui ulianza wakati wa Ibrahim.Huwa nagairi kabisa, maana uongo wa waziwazi.Dini imeanza 620 sijui alafu ina fix hiyo.
Utasikia Mtume alipanda Bukaa akafika Yerusalem akapaa juu 621 wakati hilo jengo lenyewe limejengwa 690.
Jamani Usilam michosho du.
 
Yaani nimegundua ili uwe Muislam,lazima uamue kujivua akili zake na kujivika upumbavu.Yaani lazimanuamue kujidunga nusukaputi.
 
Kama shida yako ni kujua ukweli, hutoupata kwenye Mitandao ya kijamii, tafuta wasomi, hata sio lazima wasomi wa kiisilamu, tafuta wasomi wa Historia ambao ni verified kabisa wamebobea Hio field miaka na miaka wame dedicate maisha yao kufanya tafiti hizo.

Historia ya Jerusalem na Crusaders kuanzia mtafute Proffesor Roy Casagranda wa Chuo cha Austin Texas Marekani, Jamaa amebobea Historia ya Middle East na lectures zake ni Public anaziweka youtube, search tu jina lake youtube na Neno Crusaders kwa mbele.
 
Na kudai hadi Adam na Eva walikuwa Waislam wenzao, sijui walisilimu wapi wakati aliyeleta Uislam Mtume Mudy hakuwepo

Wafuasi wa Bwn.Mudy wanachekesha sana

[emoji317][emoji317][emoji317]
jiheshimu wewe
 
Yaani nimegundua ili uwe Muislam,lazima uamue kujivua akili zake na kujivika upumbavu.Yaani lazimanuamue kujidunga nusukaputi.
sio kweli ungejua uislam ulivyo sio kama dini yenu ambayo Mke wako ana msikiliza zaidi Padri au mchungaji kulio mume mwenyewe.
 
uislam sio dini iliyo letwa na MTUME MUHAMMAD SAW. maana ya neno uislam means to submit to will of GOD. Kwahyo kilicho badilika ni practice tu ya uislam. Kwasababu mitume wote wanatoka kwenye uzao mmoja kwa maana babu yao ni IBRAHIM AS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…